uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yaridhia kufanyiwa majaribio ya chanjo 8 za Ebola

    Hatua hiyo inafuatia ufanisi hafifu wa chanjo zilizotumika awali kushindwa kufanya kazi kama ilivyotarajiwa kutokana na kutofautiana na aina Kirusi kilichopo nchini humo. Uganda inakabiliwa na Kirusi cha Sudan wakati chanjo zilizoingizwa nchini humo zilikuwa za Kirusi cha Zaire. Mkurugenzi Mkuu...
  2. JamiiForums Tanzania Raia wawili wa Uganda wawekwa karantini Pemba

    Vikosi vya Ulinzi na Usalama kisiwani hapa, vimewakamata raia wawili wa Uganda walioingia kwa kutumia usafiri wa jahazi katika Bandari ya Wete ambapo wamewekwa karantini maambikizi ya Ugonjwa wa Ebola. Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama MKoa wa Kaskazini Pemba imefika katika Bandari ya Wete...
  3. JamiiForums Tanzania Watafiti: Virusi vya Ebola nchini Uganda vimebadilika

    Watafiti nchini Uganda wanasema virusi vya Ebola vinavyosambaa nchini humo vimebadilika. Prof Pontiano Kaleebu wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi vya Ebola aina ya Sudan anasema hata hivyo hakuna ushahidi kwamba inaweza kuambukizwa zaidi ya aina ya awali. Walichambua sampuli kutoka kwa kisa cha...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nimekuja kugundua kwamba vita dhidi ya Uganda ilitengenezwa na Israel ili kumuondoa adui yao Idd Amin

    1 + 1 = 2, watanzania wengi tume focuss kwenye 2 kwamba Idd Amin alivamia Kagera na ndio chanzo, tunasahau kwamba Kuna 1 + 1 zilizosababisha ikawa hio 2 na hata ukienda Wikipedia nao hawajui chanzo kamili cha 1+1 kilichoanzisha vita ila ni wazi kabisa mtu aliefaidika kwa kupinduliwa Idd Amin...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imejitosheleza kijeshi kukabiliana na mikwara ya jeshi la Uganda? Can KDF supress the Ugandan forces??

    Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ? Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo. Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mfanyakazi mwingine afariki kwa Ebola Uganda

    Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) umekatisha maisha ya mhudumu mwingine wa afya wakati nchi ikipambana kudhibiti kuenea kwa virusi hivyo, Wizara ya Afya imeripoti. Dkt Jane Ruth Aceng, Waziri wa Afya alitangaza kifo cha Bi Margaret Nabisubi, Afisa wa Ganzi, leo Jumatano asubuhi. "Muuguzi huyo...
  7. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watuhumiwa kupimwa TB, Malaria na UKIMWI kwa lazima

    Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), William Byansi ameagiza kuanza utaratibu huo ili kuwalinda askari na wafanyakazi wa idara za haki na kutambua mapema hali za kiafya na magonjwa ya watuhumiwa. Kwa mujibu wa DPP wanalenga kuzuia usambaaji wa magonjwa kama TB na VVU kwa sababu watuhumiwa...
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  9. JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 11.5 bado zinamsubiri mwenye taarifa za Joseph Kony

    Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15. Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali haitafunga mpaka wake na Uganda kisa Ebola

    Serikali imesema itajikita katika kutoa elimu kwa umma kuhusu namna ya kujikinga na mlipuko wa Ebola badala ya kufunga mipaka mkoani Kagera. Hayo yalielezwa juzi na mkurugenzi msaidizi kitengo cha elimu ya afya kwa umma, Dk Ama Kasangala katika kikao na wadau wa afya mjini Bukoba, kilicholenga...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda ina Silaha za Kijeshi nyingi kuliko nchi zote Afrika Mashariki

    According to the publicly disclosed Military equipment, Uganda leads Kenya Hata hivyo, Uganda ina Budget ndogo zaidi kwa nchi tatu za Maziwa Makuu Kwenye upande wa viwango vya Rushwa
  12. JamiiForums Tanzania Daktari Mtanzania aliyefariki kwa Ebola azikwa Uganda kuepusha maambukizi

    Dkt. Mohamed Ali aliyekuwa akisomea Udaktari Bingwa wa Upasuaji alizikwa katika makaburi ya umma huko Fort Portal jana Oktoba 2, 2022. Kwa mujibu wa Dkt, Alex Adaku, Mkurugenzi wa Fort Portal Regional Referral Hospital ambako Dkt. Mohammed Ali alilazwa hadi umauti, amesema walifikia uamuzi huo...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi ya Uganda na Tanzania wameshindwa kuchanga $1 bilion kujenga refinery plant kwa pamoja

    Uganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka kwa mabeberu. Kina faida nyingi kusafisha mafuta mwenyewe kuliko kuuza crude oil,ni sawa una alizeti...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ebola yazidi kusambaa kwa kasi Uganda, vifo vyafikia 19

    Kwa mujibu Wizara ya Afya, hadi kufikia Septemba 24, 2022, jumla ya wagonjwa 31 waligundulika kuambukizwa na wengine wakihisiwa kuwa na maambukizi hayo, ikiwa ni ongezeko la haraka kutoka visa 7 vilivyoripotiwa Sept. 23,2022. Wizara hiyo pia imesema jumla ya vifo vilivyothibitishwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta EACOP toka Uganda lazima lijengwe

    Big Up Mheshimiwa Cassim Majaliwa Kassim, Waziri Mkuu wa JMT. Suala la bomba la mafuta toka Uganda kuelekea Tanga, inapitia kwa umbali mrefu zaidi nchini Tanzania. Uchumi wa Tanzania utafaidika sana na ujenzi wa bomba hili, kwani kuna wananchi watafaidika moja kwa moja kwa kupata kazi na...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yatangaza wagonjwa wengine 6 wa Ebola

    Wizara ya Afya ya #Uganda imethibitisha maambukizi mapya ya Ugonjwa wa Ebola baada ya kulipuka kwa ugonjwa huo na kuua mtu moja mwenye umri wa miaka 24, mwanzoni mwa wiki hii eneo la Mubende. Aidha, mamlaka inafuatilia vifo vya watu wengine saba kikiwemo cha mtoto wa mwaka mmoja kujua kama...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mgonjwa mwingine wa Ebola afariki Uganda

    Mgonjwa mwingine ambaye ni mtoto mdogo, amefariki kwa Ebola katika hospitali moja katikati mwa nchi hiyo, kwa mujibu wa taarifa za gazeti la New Vision la nchini humo. Maafisa wa afya wanasema kuwa marehemu alikuwa mmoja wa watu 14 waliolazwa hospitalini wakiwa na dalili kama za Ebola...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  19. JamiiForums Tanzania Africa Union Watch(AU) washangazwa na kauli ya uingiliaji mradi wa bomba la fatu Uganda hadi Tanzania.

    AFRICAN UNION WATCH (AU Watch) AFRICAN UNION WATCH (AU Watch) Thinking ahead for Africa Public Policy Analysis Strategic Insight and Objective Analysis Practical and Effective Solutions Atlantic Road, Cape Point Road, Banjul, Kanifing Municipal Council, The Gambia...
  20. JamiiForums Tanzania Ebola Yazuka Uganda: tujiandae kwa chanjo?

    Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha kuzuka kwa Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) nchini humo baada ya kijana mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Ngabano wilayani Mubende kufariki dunia huku vipimo vikionyesha alikuwa na dalili za Ugonjwa huo. Chanzo: ITV
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…