uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kaongea jambo moja ambalo kila mtu anapaswa kulitafakari na kujiuliza kama ambavyo yeye anajiuliza

    Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea uchaguzi huru na wa haki, kwake halipo kabisa kwani ameonyesha wazi hatarajii hilo kutokea, ila...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi: Ikiwa Tundu Lissu atagombea Urais 2020, Majimbo haya Singida yajiandea kuwa CHADEMA

    Asalaam wajumbe wa jukwaa hili! Nataka niwape taarifa kwa wanaccm wote ambao ni wagumu kuelewa, hili nalisema kabisa kutokana na hali ilivyo ambayo inaambatana na matukio ya kura za maoni CCM ambayo kwa kiasi kikubwa yalitawaliwa na rushwa. 99% ya majimbo ambayo yalifanya uchaguzi kura za...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli ambao wana CCM hawataki kuusikia: Magufuli hatashinda Urais Uchaguzi Octoba 2020

    Niwaambie tu kuwa hata Mobutu alisifiwa sana kwenye utawala wake , waliomsifia walikuja na sababu lukuki. Huenda Magufuli amefanya mengi mazuri kuliko hata Mobutu. Hata yule aliyekuwa Rais wa Malawi walimsifia sana na wapo walioamini kuwa aliyoyafanya yatampa kiti tena kwa mara ya pili. Mifano...
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli Vs Bernard Membe Vs Tundu Lissu. Huu uchaguzi sijui utakuwaje

    Najaribu kufikiria itakuwaje maana CCM walionyesha kumpitisha kwa 100% hili wanalijua wenyewe walicho kifanya mpaka apite kwa 100% hata watu wa Lindi Wajumbe wanaoishi katika Jimbo alilotoka Membe nao walimpitisha kwa 100% tunaelewa maana yake hii tunaita kwa kingereza Flatering, majibu yao...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi, yatoa ratiba ya Uchaguzi 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi, yatoa ratiba ya utekelezajo wa Shughuli za Uchaguzi 2020
  6. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi huu, mwaka 2025 wapiga kura wataongezeka sana

    Maana halisi ya nguvu ya umma sasa imeonekana. Uwazi wa kura wanazopata wagombea katika hatua ya Vyama inahamasisha sana na wananchi tunaona maana ya kura sasa. Vyama vyote ambavyo kwa vyovyote vile vitabadili wagombea na kuwaacha wale ambao wanaonekana vinara wanatakiwa wafanye hivyo kwa...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Salaam wakuu, Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020. Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya...
  8. JamiiForums Tanzania Rushwa katika uchaguzi ni mbegu mbaya inayopandwa na CCM

    Nimeanza kuona watu wakitetea tatizo hili la rushwa kwa kusema lete ushahidi. Ukweli ni kwamba nafasi ya wajumbe wa CCM kuamua nani awe mgombea, inatumika vibaya sana! Hawa ni watu ambao hawalipwi mshahara. Wakati wa uchaguzi hutegemea kipato toka kwa wgombea huu ni mtindo ambao umejionesha...
  9. JamiiForums Tanzania Tuvisaidie Vikao: Tushirikishane Taarifa za Rushwa Majimboni

    Pongezi JF Nimekuwa nikiwasiliana na watu kadhaa walioshiriki kwa namna moja au nyingine kwenye kura za Maoni. Jambo moja naona limejitokeza, Kuna maelezo kuwa Rushwa imetembea huenda kuliko wakati mwingine wowote. Tumuunge Mkono Mwenyekiti wa CCM katika juhudi zake za kupambana na Rushwa...
  10. JamiiForums Tanzania Membe, Tundu Lissu si karata sahihi kupeperusha bendera kupitia Muungano wa Vyama vya Upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Naomba nianze na salamu wana jukwaa la siasa. Hapa jamvini jamii Forum. Kutokana na kipindi tulichopo(kuelekea uchaguzi mkuu 2020) kumekuwa na majina mengi ya wagombea nafasi ya urais hasa kupitia upinzani ambako ndiko jicho la ushindani wa kupewa nafasi lipo huko (CCM alipita bila kupingwa)...
  11. JamiiForums Tanzania NEC yabadili majina ya majimbo matatu na kutangaza tarehe za kuchukua fomu

    NEC YATANGAZA TAREHE ZA KUCHUKUA FOMU KWA NAFASI MBALIMBALI ZA UCHAGUZI Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC nchini imetangaza kuwa itaanza kutoa fomu za Urais kuanzia Agosti 5 hadi Agosti 25 mwaka 2020. Fomu za kugombea urais zitatolewa katika Ofisi Kuu za NEC zilizoko Njedengwa jijini Dodoma Aidha...
  12. JamiiForums Tanzania Rukwa: TAKUKURU wamekalia kimya rushwa ya Josephat Sinkamba Kandege (CCM), mwaka wa pili sasa

    MBUNGE wa jimbo la Kalambo mkoani Rukwa, Josephat Sinkamba Kandege (CCM) amenaswa na akigawa hela kwa wajumbe wa CCM wa Halmashauri kuu ya Wilaya wa Kata ya Matai na Lyowa tarehe 05.10.2018 7 Oktoba 2017 aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli angejiuzulu ili kuweka sawa ushindani kwenye uwanja wa uchaguzi

    Hakika Katiba na sheria zetu za uchaguzi haziweki uwiano kwenye chaguzi zitu. Ingefaa serikali ( Raisi na baraza lake la Mawazili) wajiuzuru pindi tu bunge linapovunjwa na nchi iwe chini ya uangalizi wa uongozi wa mpito kama vileJaji Mkuu na Wizara ziwe chini ya Makatibu wakuu. Hali ilivyo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya sababu kwanini CCM hii na serikali yake wanapaswa kuondolewa madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu

    POLICE WAKAMATA WANACHAMA WA ACT WAZALENDO MASASI Ziara ya mwenyekiti wa ACT WAZALENDO ndugu Maalim Seifu Sharifu Hamad leo alifika Masasi na kufanya kikao cha ndani mara baada ya kuondoka ukumbini hapo police walivamia na kukamata wanachama na viongozi 14 pamoja na mtoto-ACT Wazalendo on...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu anaweza kuleta uchaguzi mgumu kuwahi tokea

    Katika historia ya Tanzania mwaka huu tunaenda kuona uchaguzi wa aina yake na uenda Mh Lissu akawa Rais wa Sita wa Tanzania kuna viashiria kadhaa 1. Alishinda urais wa TLS huku serikali ikiwa imetumia nguvu kubwa sana kumzuia 2. Amefinguliwa kesi nyingi sana kuliko MTU yoyote Tanzania 3...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 TAKUKURU toeni ripoti ya ukweli kuhusiana na uchaguzi jimbo la Rorya

    Tarehe 21 Julai, 2020 kulikuwa na mchujo wa watia nia kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Rorya. Mambo hayakwenda kama ilivyotarajiwa na kulikuwa na harufu kubwa ya rushwa. Wengi waliopata alama za juu aidha kuna mbinu iliyotumika na kuwawezesha kupata kura nyingi. Tunaiomba Takukuru...
  17. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Akili nje ya Usalama: Undeni special unity kufuatilia maudhui ya mikutano ya uchaguzi 2020

    Nawaza nje ya Box naipenda Tanzania na ipenda amani yetu na penda taifa langu na viongoz wake. Kipenda kimepulizwa na tume ya uchaguzi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi amesha sema sasa ruhusa watu kujinadi. Ila nawaza ikiwa idara zetu zimejiandaaje kwa uchaguz wa mwaka huu ambao utakuwa tofauti...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli avitaka Vyombo vya Ulinzi kutotumia nguvu pasipostahili wakati wa Kampeni na Uchaguzi

    Rais Dk John Magufuli amevitaka vyombo vya ulinzi kutotumia nguvu mahali ambapo hapastahili kutumia nguvu wakati wa kampeni na uchaguzi wa mwaka huu, huku akiamini kuwa kampeni zote zitafanyika kistaarabu kwa amani. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo hii leo wakati akizindua Jengo la Tume ya...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Malalamiko: Ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi jimbo la Handeni Vijijini

    KATIBU MKUU CHAMA CHA MAPINDUZI, S. L. P. 50 DODOMA 22/07/2020 Ndugu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally YAH: UKIUKWAJI WA TARATIBU ZA UCHAGUZI JIMBO LA HANDENI VIJIJINI Husika na kichwa cha Habari, Kwa heshima kubwa kwanza tunakupongeza kwa kusimamia taratibu, kanuni na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi CCM jimbo la Butiama mtalaaniwa

    Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi wa CCM jimbo la Butiama, mmefanya kitendo kibaya sana. Katika kura za maoni mmeshindwa kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwa kumchagua mtoto mmoja wa Baba wa taifa kweli mmeshindwa? Familia ya Baba wa Taifa imetoa wagombea wawili katika hao mmeona hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…