uasi

An ion source is a device that creates atomic and molecular ions. Ion sources are used to form ions for mass spectrometers, optical emission spectrometers, particle accelerators, ion implanters and ion engines.

View More On Wikipedia.org
  1. Raila Odinga anachofanya kwa sasa ni uasi sio siasa. Anajaribu kutaka kufanya mapinduzi. Ruto hapaswi kuwa mpole kupitiliza

    Nimeona kitu kinachoitwa uhuru wa kidemokrasia kwa nchi za Afrika ni ujinga mtupu! Kwa hali ilivyo hapo Kenya kwa Sasa sio uhuru ni ujinga na ni ulofa wa kisiasa. Maandamano yale anayofanya Odinga na kuwashawishi watu wapindue Serikali sio ya kuyafumbia macho hata kidogo! Kama katiba ya Kenya...
  2. Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni matusi na jeuri

    Nawasalimu kwa jina la JMT Watanzania ni watu wa kulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli. Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama tozo mara nchi yetu...
  3. Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

    Nawasalimu kwa jina la JMT Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli. Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu...
  4. Mwanzo wa uasi wa Mlima Kenya dhidi ya Rais Kenyatta

    Rais Uhuru Kenyatta alipowasihi wafuasi wake wa Mlima Kenya mwaka wa 2013 kumkumbatia William Ruto kama mrithi wake anayetarajiwa, alikuwa ameweka agano bila kujua hangeweza kulivunja. Wakaazi wa Mlima Kenya walikuwa wamedhamiria sana kumuona Dk Ruto akichukua mamlaka mwaka wa 2022 hivi kwamba...
  5. J

    Askofu Niwemugizi: Jamii imejaa uasi

    Askofu wa jimbo katoliki la Rulenge Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amesema jamii imejaa uasi kutokana na kuongezeka kwa maovu yanayotekelezwa na baadh ya wanajamii. Akiongea katika ibada ya Upadrisho wa Padre Baraka Rusesa, inayofanyika leo katika kanisa la Mtakatifu Fransinsko wa Asiz...
  6. L

    Jeshi la Ethiopia lasema washukiwa 233 wa uasi wajisalimisha

    Jeshi la Ulinzi wa Taifa la Ethiopia (ENDF) limesema kuwa washukiwa 233 wa uasi kutoka kikosi cha ukombozi wa Oromo (OLA) wamejisalimisha katika siku za karibuni. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari ENDF limesema, washukiwa wengine watano wa uasi wa OLA wamekamatwa na wengine 44...
  7. Panya road: Kikundi cha uasi kinachopiga jaramba

    Kwa sasa huenda kisiwashughulishe sana mafisadi CCM na kwa sababu wanashiba na kulindwa na mabunduki watakipuuza hicho kikundi. Ukweli ni kwamba panya road wakipata mfadhili na watu wa kuwapanga vyema ki mkakati kitakuwa ndicho kikundi sahihi cha kuitoa CCM madarakani.
  8. Uasi mkubwa unakuja CCM

    Ni uasi ambao haujapata kutokea ndani ya chama cha mapinduzi CCM.. Baada ya kukaa madarakani muda mrefu sana ni kama kuna kikundi ndani yake kimejikuta kinajiona wao ndio ELITES wa hii nchi, na lolote ama chochote kinachofanyika ni lazima kipate kibali chao. Imefika mahali kikundi hicho...
  9. Albert Chalamila hajafanya kosa la uasi?

    Asichukuliwe poa kwani kitendo alichofanya ndugu Chalamila kina kila dalili zote kuwa sio cha bahati mbaya na hayuko peke yake. Maongezi yake ukiyasikikiza vizuri yana kila dalili kuwa anawachochea watu wa kanda ile dhidi ya kifo cha mpendwa wetu. Bado haamini kuwa Mungu anaweza kufanya vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…