uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga. Taa ziliwaka ikaendelea

    Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga, mwamuzi wa mchezo amesimamisha mechi akifanya mawasiliano na meneja wa mchezo kuona ni mamuzi gani yafanyike. ==== Sasisho: Taa zilizokuwa zimepoteza mwanga zimewaka na mchezo unaendelea ili...
  2. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

    Majira ya Saa 2:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki, Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itashuka dimbani Benjamin Mkapa kuwaalika Uganda (The Cranes) katika mchezo wa nne wa kundi F kuelekea kufuzu Afcon mwaka 2023.. Taifa Stars yenye point 4 iliyopo nafasi ya pili nyuma ya vinara...
  3. B

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maandamano Kenya, Museveni ajiandaa kujihami

    Mwenzako akinyolewa, za kwako tia maji. Imedhihirika kumbe tunaopata shule siyo kina sisi peke yao, bali na serikali husika hasa zile zenyewe sugu kwenye kukiuka haki za watu. Hapa, Uganda tayari wanajizatiti kwa mazoezi mazito mazito kungali asubuhi: Sijui makwetu jikoni au kule...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yawalipia viingilio Maafisa Habari wa Serikali kushuhudia mechi ya Tanzania Vs Uganda

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Wizara ya Habari itawalipia Maafisa Habari wote viingilio vya kwenda kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Mkapa (Jumanne Machi 27. 2023). Waziri Mkuu amesema hayo wakati akihutubia katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa tiketi 7,000 za mechi ya Stars vs Uganda

    Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amesema tiketi hizo ni kwa ajili ya motisha ili kuhakikisha timu yetu ya taifa inafanya vizuri katika mchezo unaotarajiwa kuchezwa na Uganda siku ya jumanne tarehe machi...
  6. JamiiForums Tanzania Kapombe, Zimbwe JR waitwa Stars haraka kuiwahi Uganda

    Licha ya ushindi bado mapengo yao yalionekana Sasa aibu imewatoka wamewarudisha kundini fullbacks bora afrika nzima. ====== Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam alitoa taarifa iliyokuwa ikinahusu kuogezwa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jamaa warudishwa Uganda Baada ya Kujinasibisha ni LgbTV ili Wapewe Ukimbizi

    Kweli Duniani Kuna Mambo! Wikiendi Muswano mwanaJF. Kila siku unatafuta njia, fulsa ili ujikwamue kutokana na msongo wa mawazo kimaisha, hapo ulipo kuna fulsa ila hujaiona au hujui namna ya kuitumia au hata kwenda ulaya, raia wa Uganda wamepata fulsa ya bure kabisa, lakini! ☝🏾Picha haina...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Chama cha EFF na Malema walaani vikali sheria mpya dhidi ya mashoga Uganda

    Chama cha EFF ambacho kiongozi wake ni Julius Malema kinachukuliwa na wengi kuwa ndio chama cha 'ukombozi' wa mtu mweusi kimetoa tamko kulaani sheria ya dhidi ya ushoga iliyopitishwa na Bunge la Uganda.
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa mchezaji Feisal Salum baada ya mchezo wa marudio kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes

    Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena. Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini ligi yetu ni bora kuliko ya Uganda lakini wao ni bora kwenye timu ya taifa kuliko sisi?

    Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5! Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mkuu wanunua tiketi 4000 mchezo wa Tanzania vs Uganda

    Picha: Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wamenunua jumla ya tiketi 4,000 za mechi ya kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania na Uganda. Tiketi hizo zitagawiwa kwa mashabiki ili waende kushuhudia mechi hiyo itakayochezwa uwanja...
  12. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Bunge lapitisha muswada wa kuwafunga jela mashoga

    Muswada huo unawagusa wote wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja au kubadili jinsia, utaanza kufanyakazi baada ya kusainiwa na Rais Yoweri Museveni. Muswada huo unabainisha kuwa marafiki, ndugu wa familia na wanajamii husika watawajibika kutoa taarifa kwenye mamlaka kuhusu yeyote...
  13. JamiiForums Tanzania Kila la kheri Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes)

    Nawatakia ushindi timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) watakapocheza na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars). Sikutegemea kitendo kilichofanywa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kumwita kwenye timu ya Taifa mchezaji ambaye ameshindwa kutimiza matakwa ya mkataba kwenye Klabu yake...
  14. JamiiForums Tanzania Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

    Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake. Ukipitia twakimu kwa miaka...
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama Uganda, yamwamuru Mwanamke ( Slay ueen a.k.a Gold digger) Kumlipa Mwanaume (Sponsa) Kwa kosa la Kuvunja Kiapo Cha ahadi ya Kuolewa naye !!.

    Yaan ni kama Wee Jamaaz Umsomeshe Demu iwe kuanzia shule au Chuo Cha Kati au Chuo Kikuu Kwa ahadi ya Demu Kuolewa Nawewe. Alafu Demu baada ya kusoma ale Kona ... Dai chako !!!! Dai Chako.!! KATAA WIZI !!KATAA KUIBIWA !! Kuna kipindi nmewahi msikiliza Mwanasheria Mmoja akitoa Elimu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ripoti SIPRI: Uganda iliongoza kwa kuingiza Silaha za Kivita mwaka 2022, Ukraine ni ya 3 Duniani kwa kupokea Silaha

    Ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), imeinesha Nchi 5 tu (Marekani, Russia, Ufaransa, China na Ujerumani) zimechangia 76% ya Usambazaji wa Silaha za Kivita duniani. Kwa mujibu wa SIPRI, kati ya mwaka 2018 hadi 2022 Mataifa ya Kusini mwa Jangwa La Sahara...
  17. JamiiForums Tanzania USHAURI: Kuna haja ya kuweka sheria kali za ushoga kama Uganda kunusuru vizazi vyetu

    Jana katika pita pita mtandaoni nikatembelea mtandao wa kenya talk, nikakuta title sijui imeandikwa wazazi kujeni muone watoto wenu nikafungua thread nikakuta Kuna clip nikaifungua!! La haula, nilijuta hata kuifungua aisee, mpaka nikatetemeka Kuna jamaa mtu mzima kidogo alikua uchi wanampiga...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni akamata mashoga 490

  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yasaini Mkataba na China kujenga Kinu cha kwanza cha Nyuklia

    Serikali imetia saini Mkataba na Shirika la Kitaifa la Nyuklia la China (CNNC) ambalo litasaidia kujenga uwezo katika matumizi ya Nishati ya atomiki kwa malengo ya amani. Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati na Madini, Ruth Nankabirwa Ssentamu, Nchi hiyo inatarajia kupata Megawati (MW) 1,000 kutoka...
  20. JamiiForums Tanzania Unakumbuka kazi za hawa wakulungwa wa Uganda

    UGANDA CENTRAL ( +256) Hili lilikuwa jina la kipindi cha ngoma za Uganda pale East Africa Radio miaka hiyo (sijajua kama bado kipo maana sisikilizi tena redio). Umewahi kusikiliza muziki wa Uganda? Ulivutiwa na kazi za nani? Wimbo gani unaukumbuka mpaka leo? Binafsi nawakumbuka wafuatao na kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…