uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali kupeleka bungeni muswada wa Sheria juu ya chama cha siasa kujitoa kwenye uchaguzi

    Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa. Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya...
  2. JamiiForums Tanzania Rasmi NCCR Mageuzi yajitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Chama cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24. Msimamo huo umetolewa leo na Mwenyekiti James Mbatia jijini Dodoma. ==== Chama cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24...
  3. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu unaweza kusogezwa mbele hadi mwaka 2021?

    Leo ni jumapili, akili inapata muda mzuri wa kutulia na kuwaza mambo mengi. Hivi ikitokea kwa mgongano huu uliotokea wa serikali za mitaa na serikali ikaona kuna haja ya kuzungumza na vyama vya siasa vyote na kwenye mazungumzo hayo Serikali na vyama vya upinzani wakaondoa tofauti zao na kuamua...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

    Halo JF siasa. Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kinachofuata wapinzani kugomea uchaguzi 2020 mpaka kuwe na Tume Huru

    Huu uchaguzi mdogo umefungua mengi na wale ambao wanafanya mikakati ya Chama au strategist wa CCM wamekosea sana. Wamecheza karata kwa kuonyesha kadi zao na kwa msingi huu wapinzani siku zijazo chache watatangaza kutokushiriki uchaguzi wa 2020 mpaka kuundwe tume huru ya uchaguzi. Wale ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Dhuluma ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yatinga kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa

    Tayari Aljazeera , BBC , CNN na AFP wameanza kulifuatilia kwa karibu
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya wapinzani kujitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Serikali yamwagiza Jafo kukutana na Wapinzani na kurudisha majina yote

    Kumekucha habari za ndani ya kapeti ni kwamba msimamo wa vyama vya upinzani kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, umewatia kiwewe viongozi wakuu wa ccm na wanachama wao wote wakihofia, kutokukubalika kwa uchaguzi huo kimataifa, idadi ndogo ya watakao jitokeza, Kukosa pesa za kampeni...
  9. JamiiForums Tanzania Vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wawashauri waliokuwa wagombea waandike barua ya kujitoa rasmi

    Hivi punde kuna taarifa ya Waziri wa TAMISEMI ikisema baada ya rufaa wagombea wote waliokuwa wamekata rufaa watarudishwa kwenye kinyang'anyiro. https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-jafo-asema-atabandika-majina-hata-ya-wale-waliojitoa-na-kura-zitapigwa.1649064/unread Na ninavyofahamu mimi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Mkuu wa 2020 unaweza kushirikisha wapiga kura wachache kuliko chaguzi zote

    Mwanaharakati huru Deusi Kibamba amesema figisu za uchaguzi zilianzia kwenye kura za maoni za CCM na wale waliopitishwa ndio " hao" wanaolazimishwa kupita bila kupingwa. Kibamba amedai kuwa demokrasia ya Tanzania imegawanywa katika vipande viwili wale wanaoruhusiwa kufanya siasa na wale...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

    Huwezi kukiondoa madarakani chama kikongwe kama CCM kwa kulalamika kwenye vyombo vya habari, au kusubiri kigawanyike, unaweza kusubiri isiwe na kulalamika tu hakutoshi. Hadi sasa hatuoni movement yeyote serious kuonyesha kweli mna nia ya kuingia ikulu, pamoja na operation Chadema ni msingi, kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe. ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Vyama 11 vya upinzani visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania, vimetangaza kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Hivi ndio vile UMD, NRA, CCK, SAU ,TADEA, PONA, DP na vingine. Hivi ndio mikoa ya ccm, wao ndio huibeba ccm kila CHADEMA inapokataa kushiriki. Nakumbuka waliitwa diamond jubilee baada ya uchaguzi wa 2015 kukubali matokeo baada ya CHADEMA kuyagomea. Imetokea tena, leo wanatoa tamko la pamoja...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa: Ni huzuni, aibu, fedheha na si afya kwa Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla. Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika...
  15. JamiiForums Tanzania Wapinzani watakaoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania

    Baada ya juzi kuandika uzi wenye kichwa cha habari hapo juu, naona Chadema kwa mara ya kwanza wamefanya uamuzi sahihi sana wa kutoshiriki kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, pongezi sana kwao sasa ni zamu ya vyama vingine kutoubaliki uchaguzi huu haramu, Zitto Kabwe na Act Wazalendo...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
  17. JamiiForums Tanzania Butiama: Mashamba ya wasimamizi ya Uchaguzi yaharibiwa

    Habari kutoka jimbo la Butiama mkoani Mara zinaeleza kuwa uharibifu umetokea kwenye mashamba ya watendaji wanaosimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile kinachoelezwa ni baada ya wagombea wa vyama vya upinzani kukatwa majina yao
  18. JamiiForums Tanzania Wakili Cleophas Mjema: Uchunguzi wangu umeonyesha kuwa mchakato wa kuharibu uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa na hatua zifuatazo

    Anaandika Wakili Cleophas Mjema, __________________________________ Uchunguzi wangu umeonyesha kuwa mchakato wa kuharibu uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa na hatua zifuatazo: 1. Maafisa wasaidizi wa kata waliagizwa na wakuu wa mikoa na wilaya, kuwashawishi wenyeviti wa vijiji, vitongoji na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini. Chanzo: ITV habari Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya unga wa Sembe yapanda, Serikali iingilie kati

    Natoa tu angalizo kwa katibu wa idara ya uchumi ya chama changu CCM, huku mtaani bei ya Unga wa Ugali ( Sembe na Dona) ni kati ya sh 1500 hadi 1700 kwa kilo. Ikumbukwe kuwa mahindi yamevunwa juzikati tu sasa ikifika February 2020 sijui hali itakuwaje? Serikali itoe ruzuku kwa wakulima wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…