uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Simba SC kesho ndiyo utakuwa kipimo changu kama wana Simba SC wana akili au ni kweli mambumbumbu

    Akichaguliwa Advocate Moses Kalua nitawaona wana akili, ila akichaguliwa tu Msaliti Murtaza Mangungu nitaamini rasmi na kweli kuwa sisi wana Simba SC ni mbumbumbu (yaani hatuna akili) kabisa. Haya kazi Kwenu wapiga kura kesho.
  2. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi ni huru, hatuhitaji kufanya mabadiliko

    Kwa sababu Mbowe alikuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni kwa muda mrefu kwa kutegemea hiyo hiyo Tume anayosema siyo huru. Kama Mbowe ameangukia pua Uchaguzi uliopita, siyo kosa la Tume kwa sababu Tume ilikwishathibitisha kwamba inaweza kufanya kazi efficiently.
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, hakuna Uchaguzi Mkuu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesisitiza bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi hakutakuwepo na uchaguzi mkuu nchini. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Musoma leo Jumapili, Januari 22, 2023, Naibu katibu mkuu wa Chadema bara, Benson Kigaila amesema msimamo huo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waliopata Ubunge Bila kupingwa(kupitia uchaguzi) wachukizwa na Mkakati WA chadema kuelekea 2025

    Makada wa CCM wasio na ushawisho Kwa wananchi wameanza kuona Giza mbele ya siasa baada ya chadema kurejea Kwa kishindo. Wengi wametokea kuwa washauri WA chadema wakitaka chadema isikubali maridhiano na ccm badala yake chadema uendelee na kupambana na dola. Wanaelewa kwamba katika dola kuna...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kipenga chapulizwa, vijana wa Chadema Ruksa kusogea majimboni kuajiandaa na uchaguzi 2025

    Vijana wengi wa chadema wenye maono na fikra za kugombea Ubunge, udiwani na Urais walikuwa njia panda kujisogeza majimboni kwao kuanza rasmi harakati za kuwatoa wabunge waliopo. Nimeona Moto uliowashwa Mwanza jimboni au nyumbani Kwa Pambalu, Ile NI walk-up call Kwa vijana kwenda kwenye majimbo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Wapinzani watatamka hadharani kuwa Watamuunga mkono Rais Samia Uchaguzi ujao

    Ndugu Zangu Watanzania, Huo Ni Utabiri wangu kwa jicho la mbali kwa kuangalia Hali ya mambo Inavyoendelea hapa nchini,Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,anavyopendwa na watanzania,alivyoiteka mioyo ya watanzania,uchapa kazi wake uliotukuka,Dhamira yake njema katika kulijenga Taifa letu,upendo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Je, kuna faida gani ya kuwa na mikutano ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi?

    Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani. Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea? Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wote twendeni na Wakili Moses Stewart Kalua kwa nafasi ya Uenyekiti katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC

    Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau na nitaichukia Klabu Daima kwani nitaamini kuwa mtakuwa mmekubali Kuuhalalisha Ubingwa wa Yanga SC...
  9. JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa nchini huu ndio wakati sahihi wa kutafuta ushindi wa kura za Uchaguzi wa Mkuu wa 2025, amkeni!

    Habari za asubuhi Siku zinakwenda, mambo mengi yanabadilika, watanzania wanabadilika lakini hatari ni kwamba mifumo na miongozo ya vyama vingi vya siasa inabaki ileile ya kufanya mambo kwa mazoea. Hivi, viongozi wa vyama vya siasa pinzani mlishawahi kujiuliza ni nini kipya mnaweza ambia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nani kuvunja rekodi ya Lowassa ndani ya CHADEMA?

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Edward Lowassa aliipa heshima kubwa sana CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 baada ya kuwapa kura nyingi za urais na wabunge wengi sana zaidi ya 100 wa kuchaguliwa majimboni. Lowassa alikuwa mgombea urais wa CHADEMA lakini pia alikuwa kwenye list of...
  11. JamiiForums Tanzania Uchaguzi na Bunge baada ya November 2025 kuwa kivumbi!

    Rais Samia kapiga kipyenga, Sasa siasa za ushindani wa sera, vyama na watu wenye mvuto, haiba na weledi wa kutetea wananchi zitaanza. Baada ya Magufuli kudominate single handedly siasa za nchi kwa kuwaweka lock up vyama vya siasa, wapinzani au wenye maoni tofauti NDANI ya CCM kupigwa pini...
  12. JamiiForums Tanzania Sri Lanka yatangaza uchaguzi mkuu wa kwanza tangu kujiuzulu kwa Rais

    Sri Lanka imetangaza uchaguzi wake wa kwanza nchini kote tangu rais wake kutoroka na kujiuzulu kutokana na maandamano yaliyoenea, na kuvuruga Nchini .. kura za serikali za mitaa zitafanyika kabla ya mwisho wa Februari, maafisa walisema Jumatano, baada ya kucheleweshwa kwa mwaka mmoja kwa sababu...
  13. JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Godfrey Nyange Kaburu kwanini amekatwa katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa Dhambi hizi Mbili Kisheria angetufaa?

    1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba. 2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba SC kwa kumfyeka msaliti Godfrey Kaburu

    Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama. Nawapongeza waliomfyeka Kaburu.
  15. JamiiForums Tanzania Mkakati wa mama mwenye nyumba kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 95% huu hapa umeshawiva tayari

    Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi. Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?

    Huko Zanzibar mambo ndiyo kama hivi: Ya nini kufanya uchaguzi bila katiba mpya? Si heri kuwaacha CCM kama ndivyo waendelee tu kulamba asali kwa raha zao? “Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results.” Asema Einstein. NB: Tume Huru bila Katiba Mpya ni...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa adai Kanuni za Uchaguzi Tanzania zimetungwa kinyume na Katiba

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbroad Slaa ameibuka na kukosoa kanuni za uchaguzi zinazotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendesha chaguzi, akisema zimetungwa kinyume na Katiba ya nchi. Kupitia mahojiano na Mwananchi kwa njia ya simu jana, Dk Slaa ambaye aliwahi kuwa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Bunge la Wananchi CHADEMA

    15 December 2022 LIVE UCHAGUZI WA BUNGE LA WANANCHI CHADEMA Wagombea waelezea jinsi wanavyoweza kulitumikia Bunge la Wananchi la CHADEMA Source: ZAMAMPYA TV https://www.jamiiforums.com/threads/nimependa-concept-ya-chadema-ya-bunge-la-wananchi.1981876/ Katika hotuba yake Mwenyekiti wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Jumamosi kuna uchaguzi wa Diwani Bagamoyo, nimeona Bendera za CHADEMA Stendi na Sokoni

    Sijaelewa kama hizi bendera mpya za Chadema hapa Bagamoyo ndio maandalizi ya Mikutano ya hadhara au kampeni za Diwani Bagamoyo watakuwa na uchaguzi wa Diwani siku ya Jumamosi
  20. M

    JamiiForums Tanzania Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

    Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi. Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…