Baadhi ya tovuti kubwa duniani, zikiwemo za Zoom, HSBC, Equifax, CNN, Salesforce na Ikea, zimeathiriwa na shambulio la mtandaoni lililolenga kuiba taarifa na fedha za kidijitali pamoja na kushambulia vifaa vya iPhone.
Mtafiti wa usalama wa mtandao, Scott Helme, amesema msimbo hasidi uliingizwa...