ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    UFAFANUZI wa Msigwa Kuhusu taarifa juu ya Zuio la Ndege za Tanzania kutua katika anga la Ulaya

    Ufafanuzi Kuhusu taarifa zilizosambaa juu ya zuio la ndege za nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kutua katika anga la Ulaya "Kwanza ningependa Watanzania wajue kwamba habari ambayo imetrend hasa leo sio habari mpya. Hii ni taarifa iliyotokana na tathmini iliyofanywa na mamlaka za Umoja wa Ulaya...
  2. TANROADS yatoa ufafanuzi kuhusu Taarifa ya maendeleo ya ukarabati wa Mizani ya Mkuranga - Pwani

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mkoa wa Pwani, inapenda kuwataarifu wasafirishaji na wadau wa usafiri kuwa ujenzi/ukarabati wa miundombinu ya Mizani ya Mkuranga, upande wa magari yanayotoka Dar es Salaam kuelekea Mikoa ya Kusini, umefikia asilimia 95. Kwa sasa, kazi zimeingia katika...
  3. C

    Njombe: Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi ya video mtoto aliyekataa kurudi kwao Makambako

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe latolea ufafanuzi video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha mtoto mmoja anajulikana Imma Hassan Mhema akimkatalia mama yake mzazi kurejea nyumbani. Akizungumza na vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)...
  4. JKCI yafafanuzi kuhusu Utoaji wa Tuzo za Uandishi wa Insha za Wanafunzi za Mwaka 2025

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi rasmi kwa umma, washiriki, wazazi na walezi kufuatia maswali na sintofahamu iliyojitokeza kuhusu utoaji wa tuzo kwa washindi wa Shindano la Uandishi wa Insha la Mwaka 2025. Hoja ya awali ~ JKCI zile tuzo kwa Wanafunzi Bora...
  5. C

    Singida Black Stars yatoa ufafanuzi kuachana na wachezaji wake 04

    Uongozi wa klabu ya Singida Black Stars umetangaza kufikia makubaliano ya kuvunja mikataba na wachezaji wake wanne, ikiwa ni sehemu ya tathmini ya kikosi inayolenga kukiboresha na kukifanya kiendane na mahitaji ya kiufundi na mipango ya klabu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya...
  6. Naomba ufafanuzi kuhusu hukumu yaTundu Lissu

    Kwa mjibu wa Sheria, wanasheria wameeleza kuwa mtu anapofungwa kifungo chenye ukomo, sheria ya magereza anampa msamaha wa 1/3 ya muda wake wa kukaa gerezani. Kwa kuwa Lisu alikuwa amekaa zaidi ya siku mwaka 1 na miezi 7 yaani siku 577. Ikiwa atapunguziwa 1/3 ya adhabu je ni sahihi atakuwa...
  7. Naomba kupata ufafanuzi kuhusu mabomu ya gongo la mboto ilikuwaje

    NAOMBA UFAFANUZI: MABOMU YA GONGO LA MBOTO YALILIPUKA LENGO NI NINI, NA NANI ALIYATEGA? Naomba kupata ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa, wataalamu wa masuala ya usalama, historia na wale wanaofahamu vizuri tukio la milipuko ya mabomu iliyotokea Gongo la Mboto, Dar es Salaam. Kuna maswali...
  8. R

    Uongozi wa CUHAS waelezeni wazazi mabadiliko ya fedha ya usafiri na si kuwatwisha mzigo watoto bila wazazi kuwa na tarifa na ufafanuzi wa mabadiliko

    Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK! Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
  9. Naomba nitolee ufafanuzi kuhusu ile mada ya Chupa yenye maji ya MOTO

    Najua wengi hawakunielewa kwanini niliamka nikaanza kuuliza au kujiuliza swali fikirishi la kidadisi lenye kuonekana km kwamba ni swali la kitoto. Lakini ni ukweli ulio wazi lile sio swali la kitoto ni swali ambalo watu wamekaa wakalofanyia uchunguzi wa kina. Sasa ipo hivi; Maji ya kwenye...
  10. Ujinga mwingine nikudhani kila jambo unaweza kulitolea ufafanuzi

    Hellow wana JF. Hivi sasa kwenye jamii kunazidi kuibuka vijitabia vya mtu/watu kudhani kila jambo wanaweza kulizungumzia au kujadili hata kama hawana ujuzi wa jambo hilo(hata hapa JF kuna watu wanadhani wanaweza kuzungumzia kila jambo). Hivyo vijitabia vichafu chafu vinapelekea watu kutukana...
  11. A

    KERO Wafanyabiashara wa Maua, Mbuyuni- Dar tumepewa siku 3 kuondoka ikielezwa kuwa haitakiwi fremu kuwa kando ya barabara

    Ndugu wanajukwaa, Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam. Mwaka jana 2025, tulikutana na...
  12. Nahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu wale mabikra 72 walioko peponi 😎

    Kuambiwa peponi Kuna mabikra 72 kumenfurahisha, lakini Wala hakujafanya nisahau kuuliza maswali ya msingi kuwahusu. Nataka nijue yafuatayo: Je, mabikra hao wana makalio makubwa yaani qeboz? Je, watakuwa ni weusi weupe? Je, ukipewa wazungu, ambao kwa kawaida hawana qeboz, unaruhusiwa...
  13. PSRS naombeni msaada wa ufafanuzi kwenye hili tafadhali

    Kwanza hongereni kwa kufanya kazi yenu vizuri sana! Kwa kweli kwa kipindi hiki, kwa style hiyo ya interview imeondoa kubebanabebana!! 1. Kwa uzoefu wangu ni kwamba, huwezi kupata cheti cha NIDA bila kuwa na cheti cha kuzaliwa. Sasa mimi nikiwa nina cheti cha NIDA alafu cha kuzaliwa sina, iwaje...
  14. Ufafanuzi kuhusu msimamo wa kisheria kuhusu "nyumba ya wanandoa"

    UTANGULIZI Nimekutana na video mitandaoni ikimuonesha mwanadada aitwaye Frola Shija akifafanua kuhusu nyumba ya wanandoa. Katika video hiyo ameeleza kwamba mwanaume akijenga nyumba kabla ya ndoa halafu akaoa mke na kwenda kuishi naye kwenye hiyo nyumba inakuwa ya kwao wote. Pia ameeleza kwamba...
  15. Waziri wa madini, tunaomba ufafanuzi kuhusu uhalali wa uongozi wa FEMATA! Ukizingatia kuwa FEMATA haina katiba

    Mheshimiwa Waziri wa Madini, Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA). Inadaiwa kuwa FEMATA inaendeshwa bila Katiba inayotambulika na wanachama wake, huku uhalali wa uongozi wake wa...
  16. Responded Waratibu wa Mkutano wa LCOY watoa ufafanuzi kuhusu tuhuma na malalamiko dhidi yao

    Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika. Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026 Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
  17. S

    Naomba ufafanuzi: Kitu kisicho halali ni haramu, au kuna mazingira ya kufanya kisicho halali kisiwe haramu?

    Kuna mtu kanichanganya hapa, naomba ufafanuzi: Kitu kisicho halali ni haramu? Kuna mazingira ya kufanya kisicho halali kisiwe haramu?
  18. A

    DOKEZO Nimeshangaa huko Instagram NIDA wanahimiza Wananchi wampigie kura mshiriki wa Miss Grand ili waweze kupata “Special Treatment”

    Leo kwenye pitapita zangu za mtandaoni, nimekutana na hili kwenye ukurasa rasmi wa NIDA, nikabaki nashangaa. Kwenye comments, inaonekana baadhi ya wananchi wanaelekezwa kuwasilisha ushahidi wa kushiriki katika zoezi la kumpigia kura mshiriki wa Miss Grand ili waweze kupata “Special Treatment”...
  19. A

    Responded Suala nililowasilisha JF kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa

    Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
  20. HOJA OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026

    YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026 Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA. Ndugu Viongozi, Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waajiriwa wapya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…