ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HOJA OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026

    YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026 Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA. Ndugu Viongozi, Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waajiriwa wapya...
  2. A

    KERO Waajiriwa wapya VETA tuliopangiwa vituo vya kazi kupitia UTUMISHI tumeambiwa tusubiri Siku 90 bila mshahara

    Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA Ndugu Viongozi, YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WALIOPANGIWA VETA Kwa heshima, tunaomba kuwasilisha changamoto inayotukabili waajiriwa wapya tuliopangiwa vituo...
  3. RESOLVED Daraja la Kimara Mwisho lawekewa kingo

    Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni. Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi Daraja hilo...
  4. N

    Ofisi ya DPP, Nassoro Katuga na mawakili wote wa serikali watanzania tunaomba ufafanuzi wenu maana ya neno 'uttering' kwenye tuhuma za kijinai.

    Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai. Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
  5. S

    Wanasheria, tunaomba ufafanuzi wa kilichotokea mahakamani kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Lissu

    Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu...
  6. Sheikh Mkuu, wa Tanzania, tunaomba ufafanuzi wa jambo hili la Eda kwa mke wa pili wa Hafidh Ameir,Mume wa Samia

    Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na kuheshimiwa kama mjane mwingine? Pia, tunaomba kufahamu: ikiwa mwanamke ambaye ni mke wa marehemu...
  7. Ufafanuzi Sheria za Ardhi kwa Wawekezaji Wageni

    Sheria inasema foreigner anaweza kupewa derivative right ya kumiliki ardhi kwaajili ya uwekezaji tu. Kuhusu swala la disposition (kuuza/kurithisha) ardhi husika Sheria ya ardhi imewaka restrictions kwamaana kwamba mwekezaji atatakiwa kurudisha ardhi kwa wamiliki waliompatia haki ya kuwekeza...
  8. Ufafanuzi wa Kisheria Uteuzi Makamu wa Rais na AG Johari

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akitoa ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 28 Agosti, 2026. https://x.com/_zack255/status/2093349788511084748 👆🏾👆🏾👆🏾 Tazama Video yote hapo juu.
  9. Tatizo la Pointi Sita: Jinsi Mfumo wa Mitihani hapa nchini Unavyopotosha Ufafanuzi wa Kihistoria.

    Sidhani kama Kila tukio la Kihistoria lilisababishwa (causes) na mambo sita na kuendelea au lilisababisa (effects ) mambo sita na kuendelea. Katika somo la history hapa nchini kumekuwa na tabia kutaka kuwaaminisha wanafunzi kuwa kila tukio la Kihistoria limesababishwa na mambo mengi sana. Ni...
  10. M

    Naomba ufafanuzi: Hii ni haki kweli? Nimelipa deni, lakini bado nakataliwa mkopo

    🚨 NAOMBA UFAFANUZI: HII NI HAKI KWELI? Nimeamua kuandika hili kwa sababu naamini kuna watu wengi wanaweza kuwa wamepitia hali kama yangu bila kujua cha kufanya. Nilienda kuomba mkopo benki, nikafanyiwa CRB check na nikakuta nina deni la Songesha. Nilipoanza kufuatilia, nikagundua kwamba deni...
  11. ACT: Tunaitaka SMZ, itoe ufafanuzi kuhusu usahihi wa gharama za Miundombinu ya AFCON Zanzibar

    Prof. Omar Fakih Hamad, Mnadhimu wa ACT Wazalendo, Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ndugu Wanahabari! Hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu, aliyetujaalia uhai na uzima na kutuwezesha leo hii tukajumuika pamoja hapa katika ukumbi wetu wa Chama kwa ajili ya kuzungumza nanyi masuala yaihusuyo nchi...
  12. M

    Kuna clip moja niliiona ya Mzee wa Ufafanuzi na Ukanusho. Nikaishia kucheka sana

    Maake hapo kwanza ncheke 😁😁
  13. E

    Ufafanuzi wa TPDC kuhusu Mafuta: Maswali Bado

    Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta. Nimesikiliza hotuba Yao na kurejea maswali ya ACT kiukweli bado ufafanuzi inahitajika Nakuwekea maswali ya ACT hapa...
  14. Walivyo, kesho watatoa ufafanuzi kwanini Jeshi lilisema "Kazi na Utu"

    Baada ya watu kuanza kuuliza kwa nini jeshi linachukua neno kauli mbiu ya CCM lile neno. Kesho mtarajie wakaitisha vyombo vya habari kama kawaida yao.
  15. JWTZ inapaswa pia kutolea Ufafanuzi matukio ya Utekaji na Mauaji ya Watanzania

    JWTZ ni dhahiri limekubali kujinasibisha na SIASA- ambayo ni kinyume na KATIBA ya JMT ni hatari zaidi kwa ustawi wa TZ. Kwa mfano kauli ya Msemaji wa JWTZ kusema KAZI na UTU ni kauli ya kisiasa: kupitia ripoti ya Chande dhidi ya mauaji ya halaiki… Oct 29 moja ya sababu alizotoa zilizochochea...
  16. M

    Watalaam wa kuchambua bible naombeni ufafanuzi wa huu ujumbe.

    Ujumbe aliopewa musa wa kuvua kiatu alichotoka nacho kwa farao,kwamba mahala pale ni patakatifu ulimaanisha kiatu Gani?je ni kiatu kama kiatu Cha kuvaliwa mguuni au ni Nini kililengwa.Je mahala pale palipotajwa kwamba ni pasafi ni sehemu gani?mbinguni,Israel au hapo walikokua wamefikia mala...
  17. M

    Je ufafanuzi huu wa Msigwa ni sahihi?

    Anasema Bajeti ni sh trilioni 62.3, na bajeti inajitegemea kwa mapato yote ya ndani kwa 74.2% sawa na sh trilioni 46.24, utata ni pale anaposisitiza kuwa tutakopa sh bilioni 500 tu. Je sh trilioni 15 zitapatikana wapi? Wataalam wa bajeti tafadhali mtueleweshe hapa.
  18. A

    KERO Ajira Mpya Kakonko DC tuliambiwa Fedha za Kujikimu inazingatia Salary Scale, sasa wanasema inazingatia kituo

    Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini. Tulipokuwa tunaripoti, tuliagizwa kuandika barua za kuomba fedha za kujikimu, maelekezo tuliyopewa, tuliambiwa kiwango cha...
  19. CHADEMA, ni nani anayewalisha akina Hilda Newton, Pambalu na Viongozi wengine waliokimbilia Kenya?

    Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza? Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni...
  20. TANESCO yatolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na Wadau kutoka JamiiForums, hatua za maboresho zimechukuliwa

    Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza. Pia soma ~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika ~ KERO - TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya viwandani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…