tuzo

John Tuzo Wilson (October 24, 1908 – April 15, 1993) was a Canadian geophysicist and geologist who achieved worldwide acclaim for his contributions to the theory of plate tectonics.
Plate tectonics is the idea that the rigid outer layers of the Earth (crust and part of the upper mantle), the lithosphere, is broken up into around 13 pieces or "plates" that move independently over the weaker asthenosphere. Wilson maintained that the Hawaiian Islands were created as a tectonic plate (extending across much of the Pacific Ocean) shifted to the northwest over a fixed hotspot, spawning a long series of volcanoes. He also conceived of the transform fault, a major plate boundary where two plates move past each other horizontally (e.g., the San Andreas Fault).
His name was given to two young Canadian submarine volcanoes called the Tuzo Wilson Seamounts. The Wilson cycle of seabed expansion and contraction (associated with the Supercontinent cycle) bears his name.

View More On Wikipedia.org
  1. Hii Hapa Orodha ya Washindi wa Tuzo za CAF Kwa Mwaka 2025

    LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA CAF 2025 ✅Mshambuliaji wa Pyramids na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Kalala Mayele ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2025 barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka ndani ya bara la Afrika. ✅Beki wa Timu ya Taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi ndiye...
  2. K

    Mpigie kura Savatir wa Zambia tuzo za Zikomo mwandishi wa vitabu bora, amshinde msaliti Yericko Nyerere

    Igweeeee! Adui unayemmudu usimuachie Mungu Watanzania tumejeruhiwa na kudharauliwa sana na hawa wasaliti Huyu yeriko nyerere jasusi feki anashindana katika zikomo award,, the best author in africa na kura ndizo zitakazotoa mshindi Niwaombe wanajf wote tuingie katika link ya zikomo award...
  3. Tundu lissu atunikiwa tuzo bora ya demokrasia barani africa

    Tundu Lissu wapewa heshima ya kuwa bingwa wa demokrasia barani Afrika hii huwezi kuona machawa wakipost lissu sio muhaini ni kesi za vitoto vya shetani
  4. Baada ya Aggrey kushinda tuzo ya mwanaume bora wa mwaka. Naomba kufahamishwa alikuwa anashindanishwa nani?

    Eti mwanaume bora wa mwaka? Wametumia metrics zipi kumuita mwanaume bora wa mwaka? Alikua anashindanishwa na nani?
  5. Aggy Baby Aibuka mshindi wa Tuzo Nigeria, je kwa vigezo gani?

    Msanii Agness Suleiman maarufu kama Aggy Baby, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 katika Achievers Awards International zilizofanyika nchini Nigeria, kutokana na mchango wake katika sanaa na huduma kwa jamii. Tuzo hiyo imeelezwa kuwa ni alama muhimu ya ushirikiano...
  6. Maajabu ya soka la TFF, Msimu mpya unaanza tuzo za msimu uliopita hazijatolewa

    Kipindi cha nyuma tuzo zilikuwa zikitolewa kwa wakati, ila kuna kiongozi akasogeza mbele utaratibu wa tuzo kwa kigezo cha kuboresha, sasa unajiuliza huyo kiongozi alikuwa. Anafahamu sababu zilizosababisha tuzo hizo kutolewa mapema? Aliweka katika consideration na alitazama mbele kwamba kwa...
  7. Ndani ya mwaka kuna mwanasiasa kutoka Afrika mashariki atakuwa nomited kuwania tuzo ya Nobel

    Hii habari imenishtua mno. Hapa marekani nimekutana na taasisi Moja, nimeambiwa ndani ya mwaka kuanzia Sasa kuna mwanasiasa kutoka Africa mashariki atachaguliwa kuwania tuzo ya amani ya Nobel. Binafsi nimefurahi mno, maana tuzo hii alishinda mkongo mmoja mwaka 2018, tunataka na mtu kutoka East...
  8. Andaeni SAMIA GALA TUZO 2025 , Mmtuze Tuzo zake zote Kwa pamoja , na Si Huu Ujinga wa Kila siku Tuzo , Tuzo za Kichawa !!

    Mnafanya Matendo ya ajabu kwelikweli mpaka Watanzania wanawaona mna akili za kitoto. Unaweza usishangae sana kwakua ni Chawa na Mipango Yao ya kichawa, Shida ni Kwa huyu anayezipokea, yaani kabisa kabisa nayeye anajiona anastahili Tuzo Kila Kukicha 🤣 Heri Nguo Kuraruka kuliko Akili !!. Ni...
  9. Vigezo na masharti ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu vyawekwa hadharani

    Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la kukuza lugha ya Kiswahili na kuthamini mchango wa Mwalimu Nyerere. Ameeleza hayo kwenye kikao na...
  10. Bashe amkabidhi Rais Samia tuzo kutambua mchango wa Rais kwenye sekta ya kilimo na uvuvi

    Wakuu Kwenye maadhimisho ya sikukuu ya NaneNane leo Wizara ya Kilimo na Ufugaji ambayo inaongozwa na Hussein Badshe imemgaia Rais Samia tuzo
  11. Rais Samia: Taifa Stars ikishinda kuna Tuzo ya Mama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania kuwakaribisha Wageni wanaokuja kushiriki katika Mashindano ya CHAN Barani Afrika yatakayofunguliwa kesho August 2 kwa kuhimiza Utulivu, Heshima, Ukarimu na kwa Amani. Soma zaidi: Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda...
  12. ITV mnapata tuzo za super brand africa mashariki anayetoa achunguzwe

    Ivi hawa jamaaa wanatumia CCTV Camera😂😂
  13. Mtetezi wa Haki za Wasichana Duniani na Mshindi wa Tuzo za Nobel MALALA yuko Nchini, Serikali Iko bize kuhudhuria Happy Birthday za Wasanii

    Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!. Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama Alivyonusurika LISSU , hamna asiyemjua. Jicho la Dunia lote liko linamlinda, popote anapoenda , Mguu wake...
  14. Tanzania yashinda tuzo ya " Word Best Tourism Destination Award"

    SERENGETI, ZANZIBAR, KILIMANJARO MIONGONI MWA WASHINDI WAKUU WA TANZANIA KATIKA TUZO ZA SAFARI ZA DUNIA ZA MWAKA 2025 DAR ES SALAAM, Juni 29 (Xinhua) – Tanzania imeibuka kuwa lulu ya utalii barani Afrika katika Tuzo za Dunia za Safari za Mwaka 2025, zilizofanyika Jumamosi usiku katika jiji la...
  15. 🎉 LUBABA ATEULIWA TUZO ZA EAST AFRICA EXPO! 🌍🌱

    Tuna kila sababu ya kumpongeza Imani Lubaba, mwanzilishi wa @RubabaMedia, kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya EAST AFRICA YOUTH AGRIPRENEUR EXCELLENCE AWARD kwenye maonesho ya East Africa Expo yatakayofanyika Zanzibar kuanzia tarehe 6 hadi 8 August 2025! 🏆🇹🇿 🙌 Mpigie kura kwa hatua hizi mbili: ✅...
  16. Tetesi: Hakutakuwa na Tuzo za wachezaji msimu huu

    Zandaaaaaani, ikiwa Simba wataendelea na msimamo wao wa kuogopa kuleta timu uwanjani basi mamlaka zimepanga kutotoa tuzo kwa wachezaji waliofanya vyema msimu huu.
  17. Youtube wampa tuzo ya Diamond, msanii Diamond Platnumz kwa kufikisha subscribers Milioni 10

    Msanii kutokea Tanzania Diamond Platnumz amepewa tuzo maalum na Youtube kwa kufikisha subscribers Milioni kwenye ukurasa wake wa Youtube Hongera zake na kaimprove kuongea kingereza
  18. R

    Rais Mwinyi apewa Tuzo ya Kinara wa uhamasishaji uwekezaji Zanzibar

    Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imemtunuku tunzo ya kuwa mhamasishaji nambari moja wa masuala ya Uwekezaji nchini ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hasaan Mwinyi kwa mchango wake huo, ulichangia kuinua sekta ya Uwekezaji jambo ambalo...
  19. RC Telack Apewa Tuzo ya Heshima, Uasisi wa Lindi Mining Expo

    RC TELACK APEWA TUZO YA HESHIMA, UASISI WA LINDI MINING EXPO MKuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amekabidhiwa tuzo ya heshima kama muasisi wa Maonesho ya Madini ambayo yalianza mwaka 2023 yakiwa na mafanikio makubwa . Tuzo hiyo imekabidhiwa Juni 14, 2025 na Mhe. Steven kuruswa Naib Waziri...
  20. Usiku wa TUZO za wadau wa maendeleo wilayani Biharamulo

    SIsi wadau wa maendeleo wa biharamulo tumekubaliana kwa kauli moja kuwa mbunge wetu Eng Ezra John Chiwelesa lazima tumpe tuzo kwa kazi kubwa aliyoifanya jimboni 2020-2025. Maendeleo yaliyopatikana hatukuwahi kufikiria ,uwepo wa maji ,vituo vya afya, ujenzi wa shule ,barabara za lami za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…