udhibiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Wabunge Wataka Udhibiti Mkali wa Vyakula Visivyo na Lishe Vinavyouzwa Migahawani

    Wabunge nchini Kenya wameitaka serikali kuweka kanuni kali zaidi za kudhibiti uuzaji na matumizi ya vyakula visivyo na lishe vinavyopatikana katika migahawa ya chakula cha haraka, wakionya kuwa tabia hiyo inaongeza hatari ya magonjwa yasiyoambukiza hasa miongoni mwa vijana. Akizungumza wakati...
  2. A

    DOKEZO Kuna tabia ya udokozi wa dawa kwa Wagonjwa waliolazwa Hospitali ya Mawenzi. Uongozi udhibiti tabia hiyo

    Kuna kero nimekutana nayo hapa Hospitali ya Mawenzi, kuna wizi wa dawa sana, unaandikiwa ukanunue dawa ukiweka kwenye kabati ya mgonjwa ukirudi mchana unakuta hazipo. Mfano unanunua mabomba ya dawa dozi ya siku lakini mgonjwa atachomwa mara moja kisha wanakwambia zimeisha, hii ni mbaya sana...
  3. 6/11, maamuzi ya mahakama kuhusu kesi ya Tundu Lissu yatasomwa. Msiogope wala msifadhaike mioyoni mwenu. Yote yako chini ya Udhibiti wa Mungu wa haki.

    Kuna baadhi ya watu wana hofu na fadhaa kuu ya nini kitatokea tarehe 6/11/2026, siku ya maamuzi ya kesi ya Mh Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa... Wengine wanaamini, Lissu tayari alishahukumiwa kufa na kwamba kinachosubiriwa ni hukumu hiyo kuwekwa wazi tu.. Mimi nasema, SIO KWELI na...
  4. Udhibiti kwenye betting

    Kampuni za kubeti nimuhimu ziongeze nguvu katika kudhibiti na kumsaidia mchezaji ili kuwa na safe betting Mambo haya ni yamsingi. 1. Kuwepo na uwezo wa mtu kufuta account yake 2. Kuwepo na uwezo wa kuzuia kwa muda account yake 3. Kukumbushwa kutoka katika account mchezaji anapokaa muda mrefu...
  5. Bill Gates: Kitambulisho Kidijitali na Udhibiti Kamili

    BILL GATES: KITAMBULISHO CHA KIDIJITALI KITADHIBITI KILA HATUA YAKO — MWILI WAKO, PESA ZAKO, CHAKULA CHAKO NA CHANJO ZAKO ZITAELEZA KAMA UTAWEZESHWA “RUHUSA YA KUISHI” AU UTAZIMWA! Gates anapongeza kuunganishwa kwa kitambulisho cha kidijitali cha kibayometriki, akaunti za benki, mifumo ya...
  6. K

    Kutoka Jukwaani hadi "Sebuleni": Mmomonyoko wa Itifaki, Shida ya Uteuzi na Kuporomoka kwa Mifumo ya Udhibiti na Mizani katika Utumishi wa Umma

    Hivi karibuni, mwelekeo wa hotuba na matamko ya viongozi wengi wa umma nchini umeshuhudia mabadiliko makubwa yanayozua maswali mengi kuliko majibu. Kauli kama zile za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, zinazotoa vitisho vya kisaikolojia au kisheria kwa raia na madereva, zimekuwa...
  7. Utawala wa Rais Samia: Kutoka kufungulia vyombo vya habari hadi udhibiti mkali

    Mjadala kuhusu uhuru wa habari nchini Tanzania umeingia katika sura nyingine baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, kusema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyerejesha uhuru wa habari baada ya kuingia madarakani Machi 19, 2021, huku akilituhumu gazeti la...
  8. Roboti waandamana Warsaw kudai Udhibiti wa Akili Mnemba

    Takriban roboti 30 wameandamana katika mji mkuu wa Poland, Warsaw, wakipeperusha bendera na kuimba kaulimbiu nje ya Wizara ya Masuala ya Kidijitali. Maandamano hayo yameandaliwa na kundi la Democratism kwa lengo la kuibua mjadala kuhusu athari za Akili Mnemba na matumizi ya roboti katika soko la...
  9. K

    "Soft Censorship" Inavyonyonga Uandishi Huru Tanzania: Pascal Mayalla Kama Mfano wa Kifani (Case Study) wa Udhibiti Mpya wa Kiutawala

    Mvutano wa kijenetiki kati ya uandishi wa habari huru na mamlaka za dola nchini Tanzania unaendelea kushika kasi mpya, ukionyesha mageuzi makubwa ya kimbinu. Uhusiano huu wenye migogoro sasa unajidhihirisha wazi kupitia hatua za hivi karibuni za kiutawala dhidi ya mwanahabari, mchambuzi mkongwe...
  10. M

    Barua ya Wazi: Kutoka Kwenye Udhibiti wa Kisiasa Hadi Kwenye Ulinzi wa Nguvu Kazi na Mamlaka ya Kidijitali.

    KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika. KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa. Waheshimiwa Viongozi, Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
  11. Kulinda amani: Udhibiti mitandao ya kijamii

    Tume ya Uchunguzi imependekeza kuanzishwa kwa mfumo madhubuti wa kufuatilia na kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi ili kuzuia uchochezi na uenezi wa habari za uwongo. Serikali inashauriwa kuweka sheria maalumu zinazohitaji majukwaa ya mitandao kutoa taarifa za...
  12. Graham Aitaka Udhibiti Kamili wa Hormuz, Akataa Mkataba Wowote na Iran

    Seneta Lindsey Graham alisifu vizuizi hivyo kwa kuidhoofisha uchumi wa Iran na akataja mashambulizi ya IRGC dhidi ya meli kuwa ishara ya kukata tamaa. Alimtaka Rais Trump achukue udhibiti wa Mlango-Bahari wa Hormuz na kuendeleza vizuizi hivyo, huku akikataa mkataba wowote unaoruhusu Iran...
  13. Tribute to Dennis Busulwa (Ssebo), Aliiheshimu Sana TCRA na Kuiita Baba! Alitamani isiitwe Mamlaka ya Udhibiti, iitwe Mamlaka ya Ulezi wa Utangazaji!

    Wanabodi Leo tumemuaga mwana tasnia ya habari, Dennis Busulwa kwa jina maarufu la Ssebo Hii ni Tribute yangu to Dennis Busulwa (Ssebo), aliiheshimu sana TCRA na kuiita Baba!. Alitamani TCRA isiitwe Mamlaka ya Udhibiti, iitwe Mamlaka ya Ulezi wa Tasnia ya Utangazaji!, na kuiita Baba Mlezi wa...
  14. R

    IGP Camillus Wambura: Udhibiti na usiamaizi wa silaha ni jukumu la kila mtanzania, sote tunawajibika kuilinda nchi yetu

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amewataka Watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa silaha, ili kulinda nchi yetu ikiwa ni utekelezaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. IGP Wambura ameyasema hayo Februari 3, 2026 jijini Dar es Salaam...
  15. SOFTWARE Fedhabook: Mfumo Unaokupa Udhibiti Kamili wa Mauzo, Stock, Cash Flow + Invoice, Quotation & Delivery Note

    Habari wanaJF, Hebu nikuulize swali moja la msingi kama mmiliki wa biashara👇 Ukiwa nyumbani, safarini au hata nje ya nchi— 👉 Unaweza kuona hali halisi ya biashara yako sasa hivi? Kama jibu ni hapana, basi kuna tatizo kubwa kuliko unavyodhani. 👉 Ukweli mchungu ni huu: Biashara inaweza kuwa...
  16. L

    Juhudi za udhibiti wa kichocho za China zawaokoa maisha Visiwani Zanzibar

    China ni nchi kubwa inayoendelea, ambayo imekuwa mstari wa mbele katika kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea duniani zikiwemo za Afrika, kujipatia maendeleo kwa njia na mazingira yanayoendana na nchi husika. Kwa kupitia njia mbalimbali, China imekuwa ikitoa misaada kwa nchi hizo katika sekta...
  17. PostGE2025 Prof. Mkumbo: Dira 2050 ina matarajio ya kupunguza udhibiti wa biashara

    "Dira 2050 imeweka matarajio mahsusi pia: kuwa na sera, sheria na kanuni wezeshi zinazopunguza udhibiti uliokithiri na zinazochochea ukuaji wa biashara za ndani pamoja na kuvutia uwekezaji wa ndani na nje; kuwa na mfumo imara wa kidijitali unaoendeleza biashara zinazochipukia kupitia sera...
  18. M

    Maria Sarungi amemuuza Rasmi Mange Kimambi. Funguo rasmi ya udhibiti wa umma iliyoporwa Oktoba 29, inaenda kurudishwa

    Ukweli halisi wa kilichotokea Oktoba 19 umezimwa. Watu hawana mida tena wa kutafuta kilichojiri, badala yake wanafikiria kufanya maamdamano mengine bila tathmini ya kikichotokea. Kumbuka hatudili na serikali ya watu, bali ni kikundi cha kigaidi. Imeshafahamika, Wanapiga CURFEW Wanazima...
  19. QR Code haiwezi kuwa njia ya udhibiti wa jezi feki

    Sijajua kama huu utaratibu uliowekwa wa mzabuni wa jezi za Simba JayRutty kuweka QR Code katika jezi kama ni njia sahihi ya kudhibiti jezi feki. Ninavyofahamu mimi ukishajua hiyo QR Code inatakiwa kukupeleka kwenye website na ukurasa gani, hata mimi ukinipa dakika 2 naweza kuitengeneza sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…