Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Kuna taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii iliyotolewa Oktoba 26, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia ikijulisha umma kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026...
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...
23 October 2026
Ikunga, Singida
Tanzania
MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE
https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI
Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ...
Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
Mpendwa wetu Tundu Lissu ametangaza mgomo wa kula na kunywa kushinikiza kutimizwa haki zake kama zilivyoamriwa na mahakama.
Sasa jeshi la Magereza Tanzania wameendelea kumnyima haki ya kuongea kwa faragha na mawakili wake.
Hivyo basi nami kwa kutambua kwamba mtetezi wa wanyonge anapita kwenye...
Nimesikia Mitandaoni Akina Rugemeleza Nshala wanasema kuwa Tundu Lissu anataka kuanza kugoma kula kuanzia Kesho. Nafahamu pia Tundu Lissu ni Mwanasheria Nguli na ameshaziona dalili za kusokotwa hiyo anapaza sauti ili asikike ni kawaida kwa mtu aliyezama kwenye maji kuhangaika kutaka kujiokoa...
Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia...
Kwasababu kwa kawaida,
mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe.
Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
Na kwahivyo,
hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV.
Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake,
kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
Haya ni maombi yangu mana haitakii mema nchi hii. Tuna rais mpenda maendeleo na ameleta mapinduzi makubwa sana kila sector abapo jpm aliharibu kila kila kitu.
Samia kila nchi inamtamnai akaongozw mana hana makelele yeye ni kazi tu shukrani atazipata mbinguni
Tundu Lissu wa Tanzania anastahili kutunukiwa Tuzo ya Sakharov.
Akiwa anakabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa adhabu ya kifo, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu haki na uadilifu wa mwenendo wa kesi yake, kiongozi huyo wa upinzani nchini Tanzania anaendelea kuwa alama ya ujasiri katika mapambano ya...
What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking?
Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili?
Je,
ukiwatazama...
chadema
gani
hatua
heche
john
john heche
kutamka
lisu
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti wa chadema
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
taifa
tundutundu lisu
ujumbe
wanachadema
Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026 lililofunguliwa tarehe 27/5/2026 na Wakili mwenzetu Chacha Mwita Nashon mwenye namba ya uwakili 11554 dhidi ya Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi kwenye...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, inatarajiwa kutoa hukumu katika Kesi ya Kikatiba inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na mteja wao, Tundu Antipas Lissu, akiwa gerezani bila kusikilizwa au kuingiliwa na maafisa wa magereza.
Kwa...
My friends, ladies and gentleman,
Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea...
In fact,
sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
baada
binafsi
chadema
gani
hata
hukumu
kabla
kanda
kisiasa
kujiuzulu
kwasababu
lisu
mara
mbalimbali
mikoa
mwenyekiti
nafasi
nafasi zao
nchini
taifa
tundutundu lisu
ujumbe
viongozi
viongozi wa chadema
wake
wao
wengi
wilaya
zao
Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee
Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu
Anyways...
Hii ni kutokana na hali ilivyo, baada ya maelezo ya mwisho ya mtuhumiwa wa uhaini kuibua hisia mseto, ikiwa ni pamoja na hatima maisha yake na siasa.
Kutokana na hilo,
huenda Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinapanga na kuhamisha fujo na vurugu siku ya hukumu ya Tundu Lisu. Uchochezi huu...
Kesi ya 'uhaini' inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu imefikia pazuri. Kilichobaki sasa ni hukumu.
Je, itakuwaje kama Lissu atapatikana na hatia na adhabu yake ikishushwa? Tunasema hivi kwa sababu kosa la uhaini lina adhabu moja yaani...
Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani.
Kama aliweza kuvumilia mwaka na nusu Gerezani, hatashindwa kuvumilia mwezi mmoja.
Hongera sana Tundu Lissu kwa kazi nzuri Mahakamani. Sasa unatakiwa uitwe profesa.
Baada ya kusikiliza...
Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!!
================
Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga.
DPP na...
adhabu
basi
court
final
hana
hatia
high
high court
hukumu
hukumu ya kifo
jamhuri
jela
katika
kesi
kesi ya uhaini
kifo
kifungo
kituko
kushindwa
lissu
mahakama
miaka
tundutundu lissu
uhaini
uhaini wa lissu
waiomba
yakubali