uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wafanyabiashara wa Uganda waivimbia Corona

    Wakati hatari ya kuzidi kusambaa kwa virusi vya Corona ikiongezeka nchini China, wafanyabiashara zaidi ya 200 wa Uganda wamefika katika ubalozi wa China jijini Kampala wakibembeleza kupewa VISA ili waende nchini humo kuendeleza biashara zao. Hayo yamebainishwa na Waziri anayeshughulikia masuala...
  2. JamiiForums Tanzania Uganda imefuta mitihani ya sekondary

    Katika kutelekeza mabadiliko ya mfumo wa elimu unaoendana na mabadiliko ya sasa, serikali ya Uganda imetangaza mtaala mpya ambao umefuta mitihani kuanzia ya darasani hadi ya Tafa kwa wanafunzi wa form one hadi form four. Duniani kwa sasa nchi nyingi zinafuta mfumo wa mitihani kwa sababu...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UGANDA: Serikali yafuta mitihani ya Mwisho wa Mhula

    KAMPALA: Taasisi ya Kuandaa Masomo na mfumo wa Elimu nchini Uganda imetangaza rasmi kubadilisha mfumo wa Elimu National Curriculum Development Centre (NCDC) nchini humo kwanzia Februari mosi. Akiwasilisha mabadiliko haya Mkurugenzi wa NCDC Bwana James Aisle Droti, ametangaza maridhiano ya...
  4. JamiiForums Tanzania Rwanda yasema itafungua mpaka wake na Uganda pale itakapojisikia kufanya hivyo na wala sio kwa kushurutishwa na watu wala nchi yoyote

    Rais wa Rwanda Paul Kagame, alisema Jumatano kwamba serikali yake itafungua mpaka na Uganda wakati itajihisi kufanya hivyo akisisitiza kwamba hakuna mtu wala nchi yoyote itamshurutisha kufanya hivyo. Akihutubia mabalozi katika mkutano wa kila mwaka na waakilishi wa nchi za nje pamoja na...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu wawili wafariki baada ya ndege ya jeshi kuanguka

    Watu wawili wamethibitishwa kufa baada ya ndege ya jeshi la watu wa Uganda kuanguka katika mji wa Gomba. Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi la Wananchi wa Uganda, Brigedia Brigedia Richard Karemire, amesema ndege ya jeshi AF 302 ilikuwa kwenye na watu hao kwenye mafunzo. “Ilikuwa na watu wawili...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Akamatwa na karatasi zinazobadilika kuwa dola bandia

    Mamlaka ya Mapato nchini Uganda (URA), imemkamata Duach Toang, Raia wa Sudan Kusini, akiwa na karatasi zenye usawa wa dola na kemikali ambayo ukiimwaga, karatasi hizo hubadilika na kuwa dola ambazo ni bandia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo imeeleza kuwa Duach alikamatwa...
  7. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Jela miaka 13 kwa kumnajisi na kumpa mimba mwanae wa miaka 12

    Charles Minaani(33), mkazi wa Luweero, Uganda atatumikia kifungo cha miaka 13 jela, hii ni baada ya kuongea na jaji kuhusu mashtaka yake ya kunajisi na kumpa mimba mwanae wa miaka 12, kosa ambalo alitenda mwaka 2016 Mchakato wa kuongea na jaji kuhusu mashtaka ni hiyari. Kama ilivyo Hiyari...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania vs Kenya vs Uganda: Zisemavyo Katiba kuhusu Ushindi wa Mgombea Urais na Msamaha unaotolewa na Rais wa Nchi

    Katiba ya Tanzania, Ibara ya 41 (6) inasema Mgombea yeyote wa Kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata Kura Nyingi Zaidi kuliko Mgombea mwingine yeyote Katiba ya Kenya, Ibara ya 165 (4) inasema Mgombea atatangazwa kuwa Rais Mteule ikiwa atakuwa amepata zaidi ya...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UGANDA: Mtoto wa miaka 10 amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

    Polisi wilayani Bududa mashariki mwa Uganda wanamsaka mwanafunzi wa miaka 10 kwa tuhuma za kumchoma kisu mwenzake ambaye alidai kupora mpenzi wake wa miaka 11. Mtuhumiwa huyo, ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Buwali. Polisi walimtambulisha mwathirika huyo kama Sam Watsosi, 16. Watsosi alidaiwa...
  10. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Imam asimamishwa kazi baada ya kuoa mwanaume mwenzake

    Imam aliyemwoa mwanamume mwenzake akidhani ni mwanamke amefutwa kazi na baraza kuu la Waislamu Uganda. Huku mjadala kuhusu kama kweli alifahamu jinsia ya bi harusi wake wiki mbili zilizopita alipofanya nikka naye, baraza hilo linasisitiza kuwa kuna dosari kubwa kwa upande wa imam huyo na...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanamke akamatwa amebeba vipodozi haramu akidai ni mtoto

    Maafisa wa polisi nchini Uganda, wamemkamata mwanamke mmoja aliyekuwa akivuka mpaka wa nchi hiyo kutokea nchini Congo, akiwa amebeba vipodozi haramu alivyokuwa amevifungasha na kuvivalisha kwenye nguo ya mtoto, ambayo ilileta uhalisia wa mtoto mdogo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
  12. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni wa Uganda akipigiwa magoti na wazee huku akitoa pesa kwenye bahasha za khaki

    Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda akiwa ameketi huku wazee wakimpigia magoti na kupewa chochote kwenye bahasha ya kaki. Ikumbukwe kuwa uchaguzi nchini Uganda unatarajiwa kufanyika mwakani February 9, 2021. Kiongozi huyo wa taifa la Uganda ameongoza Uganda kwa takribani ya miaka 34 hadi...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda police arrest Bobi Wine, stop opposition meeting

    Police in Uganda have arrested People Power movement leader Robert Kyagulanyi Ssentamu, popularly known as Bobi Wine, and several leaders of the group. The Monday arrest was effected as police fired teargas and live bullets to disrupt a consultative meeting that was organised by Wine, who is...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mikoba, viatu na nguo kutoka Uganda naomba msaada wa mawazo

    Habari wanajamvi nimefanya utafiti juu ya baadhi ya uzi humu JF ambazo zina husiana na biashara kutoka Uganda nyingi ni za mda. Naomba kama kuna mtu yoyote anaefanya biashara ya kununua vitu Uganda na kuleta Tz naomba aje nahitaji mwongozo. Juu ya namna ya kufika Uganda masoko ikiwezekana...
  15. B

    JamiiForums Tanzania South African singer Yvonne Chaka Chaka deported from Uganda

    December 31, 2019 Johannesburg, Republic of South Africa 31 Dec 2019 South African singer-songwriter Yvonne Chaka Chaka has been deported from Uganda. She'd been invited to perform at New Year celebrations in the capital, Kampala. The authorities in Kampala said that the famous singer was...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu +256785 ni code ya mtandao gani Uganda?

    Nahitaji kujua +256785 ni code ya mtandao gani nchini Uganda.
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yapata hasara ya matrilioni ya pesa kibiashara kutokana na mizozo yake na nchi jirani

    Sekta ya biashara nchini Uganda imepata pigo kubwa sana mwaka huu kwa kuandikisha upungufu wa shilingi trilioni 3.4. Hii inatokana na mizozo ya kibiashara na mataifa jirani. Kwa mujibu wa ripoti ya ufanisi wa kibiashara ya mwaka 2018/2019, shughuli za kibiashara kati ya Uganda na mataifa...
  18. JamiiForums Tanzania Yaliyokutwa Uganda kwenye safe houses za Iddi Amin

    Basement ya safe house iliyotumika kama interrogation house wakati wa utawala wa Idd Amin.
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Raia wa Uganda auawa na kundi la watu wa Kongo

    Inaelezwa kuwa Mganda mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na raia wa Kongo kwa watu wa Uganda. Shambulio hilo lilitokea katika Soko la Nziapande, ambalo lipo takribani kilomita tano kutoka mpaka wa Uganda-DR Kongo ya Busunga wilayani Bundibugyo. Taarifa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars vs Uganda

    Hivi timu yetu,SI inacheza Leo huko Kampala ,mbona kimyaaa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…