ubakaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wasukuma wanaoendelea kufanya hizi mila za kimabavu zilizopitwa na wakati wapewe kesi za ubakaji, mabinti waheshimiwe.

    Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila, Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili...
  2. Gambia: Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ashtakiwa kwa Ubakaji, Mauaji na Utekaji

    Ousman Sonko ambaye aliwahi kuhudumu katika Serikali ya Rais Yahya Jammeh, anatuhumiwa kufanya Ubakaji dhidi ya Raia, Kuagiza Watu Wauawe huku wengine Wakitekwa na Kuteswa kati ya mwaka 2000 hadi 2016. Kwa mujibu wa 'TRIAL International', Waziri huyo anakuwa Afisa wa ngazi ya juu zaidi kutoka...
  3. D

    JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

    Mhhh
  4. D

    SI KWELI Mchezaji wa Simba Babacar Sarr ana historia ya ubakaji, udanganyifu na kukimbia mamlaka

    Here it is, kwanza 1. Kadanganya Miaka yake kwa wikipedia today changed his age 32 To 26 2. Anatafutwa as an international fugitive. 3. Out of all players, wameenda kwa mtu ana history ya ubakaji. Why?
  5. Tabia za Wapalestina za mauaji, utekaji, ubakaji wa mahujaji zilichochea mpango wa kuundwa taifa la Israel 1948

    Toka Dunia inaumbwa mashariki ya Kati imekuwa na vita. Lakini kwa palestina na Israel baada ya karne ya Sabin utawala wa kiyahudi uliangushwa na warumi walitawala na Ukristo na uyahudi ukashamili na kukua na kusambaa. Miaka 700 baadae uislam ukashamili na vita ikapigwa sana na sheria ngumu...
  6. Kaka wa Michael Jackson ashtakiwa kwa Ubakaji na Unyanyasaji wa Kimwili

    Mwanamuziki Jermaine Jackson ambaye ni ndugu wa Nyota wa Muziki wa Pop, Marehemu Michael Jackson amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono dhidi ya Rita Butler Barrett aliyedai alibakwa na kutakiwa kukaa kimya ili kulinda heshima ya Mwanamuziki huyo. Nyaraka za Mashtaka...
  7. Je, Wanawake Wanapaswa Kufungwa Jela kwa Mashitaka ya Uongo ya Ubakaji?

    Habari🖐 Nahic kila mtu ameshawahi kuona au kusikia kesi za ubakaji, sometimes ni kweli ilitokea na sometimes haikutokea. Hapa nazungumzia kesi ambazo mwanaume amekuwa Falsely accused and it was proven, binafsi sijui kwann wanawake huwa wanafanya hivo ila nahic wanakomoa tuu, either anakuchia...
  8. Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima...
  9. Mwanaharakati asema Matukio ya Ubakaji nchini Sudan imekuwa sehemu ya maisha

    Hala Al-Karib ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya SIHA inayojihusisha kutetea Haki za Wanawake Barani Afrika amesema Asilimia 70 ya matukio yaliyorekodiwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia ni Ubakaji wa Magenge Anasema hali hiyo imeongezeka hasa baada ya kuibuka kwa vita Aprili, 2023 Akizungumza na...
  10. Cassie amfungulia mashtaka Diddy yakiwemo madai ya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia

    Cassie amefungua kesi ya dola milioni 30 dhidi ya Diddy akimtuhumu kwa ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Mwanadada huyo anasema muda mfupi baada ya kukutana na Diddy mwaka 2005, akiwa na umri wa miaka 19, alianza tabia ya kumdhibiti na kumnyanyasa ikiwa ni pamoja na kumlazimisha kutumia dawa...
  11. Nini kifanyike kukomesha ubakaji na ulawiti kwa watoto?

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiongezeka kila leo, vitendo hivyo vikihusisha ulawiti, na ubakaji. Ijapo kumekuwa na sheria ya vifungo vya miaka kadhaa hadi vifungo vya maisha gerezani lakini bado inaonekana adhabu hiyo haitoshi kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka siku...
  12. DOKEZO Responded Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

    1. Tangaza haraka Kuzuia vile Vijiwe vyote vya Kukodisha Mapira / Matairi ya Kuogelea 2. Kisha amrisha wanaotaka Kufanya hiyo Biashara Kwanza wajisajili Kwenu (Serikalini) na wekeni Ada / Tozo Kubwa ili kama kuna Watakaojitokeza basi wawe ni Watu Serious na siyo hawa Wahuni walioko 3. Kwa kila...
  13. DOKEZO Responded Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

    Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu. Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa...
  14. Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa na polisi kwa kubaka na kulawiti watoto 2

    Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Mtoto mwenye umri wa miaka 14 ambaye ni Mkulima na Mkazi wa Kitongoji cha Chiano Kata ya Nalingu, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kubaka na kulawiti Watoto wawili ambao ni ndugu (watoto wa dada yake) ambao alikuwa anaachwa nao nyumbani...
  15. Kilimanjaro: Padri Soka aliyedaiwa kubaka Watoto ashinda kesi 3 za Ubakaji, sasa yupo huru rasmi

    Padri Sosthenes Soka (42) wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, sasa yuko huru, baada ya kupangua kesi zote tatu za ubakaji zilizokuwa zikimkabili mbele ya mahakimu watatu tofauti katika Mahakama ya Hakimu Mkazi na Wilaya ya Moshi. Hii ni baada ya kuachiwa huru leo Septemba 29, 2023 katika kesi ya...
  16. Simiyu: Ahukumiwa kuchapwa viboko 8 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu imemhukumu Boniphace Abel (18) mkazi wa Nyashimba Magu Mkoani Mwanza adhabu ya kuchapwa viboko nane (8) kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia majeraha. Mbali na adhabu hiyo, Mshtakiwa ametakiwa na Mahakama hiyo kumlipa...
  17. Aliyehukumiwa Miaka 30 Jela kwa ubakaji aachiwa huru

    Aliyedaiwa kumbaka mwanamke wa miaka 58 na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, Joseph Mathias amefutiwa hatia na kifungo hicho baada ya Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora kubaini hati ya mashitaka ilikuwa na kasoro. Licha ya Mathias kutumikia kifungo cha miaka minane jela, aliachiwa huru jana...
  18. Je, ni kweli tendo la ndoa halijakamilika hadi mwanamke afike kwanza? Nje ya hapo ni ubakaji?

    Wakuu hapa kuna mjadala unaendelea nimeona nishare na wanavyuoni wa JF. Wengine wanasema lengo la tendo la ndoa ni kupata mtoto au mwanaume kuburudika, mwanamke ajiongeze humohumo wakati mwanaume anatafuta burdani. Ushahidi unaotolewa, hakukuwa na mambo ya vileleni kwa wana wa kike enzi za...
  19. SoC03 Tatizo la ubakaji kwa wanawake

    Ubakaji ni hali ya mwanaume kumuingilia mwanamke Kwa kutumia uume wake na kuweza kuupenyeza katika uke bila ridhaa ya mwanamke. Sheria za nchi pamoja na za kimataifa zinapinga na zinakataza hii hali ya ubakaji kwani ni kinyume na haki za binadamu. Sababu zifuatazo husababisha wanawake...
  20. Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kinachoitwa critical thinking, kama wewe sio critical thinker, nakushauri pita mbali na bandiko hili. Angalizo la Uzalendo Haya ni maswali critical, yanayotokana na critical thinking na critical analysis kwa lengo la kuwaelimisha Watanzania some complex...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…