ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katibu UDASA: Dkt. Kaijage aliniambia Mkipata nafasi msaidieni mke wangu

    Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu. Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”...
  2. Mwenyekiti Jimbo la Geita (CHADEMA)abadilishiwa mashitaka na kusomewa shitaka la ugaidi. Awali alishitakiwa kwa njama za kuua askari

    Ugaidi huu wa Tanzania ni tofauti na ule aliokuwa anaufanya Osama bin Laden?👇
  3. M

    Madeleka: Ugaidi ni makosa yanayotumiwa kuwaumiza watu

    "Mimi pia maneno yale, nilikuwa wakili wa kwanza kufanya kesi ya ugaidi mahakamani kuwatetea watu, mashehe wa Arusha, waliokaa gerezani kwa miaka tisa. Halafu baadaye mahakama ikathibitisha haukuwa ugaidi. Kwa hiyo haya ni makosa ambayo yanatumiwa kuwaumiza watu, na sijui kwa faida ya nani kwa...
  4. J

    Je, matukio yanayofanywa na genge la wasiojulikana ni Ugaidi? Nini tofauti ya wasiojulikana na magaidi wa Mkiru?

    ..kuliita genge hili " wasiojulikana, " badala ya magaidi, sio kumung'unya maneno ndugu zangu? ..matendo yao ya kuteka, kutesa, kujeruhi, na kuuwa, yana tofauti gani na matendo ya magaidi wa Mkiru? ..kama wanaharakati wananasibishwa na magaidi, kuna uhalali gani kutowanasibisha wasiojulikana...
  5. Wakili Matata aibua mazito kuhusu kesi za ugaidi, na pia awavaa WanaCHADEMA feki wanaotaka Heche atoke

    https://www.youtube.com/watch?v=SdNOaquuJ-c
  6. Ugaidi Arusha: Shekhe Lema ahakumiwa kifo na Mahakama ya kanda Arusha

    Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️ Ajumuishwa na Mashekh wengine watano Ameandika...Bakari Mwakangwale SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha. Mahakama imetoa hukumu hiyo Jumatatu ya...
  7. Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON. Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa. Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach...
  8. M

    Ni upuuzi na ujinga kuwa taifa ambalo linawasomi ambao hawawezi kuzungumzia academic issues kisa wanaogopa kutekwa na kushitakiwa kwa ugaidi

    Prof Issa Shivji ameandika makala muhimu sana ambayo kwangu mimi ninaiona kama ni Lecture kwa wanafunzi wa sheria. Amezungumzia masuala ya msingi sana namna mtu anavyopaswa kukamatwa kushitakiwa na hata kushitakiwa mahakamani. Makala ina kichwa cha habari terrorising academic in Tanzania. Ni...
  9. R

    Wakili Madeleka: Kinachofanyika sasa hivi ni kwamba ili tuwe na maridhiano lazima tuwe na ugaidi wa kisiasa

    Akizungumza katika mahojiano na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Peter Madelekea amedai kuwa nchini kuna aina ya "ugaidi wa kisiasa" ambao unatumika kimkakati ili kutengeneza mazingira ya kulazimisha maridhiano ya kisiasa. Madelekea ametolea mfano Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman...
  10. Ugaidi na Usalama wa AFCON 2027: Je, Kauli za Serikali Zinakinzana?

    Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo, Serikali imeendelea kuwahakikishia Watanzania, wageni na mashirikisho ya soka kuwa Tanzania iko salama...
  11. R

    Wanaosingiziwa na kushitakiwa kwa ugaidi. Mawakili kuweni macho na forced confessions. Soma hii case imetoka juzi

    Walipigwa wakateswa wakaandika uongo kujinusuru. Angali kesi hii ilivyoamuliwa . Ni kesi ya kutupa Bomu kule Arusha kwenye uzinduzi wa parokia ya katoliki mwaka 2013
  12. Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  13. D

    Bora aendelee kuwa bubu hivyo hivyo kuliko kuitangazia Dunia kwamba kuna ugaidi

    Kwa hili niwape kongole wazee wa geti jeusi wale wazee wa kitengo, huo ushauri mlioupa imekaa vizuri sana, maana Dunia haituelewi hadi muda huu, hata wafanyabiashara wa sekta ya utalii hawaelewi Nini kimetokea. Embassies na High Commission zote nchini, tayari wameshatuma salamu kwenye nchi zao...
  14. Je, kesi za ugaidi ziawafanya Watanzania kupinga uovu?

    Ugaidi ni tuhuma kali sana na ndio maana ni kosa ambalo linapingwa na kudhibitiwa kimataifa. Gaidi wa Tanzania ni gaidi wa dunia nzima. Kama ndio hivi, je Watanzania wanavyokamatwa kwa ugaidi. Watakata moyo mapambano dhidi ya uovu?
  15. OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI

    OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI Msomaji wa andiko hili, naomba ulisome ukiwa huna chembe chembe za udini au mihemko, naomba usome kujifunza, hili ni angalizo langu. Waziri Mkuu wa zamani wa Pakstani, Benazir Bhutto, anamuambia jambo la kumuonya Rais wa Marekani kwa...
  16. Zama za mizaha ya Uhaini, Ugaidi na Uchochezi zifike mwisho!

    Katika injili ya Luka 14:28-30, twasoma; "Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia? Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki, wakisema, Mtu huyu alianza kujenga...
  17. Q

    Heche: Tutazitaarifu taasisi za Amnesty International, UN Human Rights, EU, Commonweath kusaidia waliokamatwa kwa ugaidi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche ameeleza kuwa chama hicho kinaandaa barua ambazo zimepangwa kupelekwa kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa ikiwamo Amnesty International, Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya (EU), pamoja...
  18. John Heche: Ofisi ya DPP ifumuliwe, inatumika kubambika Kesi za Ugaidi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema serikali inapaswa kuzifumua upya ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) akiitaja taasisi hiyo kuwa inatumika vibaya kubambikizia wananchi na viongozi wa upinzani kesi za uongo za ugaidi. "Ofisi ya Mwaikitaru na ofisi ya DPP ni ofisi zinazopaswa...
  19. Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  20. Tunatamani kupigania katiba mpya; Tatizo tunaogopa kesi za uhaini, ugaidi na uchochezi!

    Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote. Kwa kuzingatia maoni mbalimbali yaliyotolewa, ni wazi kuwa tupo tunaomuona Dr. Nchimbi kama kiongozi wa mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…