tuna

A tuna (also called tunny) is a saltwater fish that belongs to the tribe Thunnini, a subgrouping of the Scombridae (mackerel) family. The Thunnini comprise 15 species across five genera, the sizes of which vary greatly, ranging from the bullet tuna (max. length: 50 cm (1.6 ft), weight: 1.8 kg (4 lb)) up to the Atlantic bluefin tuna (max. length: 4.6 m (15 ft), weight: 684 kg (1,508 lb)). The Atlantic bluefin averages 2 m (6.6 ft), and is believed to live up to 50 years.
Tuna, opah, and mackerel sharks are the only species of fish that can maintain a body temperature higher than that of the surrounding water. An active and agile predator, the tuna has a sleek, streamlined body, and is among the fastest-swimming pelagic fish – the yellowfin tuna, for example, is capable of speeds of up to 75 km/h (47 mph). However, greatly inflated speeds can be found in early scientific reports and still widely reported in the popular literature. Found in warm seas, it is extensively fished commercially, and is popular as a game fish. As a result of overfishing, some tuna species, such as the southern bluefin tuna, are threatened with extinction.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Dadangu ana miaka 26, lakini mpaka sasa hajaolewa. Familia nzima tuna wasiwasi kuwa atazalia nyumbani. Tufanyeje?

    Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu? Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
  3. JamiiForums Tanzania Tuna Wabongo wenye hii tabia ya huyu Mshamba na Mchoyo?

    Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali. Pesa zangu ni zangu tu, nisingecheza mpira nani angekuwa tayari kunisaidia? Sinunui huruma. Hutasikia kwamba...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tuna mwongozo wa jinsi ya kulinufaisha taifa letu kwanza tuwapo nje ya nchi yetu!?

    Mataifa mengi sana yaliyo serious na maendeleo huwa walishawajengea watu wao wote kwamba ukiwa kwenye mataifa ya watu hakikisha kwa namna yoyote uwezavyo nufaisha taifa lako kwanza. Nakumbuka nimewahi kufanya kazi na makampuni kutoka Africa kusini yaani walikuwa kila kitu kinachotumika kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Tuna P-didy wengi waliojificha kwenye Siasa, Dini, Siasa na taasisi/kampuni rasmi

    I. Hapa TANZANIA (Tanganyika na Zanzibar) tunao kwa MAELFU ya watu wenye tabia mbovu PENGINE KUMZIDI p.didy (za kuwadhulumu watu wengine kingono). II. Wengi wa waathirika huishia kunyamaza kimya huku wakiugulia maumivu moyoni. Sekta zinazoongoza udhalilishaji wa kingono, 1. SIASA - huku...
  6. JamiiForums Tanzania Ila Watanzania tulio wengi tuna maisha magumu sana!

    Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao. Kwa kweli wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Watanzania Ma CEO Makampuni ya Kimataifa, Je Tunao?, Tuna Uwezo?. Big Up Helios Towers, Kuing’arisha Tanzania, Fursa kwa Watanzania!

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mara yangu ya kwanza kutinga New York, kutembelea Makao Makuu ya UN, nilitembezwa sehemu mbalimbali za UN, huku nikitambulishwa kwa staff wa UN ambao ni Watanzania, ukiondoa UN Radio, huko kuingine kote Watanzania ni wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ulaya Wana NATO Afrika tuna nini?

    Wazungu wanayo NATO inayowalinda dhidi ya mataifa mengine, je, Afrika tunalindwa na nini dhidi ya mataifa mengine duniani. Bara liko tayari kutawaliwa Tena.
  9. JamiiForums Tanzania Hivi bado tuna sababu ya kuwa na serikali hii katika taifa hili.

    Nianze kwa kusema siamini katika chama chochote, na nasikitika kwa kila kibaya kinachoendelea katika taifa hili....kama mmoja wa wananchi na mlipa kodi inauma kuwa wamekula kodi zetu kwq miaka yote tangu uhuru hadi sasa na hakuna aliyehangaika nao zaidi ya kuwasema tu....wamenogewa kiasi cha...
  10. JamiiForums Tanzania Tunawapuuza kupitia Mabalozi wao halafu huku nyuma ya Pazia tunawapokea kwa Nguvu zote na tukiwapigia Magoti waweze Kutusaidia kwa Umasikini wetu

    MKE wa mtoto wa Mfalme wa Uingereza, Sophie Hellen Rhys-Jones (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbalimbali kutoka wizara ya Afya alipowasili katika kituo Cha Afya Cha mlandizi kilichopo Mkoani wa Pwani, (katikati) ni Waziri wa wizara hiyo, Jenista Mhagama. Sophie anatarajia kutembelea kituo...
  11. JamiiForums Tanzania Kuwa na uvumulivu na utulivu sio ishara yakuwa tuna amani

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya hivi vitu vitatu UVUMILIVU, UTULIVU NA AMANI, huenda vikawa na muonekano sawa katika umbile la nje kimtazamo ila kuna cha kujifunza katika kuelewa hasa hasa tunaposema tuna Amani.
  12. JamiiForums Tanzania Kuwakosa Viongozi Wenye Hekima Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kunaleta Hatari ya Kuwapata Viongozi Wasio na Hekima Kwenye Serikali.

    Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
  13. JamiiForums Tanzania Je sisi Tanzania tuna Jeshi la Polisi au na sisi tuna GESTAPO kama ile ya Hitler wa Ujerumani?

    Yanayoendelea sasa hivi hapa nchini yamenifikirisha sana na kunikumbusha wakati wa ZCO ACP ya Abdallah Zombe. Baada ya uchunguzi wa Tume ya Jaji ikagundulika kuwa wale waliouwawa na polisi eti ni majambazi walikuwa wafanya biashara na walichukuliwa na Polisi, kufungwa vitambaa machoni kisha...
  14. JamiiForums Tanzania Tuna Service, Repair & Maintenance aina zote za Computer

    Lete Computer yako mbovu tukutengenezee! Tunafanya Services aina zote za Computers Tunauza Spares & Accessories za Computer aina zote Tupo Ilala Dsm 0718290779
  15. JamiiForums Tanzania Tuna Tatizo la Uwezo wa Uendeshaji Uchumi Wetu?. TAZARA Asante Mchina, Vipi Mingine? Hatutafika Mahali Tukahitaji Kusaidiwa Hadi Ikulu Yetu?.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...
  16. JamiiForums Tanzania Bado tuna kazi ya kufanya tupo nyuma sana

    Bado tuna kazi ya kufanya inabidi tuzipige hizo 10% mfululizo China NBS data Annual GDP China's Historical Nominal GDP for 1952–present[8] (current price, revision based on the 4th economic census 2018)[9] year GDP GDP per capita based on mid-yr pop.[10] Reference index...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Tanzania bado tuna fursa nyingi za Utalii

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema bado kuna fursa nyingi hapa nchini ambazo zikitumika vizuri zinaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje. Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumatano, Agosti 21, 2024) wakati akizungumza na mamia ya wadau na washiriki waliohudhuria tukio la USIKU WA UTALII...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania tuna discipline au tuwaoga?

    Binafsi naona watz tuna discipline lkn kwa upande wa uwoga sina uhakika wewe unasemaje
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia nchi yetu inavyoendeshwa. For Sure Tuna big Leadership Vacuum; Hatuna Strategic leadership. Ni Kama nchi inajiendesha yenyewe?

    VERSION 1 Nikiangalia maamuzi ya viongozi wetu yanavyotughalimu, yanavyoighalimu nchi; matumizi mabaya ya hela za walipa kodi ambazo zingepelekwa kenye kuboresha maisha yao, mikataba mibaya tunaishia kulipa matrilion ya faini, maliasili za nchi kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa wageni kwa manufaa...
  20. JamiiForums Tanzania Hoja: Tuna Imani na Ali Kamwe kuliko Haji Manara kwa Nafasi ya Msemaji wa Klabu ya Yanga SC

    Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…