uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania ACT: Vipi, bado tunashiriki uchaguzi?

    Agosti 17, baada ya kuzisikia hoja za Luhaga Mpina akiwahutubia wafuasi wake dhidi ya Rais Samia na Serikaliyake, niiandika makala tajwa hapo chini, ambayo jana Agost 26, yametimia...
  2. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baraza la Kidigitali CHADEMA: Viongozi wajadili mustakabali wa uchaguzi Mkuu 2025

    Chama cha Demokrasia na Mendeleo kimeandaa Baraza la Kidigitali ambalo leo Agosti 27, 2025 kwa lengo la kujadili mustakabali wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Fuatilia... https://www.youtube.com/watch?v=X6MuQ8tB36M
  3. JamiiForums Tanzania Mpina na Zitto wanatuchezea Kombolela Kwenye uchaguzi

    GT Kwa akili ya kawaida hakuna asiyejua behind the scene kwamba Zitto anang'ata huku kule anakuja kupuliza. Hizi sarakasi za mpina kuzuia kugombe Zitto is involved 💯 haya matamshi na mabarua mengi ni kujikosha tu but they know everything. Mpina naye anasumbuliwa na ushamba kama hajatumwa na...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi Mgombea Urais wa ADC (Wilson Malumbe) kwenye kuwania Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo. Haya yanajiri wiki...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia anarudisha Fomu ya Uchaguzi Mkuu muda huu Agosti 27, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Z2GEtzscmaY https://www.youtube.com/watch?v=2cTVOqAW2xg Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akirudisha fomu ya Uchaguzi Mkuu Tanzania katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania (INEC) Dodoma, leo tarehe 27 Agosti, 2025.
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Yaani Uchaguzi wa mwaka huu hata wadhamini wa wagombea hawatafutwi? Mbona Samia sijaona popote akitafuta wadhamini

    Hili ni swali kwa wajuvi wa sheria je takwa hili la wagombea kuhakikisha kwamba wana wazunguka na kupata wadhamini kwa nafasi za urais kutoka mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani halipo tena? Au wadhamini wanaweza kupigiwa simu na kusaini kwa mfumo wa kidijitali?
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Boni Yai ameikana 'No reforms no election' asema wapo tayari kwa uchaguzi

  8. JamiiForums Tanzania Kuna maeneo 6 ya msingi hata kesho yakifanyiwa kazi Uchaguzi utakuwa wa haki

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Jjijini Dar es Saam rais wa TLS Chama cha Wanasheria (Tanganyika Law Society ) Wakili Mwabukusi amesema kuwa kuna maeneo 7 critical na 6 niya muhimu sana hata kesho yakifanyiwa marekebisho uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki tukikaa mezani tuone tatizo liko...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema, anaiunga mkono CCM uchaguzi mkuu

  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa: Uchaguzi utakuwa huru wa haki na uwazi, Oktoba tukapige Kura

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi kwa kuwachagua viongozi, ambapo amesema uchaguzi huo utakuwa huru, wa wazi na haki huku akitoa rai kwa Wananchi kutopata hofu ya kujitokeza kupiga kura akidai kuwa wasiwe na shaka ya usalama. Ameyasema hayo...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mwabukusi: Watanzania wana wajibu wa kidemokrasia wa kushiriki uchaguzi

    Naombeni kujua hii una ukweli wowote?
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Viongozi wa kidini mnakubalije kwenda kwenye uchaguzi mnaojua ni kiini macho?

    "Viongozi wa kijamii, viongozi wa kidini, dini zote. Wazee wetu kama wapo mnakubalije kwenda kwenye uchaguzi mnaojua ni kiini macho? Kwa mfano viongozi wa kidini au na nyie ni sehemu ya ukiini macho huu. Hivi mnapokwenda sirini kumuomba Mungu, mnaamini kuna uchaguzi? Mnaamini ACT ni chama...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mpinzani wa kweli wa CCM ni CHADEMA, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi Tundu Lissu yupo jela

    Mpinzani wa CCM wa kweli, ukiacha wakati wanakichakachua ni chama hiki cha CHADEMA, wafanye watakavyoweza viongozi waruhusiwe, wafanye kazi ni haki yao. Kiongozi wao yuko jela, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako na kiongozi wake kuu Bw. Tundu Lissu yupo jela. Hii...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Watanzania msikubali kwenda kwenye uchaguzi mpaka madai ya msingi yafanyiwe kazi

    "Chama chetu kimetekwa, lakini bado tunaendelea kuwatia moyo hasahasa mwenyekiti wetu afanye mageuzi makubwa ya Chama cha Mapinduzi, atuondolee kundi la wanamtandao kisha atuwekee mchakato mpya kwa kupata wagombea wapya wa Chama Cha Mapinduzi. Wahuni wamejimilikisha chama, wamewashika viongozi...
  15. JamiiForums Tanzania "Kuna Maisha baada ya Uchaguzi" Kauli ya Kipuuzi inayotumiwa na Wapumbavu kuhalalisha Maisha yao ya Kifisadi !!

    Wote wanaotumia hii Kauli, nawaweka kwenye Kundi la Watu wapumbavu, wahuni, wezi wa Nchi hii . Hoja zao ni zile zile Amani ikipotea tutaseka. Tuilinde Aman yetu . Kuna Maisha baada ya Uchaguzi. Wapumbavu Wakubwa Nyinyi ,msokua na Haya ,majizi na wazandiki ,mifilisi ya Nchi hii Maisha...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar

    Chadema Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Yasisitiza msimamo wa chama wa No Reforms No Election
  17. JamiiForums Tanzania Wanavyokunjaga sura, huwezi amini wanapelekeshwa na wajinga kama CCM. Wanapigishwa Mistari kupiga kura wakati Uchaguzi ulishaamuliwa.

    Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote. Yaaani hawa nao Oktoba wanapigishwa mistari kutiki wakati CCM, Tume na NIDA walishaamua kura ziweje na ushindi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Je Kuna mtu anawaza juu ya umoja wa kitaifa baada ya uchaguzi.

    Leo ndo hitimisho la novena na waislamy Leo wapo diamond jubilee kumuombea raisi ashinde kwa kishindo. . . Acha tuone mwisho wake
  19. JamiiForums Tanzania INEC yamjibu Polepole, yasisitiza uhuru wa mifumo yake ya uchaguzi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejitokeza hivi karibuni kukosoa mamlaka. Polepole, katika mazungumzo yake yaliyofanyika usiku wa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…