Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote.
Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni Magufulism...