uchochezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tundu Lissu ashukuru kufungwa tu, kosa lake la uchochezi ni kubwa sana, lingeweza kumgharimu maisha.

    Kosa la uchochezi (sedition) alilohukimiwa nalo Tundu Lissu kwa sababu ya kudai mabadiliko ya kisiasa ni kosa la kale sana ambalo liliwagharimu maisha kabisa watu wakubwa zaidi yake waliomtangulia. 1. Yesu Kristo japo leo hii ana wafuasi zaidi ya bilioni mbili lakini kosa lililopelekea...
  2. Uhaini na Uchochezi kichaka cha wenye mamlaka kujifichia kukwepa majukumu yao

    Kwa nini hawa jamaa wanapenda kujificha kwenye kichaka cha mashitaka ya uchochezi na uhaini....???
  3. C

    Patrobas Katambi: Wanao tukana mtindaoni na kufanya uchochezi hamutaachwa salama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewakumbusha Wananchi kutumia Mitandao ya Kijamii kwa uwajibikaji na kuacha kusambaza taarifa za uchochezi, matusi, picha za utupu pamoja na taarifa za uongo zinazokiuka maadili na Sheria za Nchi. Akizungumza na Wananchi wa Madangwa...
  4. Mapendekezo ya LHRC juu ya Hukumu ya Kesi ya Uchochezi ya Tundu Lissu

    Haya hapa mapendekezo na wito wa LHRC kulingana na hukumu ya kesi ya uchochezi ya Tundu Lissu 1. Wito kwa DPP Kupitia Upya Mashtaka ya Uhaini La kwanza ni kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia upya mashtaka yote ya uhaini yaliyofunguliwa kwa kutumia kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya...
  5. Je, Tundu Lissu katenda kosa la uchochezi katika kipindi gani?

    Tunachojua kosa lazima lijulikane limetendeka lini.. Je, hilo kosa la Tundu Lissu hadi anafungwa, alilitenda lini?
  6. Hukumu ya Lissu: Japo Haki kwa Kesi ya Kubambikiza ya Uhaini Imetendeka, Haikuonekana Kutendeka kwa Kupachikiwa Uchochezi!, Alipaswa Kuachiwa Huru!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwanachi la leo, nikizungumzia hukumu ya Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Kitendo cha kukutwa hana hatia ya kesi ya uhaini, kwa jicho la jamii, japo haki kwa kesi ya kubambikiza uhaini imetendeka, lakini kwa jicho la jamii, haki haikuonekana...
  7. Kuna jambo la msingi sana hatulizungumzii lililofanywa na Majaji kuhusiana na hukumu ya Lissu ya walichoita kosa la uchochezi

    Wengi tumeshangazwa, tumekasirishwa na kuchukizwa na hukumu ya kesi ya Tundu Lissu kwa kile kitendo cha mahakama kuibua walichokiita kosa dogo la uchochezi katika mashtaka ya Uhaini. Yameibuka majadiliano mengi kuhusiana na uhalali wa hukumu hiyo, wengi wakisema hakuna koso dogo katika mashtaka...
  8. Rasmi: Tundu Lissu amekata rufaa ya kupinga hukumu ya miaka 4 jela kwa kosa la uchochezi ambalo hakuwahi kushitakiwa wala kujitetea kwa hilo!

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu, amekata rasmi rufaa katika Mahakama ya Rufaa ya Tanzania kupinga hukumu ya kifungo cha miaka minne jela aliyopewa Novemba 6, 2026. Hati ya kusudio la rufaa hiyo, iliyowasilishwa na wakili wake Dkt...
  9. F

    Kauli ya Kihongosi dhidi ya Heche ni uchochezi au ndio siasa zenyewe?

    Ni Ile ya kudai kuwa "Lissu aliandika barua kuomba maridhiano fake ,barua ilipomfikia Heche akaichana". Kwa maoni yako huu ni uchochezi kuleta chuki ndani ya jamii au ndio uhuru wa kutoa maoni?
  10. S

    Ni kweli mahakama inaweza kutoa hukumu ya uchochezi badala ya uhaini; lakini Jaji Ndunguru na wenzake wametoa hukumu ya maelekezo kwa mhemuko? Angalia

    Ni wazi kwamba kwa sheria za Tanzania Jaji Ndunguru na jopo lake wangeweza kumhukumu Lissu kwa kosa la uchochezi badala ya uhaini, kwa sababu sheria za Tanzania zinaruhusu hilo. Ila sasa, inawezekana kabisa Jaji Ndunguru na wenzake wamefanya hivyo huku wakikiuka misingi ya sheria. Msimamo wa...
  11. Jaji Ndunguru anachekesha sana

    Kwakweli Jaji Ndunguru anachekesha sana. 1. Kichekesho cha kwanza, awali kwenye rulling ya case to answer, Jaji Ndunguru alidai Mh Tundu Lissu ana kesi ya kujibu kuhusu tuhuma zake za uhaini. Cha kushangaza Leo kadai hakuna ushahidi wa kumtia hatiani na kwamba ushahidi wa Jamhuri ulikuwa...
  12. Video: Sheria inasemaje kuhusu Uchochezi?

  13. S

    Wachochezi hapa ni serikali na majaji; ni vipi umshitaki mtu kwa kosa la uhaini kisha umuhukumu kwa kosa la uchochezi?

    Nashangaa sana kwamba Tanzania imefikia mahali hapa ambapo hata majaji ambao wanapaswa kuheshimika sana katika jamii, wanaonyesha wazi kwamba wanafanya mambo kwa maelekezo ya serikali. Lissu kashitakiwa kwa kosa la uhaini Lissu kanyimwa dhamana kwa sababu kashitakiwa kwa kosa la uhaini Lissu...
  14. C

    Familia ya Lissu: Hukumu imetuuma sasa tunajiandaa kwa maziko

    Baada ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam, kumhukumu kifungo cha miaka minne jela, Mwenyekiti wa Chadema Taifa,Tundu Lissu, familia yake inayoendelea na maombolezo ya kifo cha kaka yao, Wakili Alute Mugwai, imeeleza kuumizwa na hukumu hiyo. Imesema haiwezi kuingilia uamuzi wa...
  15. K

    KUTOKA UHAINI HADI UCHOCHEZI: Uchambuzi wa Kisheria na Kisiasa wa Hukumu ya Tundu Lissu na Mustakabali wa Demokrasia Tanzania

    picha: Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akionyesha msimamo thabiti nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania wakati wa mchakato wa kesi yake. Wakuu wa jukwaa hili, Kama nilivyoahidi asubuhi ya leo hapa jukwaani kuwa nitaweka andiko refu la uchambuzi kufuatia maamuzi ya kesi inayomkabili kiongozi wa...
  16. Kosa la uchochezi halina faini hapa nchini?

    Tunashangaa sana . Kwa nini mtu afungwe miaka minne bila hata faini? Majaji hawa hawatumii busara kabaisa.
  17. Lissu alijitetea lini kwenye kesi ya uchochezi? Tupo kwenye taifa la hovyo sana

    Unajiita mahakama na unaruhusu huu uhuni? Kwanini lakini? Unaweza vipi kumfunga mtu bila kujitetea?
  18. Stephen Wasira: Wanaharakati na Wanasiasa tushindane kwa hoja badala ya matusi na uchochezi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewataka wanaharakati na wanasiasa kujenga mijadala ya kisiasa kwa hoja badala ya matusi na uchochezi, akisisitiza kuwa CCM haina uhasama na chama chochote cha siasa. Wasira amesema chama hicho hakikatai kukosolewa...
  19. T

    Eti kukumbuka mauaji ya Oct 29 ni uchochezi kwa hiyo muue watu kwa maelfu alafu ipite hivihivi!? Watu au mbuzi?

    Yaani nchi yetu Ina watu wana matatizo makubwa sana ya kufikiria Oct 29 2025 ni siku ngumu sana ambayo maisha ya watu wote yaliathirika vibaya sana. Maisha ya mamia kwa maelfu ya watanzania wenye hatia na wasio na hatia walipoteza maisha kupotea na kupoteza maisha na wengine kupata ulemavu wa...
  20. PostGE2025 Kanisa Katoliki kupanga misa ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29 ni muendelezo wa uchochezi wenu

    Friends and our enemies, KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide. KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim. Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…