uasi

An ion source is a device that creates atomic and molecular ions. Ion sources are used to form ions for mass spectrometers, optical emission spectrometers, particle accelerators, ion implanters and ion engines.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwabukusi: kukosoa si chuki, kutokubaliana na mfumo sio uasi siwezi na sitokubali kuendeshwa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema hatojiunga na chama chake cha kisiasa katika mchakato wa uchaguzi kwa sababu haamini kama mazingira ya sasa yanaruhusu uchaguzi huru na wa haki. Ameandika kwenye ukurasa wake wa X kuwa hatakiwi kuwa mtumwa wa kila...
  2. Je kuna uasi unanukia chamani?

    Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite? February Mpini Katelefoni Pasta Gwa Na maamuzi ya leo ya halfrey Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbali
  3. R

    Dkt. Mwami, Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Bila uasi hakuna jambo lolote litakalotekelezwa

    Dkt. Mwami, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amezungumzia umuhimu wa kuifufua upya harakati za Upan-Africanism kwa kuanza upya misingi yake ili kuikomboa Afrika. Amesisitiza kuwa uasi si jambo baya, hasa pale ambapo mtu anaamua kuasi mifumo kandamizi kwa lengo la kujikomboa...
  4. R

    Ujasiri wa Yezebeli kupaka wanja na kujipamba baada ya kupata habari za uhaini, aliutoa wapi?

    Salaam, Shalom! Mnasema wanaume ni majasiri, kuna mwanamke mmoja aliishangaza Dunia. Mchawi huyu alikuwa mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa mchawi sugu, alikuwa amemtia limbwata mfalme, Mchawi huyu akauwa manabii wote nchini pake manabii wa Mungu aliye hai, waliopona kuuwawa walifichwa mapangoni...
  5. Katika Historia :Sakata la padre Tweve na uasi dhidi ya kanisa katoliki Tanzania

    Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania. Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima. sakata hili lilipelekea...
  6. Ukhulukutabu, usaliti na uasi ni maneno yenye maana moja, ambayo ukiyafanya dhidi ya nchi yako yanaitwa uhaini

    Kila raia aka mwananchi anawajibika kuzijua sheria za nchi yake. Kutokujua sheria hakukubaliki mahakamani kuwa utetezi wa kuvunja sheria husika. Ignorance of the law is not an excuse ie ignorantia juris non excusat. Ignorance of law excuses no one ie legis reminen excusat. Wananchi ndiyo...
  7. PreGE2025 Ni rahisi kuzungumza maneno pasipo kutambua kwamba matendo yake ni magumu sana, unaposema utazuia uchaguzi lazima ujitathimini una nguvu kiasi gani

    Ni rahisi kuzungumza maneno pasipo kutambua kwamba matendo yake ni magumu sana, unaposema utazuia uchaguzi lazima ujitathimini una nguvu kiasi gani Unaposema utazuia uchaguzi lazima utambue kauli hiyo ipo kinyume na Sheria za eneo fulani kwa tafsiri nyingine kwamba lazima utambue unakinzana na...
  8. PreGE2025 John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini"

    Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini. Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga...
  9. Uasi Syria

    Majeshi ya waasi yamefanya mashambulizi makubwa Kaskazini-Magharibi mwa Syria, na kuyateka maeneo ya wanajeshi wa Rais Bashar al-Assad, huku wapiganaji 180 wa pande zote mbili wakiuawa kwenye mapigano pamoja na raia 19. Kundi hilo la Hayat Tahrir al-Sham (HTS) tayari limechukua vijiji kadhaa...
  10. Biashara haramu ya mbao kwenda China inavyofadhili uasi Msumbiji

    Usafirishaji wa mbao, unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 23 kwa mwaka, kutoka misitu ya kale ya Msumbiji hadi China unasaidia kufadhili waasi wa itikadi kali za Kiislamu pamoja na mtandao mkubwa wa uhalifu kaskazini mwa nchi hiyo. Biashara hii haramu ya miti ya...
  11. Jua tofauti ya Ugaidi, udikteta na uasi

    Ugaidi ni nini? Ugaidi ni kule kuharibu Mali za watu, kujeruhi na kuua raia wasio na silaha makusud ili kufanikisha malengo ya kisiasa au kimrengo. mfano Al qaida, Harakat Al shababu Al mujhedn Udikteta. Ni kule uongozi unaoshika madaraka mahali kukataa kufuata sheria kwa makusud kabisa, hivyo...
  12. U

    Je, madai ya Hellen White yana ukweli kuwa shetani na malaika zake walitubu dhambi baada ya uasi lakini Mungu aligoma kuwasamehe?

    Wadau hamjamboni nyote? Naomba kujua kama upo ushahidi wa Maandiko kuthibitisha madai kuwa Shetani na Malaika zake baada ya uasi mbinguni waliamua kumlilia Mungu wao awasamehe ila aligoma? Nimeweka nukuu ya Mama Hellen G White Nabii wa Wasabato hapo chini. "After Satan was shut out of heaven...
  13. Afrika katika uasi: Je, ukombozi wa pili dhidi ya ukoloni uko kwenye upeo wa macho?

    Baada ya msururu wa mapinduzi, nchi moja baada ya nyingine zinasonga mbele kufukuza mabaki ya madola ya zamani Africa ni chimbuko la ustaarabu wa binadamu na bara tajiri zaidi katika sayari zote upande wa suala la maliasili. Lakini kulingana na Kapteni Ibrahim Traore, rais wa Burkina Faso...
  14. Hali ya watu kufa kwa kurushwa dirishani yarejea tena Urusi baada ya uasi

    Haya mambo ya mahasidi wa Putin kufa kwa kurushwa dirishani yalikua yametulia, naona yanarejea tena... RUSSIAN bank vice-president has mysteriously died after plunging from a window at her apartment in Moscow. Loko-Bank executive Kristina Baikova, 28, reportedly fell out of the window of an...
  15. M

    Haya machafuko yaliyoko Ufaransa kama yangetokea China au Urusi mabeberu wangeshangilia sana, kama walivyoshangilia uasi wa Wagner

    Ufaransa kuna machafuko makubwa ya, maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17. Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa...
  16. 5

    BBC: Marekani ilijua kuwa mkuu wa Wagner alikuwa akipanga kuchukua hatua kabla ya uasi wake

    Wakati maasi ya Prigozhin yalionekana kuipata Kremlin kwa ghafla mashirika ya kijasusi ya Marekani yalikuwa tayari yamepata ishara kwamba alikuwa akipanga kuchukua hatua na yalikuwa yamemjulisha Rais Biden pamoja na viongozi wakuu wa bunge mapema wiki hii, vyombo vya habari vya Marekani...
  17. Kuzimwa uasi wa Wagner ndio kushindwa kwa Ukraine

    Ule msafara wa waasi wa Wagner kuelekea Moscow kweli ulitisha japoj wengi wetu tunaofuatilia vyema vita hivi tulijuwa hautofika mwisho wa safari.Namna ambavyo ungezimwa ndio tulitofautiana,ni kwa kupigana au kwa njia ipi. Ukraine na NATO walishangilia sana na kuanza kuongeza petroli kwenye...
  18. K

    Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

    Asubuhi ya kuamkia leo dunia nzima imekubwa na taharuki baada ya jeshi binafsi la WAGNER lililo chini ya ndigu Prigozhin liliasi na kuvamia mji wa Rostov nchini urusi na kutwaa makao makuu ya jeshi katika mkoa huo. Licha ya kutwaa mkoa bado vikosi vyake vilianza kufanya misafara ya kutaka...
  19. Russia yavurugana na Wagner Group, waanza kutuhumiana kwa Uasi

    Katika muendelezo wa kinachoonekana ni uasi kwa serikali ya Urusi Wagner group wanaripotiwa kutekea na kutwaa makao makuu ya jeshi katika mji wa Rostov. Misururu ya wapiganaji wa Wagner katika maeneo mbalimbali inazidi kuoenkea ndani ya Urusi, kwa sasa wapo Voronezh na kuna taarifa wanataka...
  20. Nabii Musa hajawahi kumtaja Shetani mahali popote katika maandishi yake; Uasi ni uamuzi wa MTU na sio Shetani

    NABII MUSA HAJAWAHI KUMTAJA SHETANI MAHALI POPOTE KATIKA MAANDISHI YAKE; UASI NI UAMUZI WA MTU NA SIO SHETANI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Mhusika Shetani amekuwa zaidi maarufu katika vitabu vya Injili kuliko vitabu vya Torati, Zaburi na vitabu vya manabii wadogo kama kina Daniel, Yona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…