uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Museveni asema Wananchi wake ni wavivu sana, hata mtu mjinga anaweza kuishi Uganda

    Akizungumza mbele ya Rais Cyril Ramaphosa na Jumuiya ya Wafanyabaishara, Rais Yoweri Museveni amesema Uganda ina mazingira rafiki kiasi cha kutohitaji watu kufanya kazi kwa nguvu ili kufanikiwa. Museveni ambaye ameitawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 37 amesema "Sisi tupo eneo la Ikweta, tuna...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge wa Uganda wanataka Kuamua Mashoga Wafungwe Maisha au Wanyongwe kabisa, nasubiria kusikia Wabunge wa Tanzania nao Wataamua vipi

    Ombi langu kama Wabunge wa Tanzania nao wakiamua kama Wenzao wa Uganda ikitokea wenye Jukumu la Kunyonga Mashoga wakikosekana wasisite Kuwasiliana nami kwani naweza kutoa Kwao Ushirikiano Uliotukuka hadi Serikali ya Tanzania ikafikiria Kuniajiri moja kwa moja kuwa Msaidizi wa Israeli Msitisha...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Simba kushinda dhidi ya Vipers?

    Ili Simba ishinde ugenini Uganda itakapocheza na Vipers kwanza kabisa Robertinho atumie mfumo wa Juma Mgunda ili kuleta ufanishi kwenye timu. Mbinu zake hazifanyi kazi Simba kwa sbb ya wachezaj waliopo hawawez kukimbia sana na kucheza direct football kama liverpool kwa maana pass ndefu za...
  4. JamiiForums Tanzania Nilivyomchakata mtoto wa Rais wa Uganda Milton Obote aliyekuwa amepinduliwa mwaka 1985 na kukimbilia Tanzania

    Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake. Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei Safari hii...
  5. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli Uganda na hasa Kenya kuna maeneo yamesahulika kabisa

    Tuanze na Kenya maana huko ndo kunatisha kabisa.Kenya imeweza kufika mbali kimaendeleo kwenye mambo mengi ila cha kuchekesha maendeleo hayo yapo sehemu chache sana. Kuna sehemu kaunti za Kenya hata waziri wa mambo ya ndani ajui kinachoendelea kufikia vikundi vinamiliki silaha za kisasa...
  6. JamiiForums Tanzania Uganda yasitisha shughuli za Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu nchini humo

    Serikali yasitisha shughuli za Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu (OHCHR) nchini Uganda OHCHR, idara ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa, imepewa mamlaka ya kukuza na kulinda furaha na utambuzi kamili kwa watu wote, na haki zote zilizowekwa katika Mkataba wa Umoja wa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya kuandamana kupinga ushindi wa Rais William Ruto

    Pamoja na rais wa kenya William Ruto kukejeli maandamano ya Azimio na kuwapiga dongo viongozi wa umoja huo kuwa wamepeleka watoto wao kwenye bunge la Afrika Mashariki, bado wananchi wameonyesha umoja na wao na msimamo kuwa wataandamana. Hapo kabla wananchi walionekana kumuunga mkono Rais wao...
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Aliyesomeshwa na mchumba atakiwa kurudisha Milioni 9.8 baada ya kukataa kuolewa

    Mahakama imemtaka Mwanamke mmoja wa Kanungu kulipa kiasi hicho cha fedha ikijumlisha fedha iliyotumika kumlipia ada ya masomo ya Stashahada pamoja na faini ya usumbufu na uchungu wa kisaikolojia alioupata mshitaki. Richard Tumwine na Fortunate Kyarikunda wote ni Walimu walianzisha uhusiano wa...
  9. JamiiForums Tanzania Uganda: Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa kwa kuandamana, waachiwa huru

    Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa Jijini Jinja wakisherehekea ushindi wa klabu hiyo dhidi ya #ManchesterUnited katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza Januari 22, 2023 wameachiliwa huru Mashabiki hao waliokuwa wamebeba Kombe la 'Mfano' walikamatwa baada ya Polisi kudai kuwa hawakuwa na kibali...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania General Muhoozi, mtoto wa Museveni kaitishia Kenya kwa mara ya pili

    Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye. Mara ya kwanza Museveni aliomba Wakenya wamsamehe kijana wake ila kwa sasa kurudi tena. Kwa sasa tweet hizi zimefutwa!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya Mashuka toka Uganda

    Habari za Mwaka mpya wana jamii. Kuna haya mashuka na blanket za kutoka Uganda. Nataka na mimi nifanye hii biashara. Ila nitafurahi kama nitapata muongozo na namna ya kuyapata toka Uganda. Kama kuna mtu ana uzoefu au connection naomba anishirikishe. Asante sana.
  12. JamiiForums Tanzania Balozi wa Uganda nchini Kenya afariki dunia

    Balozi wa Uganda nchini Kenya Dr Hassan Waswa Ggaliwango amefariki dunia. Mwanafamilia wa karibu anasema kwamba Ggaliwango aliaga dunia katika Hospitali moja jijini Nairobi ambako alikimbizwa Alhamisi wiki iliyopita hali yake ilipozidi kuwa mbaya. Ggaliwango, ambaye amekuwa akipambana na...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Rais apiga marufuku safari za nje kwa Wabunge na Watumishi wa Umma kunusuru uchumi

    Rais #YoweriMuseveni amepiga marufuku kusafiri nje ya Nchi na posho za ndani kwa Wabunge na Watumishi wa Umma ili kuokoa Fedha za kuendeleza sekta muhimu kama Mafuta na Gesi Hata hivyo, Waziri wa Fedha, Matia Kasaija, amesema Serikali haiwezi kupiga marufuku safari zote nje ya Nchi kwasababu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kujenga SGR kuelekea Kenya kwa kuwatumia wakandarasi wa Yapi Merkezi. Je, SGR ya Tanzania itaweza ushindani wa Kenya na Uganda?

    ..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya Tanzania Serikali ya Uganda imechukua uamuzi huo wa kusitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour...
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yaingia mkataba na kampuni ya Uturuki kwenye SGR

    Hii ni kwa kipande cha SGR kitakachounga hadi Kenya.... After eight years of non-execution, the Uganda government has terminated the contract of China Harbour Engineering Company (CHEC) to build the country’s first phase of standard gauge railway (SGR), a 273km line from Malaba to Kampala, The...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yavunja mkataba wa ujenzi wa SGR wa Tsh. Trilioni 5.1 na kampuni ya China, yasaini na Yapi Merkez

    Baada ya miaka 8 ya kushindwa utekelezaji, Serikali ya Uganda imesitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) ya kujenga awamu ya kwanza ya reli ya kisasa (SGR), njia ya kilomita 273 kutoka Malaba hadi Kampala. Njia hiyo, inayoanzia mpaka wa Malaba kati ya Uganda na...
  17. JamiiForums Tanzania WHO yaitangaza Uganda kuwa haina tena ugonjwa wa Ebola

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limefikia maamuzi hayo ikiwa ni baada ya Siku 113 tangu Ugonjwa huo ulipoingia nchini humo na kusambaa katika maeneo ya jiji la Kampala huku ukisababisha vifo 55. Katika kukabiliana na maambukizi, Rais Museveni aliziweka kwenye vizuizi Wilaya mbili za Mubende na...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Ajali ya Basi yaua watu 16 na kujeruhi zaidi ya 20

    Takriban watu 16 wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi lililokuwa likielekea Gulu kugonga na Trela la Lori katika kituo cha biashara cha Adebe huko Kamdini kando ya barabara kuu ya Kampala-Gulu kaskazini mwa Uganda . Polisi walisema watu hao 12 walifariki papo hapo, huku wengine...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Uganda awaua wenzake watatu Nchini Somalia

    Tukio hilo limehusisha Mwanajeshi wa Uganda walio Mogadishu chini ya Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika ambapo tukio ufyatuaji risasi ulitokea makao makuu ya kikosi cha jeshi la Uganda. Inaelezwa mtuhumiwa alivamia na kumpiga risasi mwanajeshi wa kwanza kifuani, hiyo ikasababisha taharuki...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu tisa wafariki huku wengine wakijeruhiwa kutokana na mkanyagano

    Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…