trc

The AN/TRC-97 Radio Set, or TRC-97, is a radio set that has 12 multiplex channels and 16 telegraph channels connected to an analog radio. The radio set is a mobile terminal that can transmit up to 40 miles (64 km) straight line-of-sight at up to 1 watt, using a traveling wave tube amplifier, or 96 miles (154 km) in tropospheric scatter at up to 1 kilowatt, using a tunable klystron amplifier, at a frequency range of 4.4 to 5 gigahertz and 1.2 to 2.2 gigahertz. The set has been manufactured by RCA, Camden, N.J.

View More On Wikipedia.org
  1. Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi Jengo la Kituo cha Rasilimali za Walimu Mbezi (TRC)

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando (aliyevaa skafu) akikata utepe kuzindua Kituo cha Rasilimali za Walimu (TRC) kilichofanyiwa maboresho na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi na Ufundi Mbezi, Wilaya ya Ubungo. Uzinduzi wa jengo hilo umeambatana na makabidhiano ya vifaa vya...
  2. A

    TRC: Ukiirushia Treni mawe, unafungwa jela maisha

    Inaelezwa kuwa wanaorushia treni mawe wanaweza kukabiliwa na adhabu ya kifungo cha maisha jela, huku kitendo hicho kikitajwa kuwa miongoni mwa makosa makubwa yanayohatarisha usalama wa usafiri wa reli na abiria. Mpelelezi wa Makosa ya Jinai wa Kikosi cha Reli kutoka Shirika la Reli Tanzania...
  3. Responded TRC: Tumepokea maoni kuhusu changamoto ya ukataji tiketi wa magari Kituo cha SGR Morogoro, tutafanyia kazi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja akieleza “Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro ni mbovu, Watu wanaganda kwenye foleni”, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepokea na litafanyia kazi hoja hiyo. Hoja ya Mdau ~ Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro...
  4. A

    KERO Treni za SGR daraja la biashara nauli ni TZS 120,500 ila internet ni ya kusuasua. Kwenye basi nauli ni TZS 35,000 na internet ni safi na bure

    Hivi Tanzania Railways Corp , nina swali kwenu. Nauli ya daraja la Business Class ni Shilingi 120,500, lakini inashangaza kuona kuwa huduma ya Wi-Fi ndani ya treni haijawekewa mtandao wenye ubora na uhakika. Mtandao unasumbua kiasi cha kushindwa kutekeleza baadhi ya majukumu yanayohitaji huduma...
  5. TRC kwanini siti iliyokatiwa tiketi ya Morogoro–Dar AU Morogoro–Dodoma ionekane imejaa tangu mwanzo wa safari?

    Nimesoma taarifa ya gazeti la The Citizen kuhusu tiketi takribani 782,000 za treni za SGR zilizonunuliwa lakini hazikutumika kati ya Januari na Septemba 2026. Katika ufafanuzi wake Bungeni, Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameeleza kuwa baadhi ya siti zinazoonekana kuwa wazi ndani ya...
  6. A

    HOJA Takriban mwaka moja tangu treni ya SGR ipate ajali Ruvu, ila hakuna taarifa rasmi ya chanzo, harasa wala hatua zilizochukuliwa

    Oktoba 23, 2025, treni ya SGR ya mchongoko (EMU) iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ilipata ajali katika eneo la Ruvu. Jambo la kufurahisha ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha, ingawa ajali hiyo ilisababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu, ikiwemo reli na njia za umeme...
  7. TRC mliwaza nini kuondoa route ya saa 3 asubuhi ya SGR kutoka Morogoro kwenda Dar ? Mjibuni Afande Sele!

    .
  8. TRC: Mnatafutwa Jf kujibu tuhuma au hii Kero za SGR kubadili ratiba ni faida ya wamiliki wa Mabasi au serikali! Kukaa kimya sio mnamuaibisha Rais

    Sikilizeni ukweli wa hali halisi!
  9. TRC: Tumepokea maoni ya Afande Sele kuhusu ratiba ya Treni ya SGR kutoka Morogoro

    Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika la Reli Tanzania (SGR). Alichokisema Afande Sele kipo hapa ~ Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa...
  10. R

    Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa ruti ya Elfu 13, 500 Asubui Morogoro-Dar na kuweka ya 50,000 ambayo wananchi wengi hawaimudu?

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Msanii Afande Sele, amechapisha: "Kwa uongozi wa shirika letu la Reli,/TRC..😎 Mjumbe hauwawi na huu ndio ujumbe wenu kutoka kwa wananchi ambao ndio wamiliki halali wa shirika na nyinyi ni watumishi wao tu..🤔 Wananchi au mabosi zenu wanauliza tena...
  11. Responded TRC: Wananchi wawe na subira Kituo cha SGR Ruvu hakitumiki, kuna uboreshaji wa miundombinu

    Septemba 22, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?” Katika maelezo yake Mdau aliendelea kueleza kuwa “TRC ituambie Kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa...
  12. R

    TRC waendelea na zoezi la kufukua makaburi Uvinza kwa ajili ya ujenzi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma

    Taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa wa TRC Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na zoezi la utwaaji wa ardhi linaloambatana na uhamishaji wa makaburi katika Kipande cha Sita cha mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma linaloendelea kufanyika wilaya ya...
  13. TRC announces 24 job vacancies 28th August, 2026

    JOB VACANCY: INSTRUCTOR II (CIVIL ENGINEER) – 1 POST On behalf of the Tanzania Railways Corporation (TRC), the Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites high-calibre, results-oriented, self-driven, trustworthy, dynamic, and suitably qualified Tanzanians to apply for twenty-four (24)...
  14. TRC yatangaza Tenda ya Kusambaza, Kufunga na Kuboresha Mfumo wa Kamera za Ulinzi (CCTV) kwenye mabehewa ya abiria ya SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza Tenda ya Kusambaza, Kufunga, na Kuboresha Mfumo wa Kamera za Ulinzi (CCTV) kwenye mabehewa ya abiria ya Reli ya Kisasa (SGR). Tenda hiyo inahusisha; Kusambaza kamera maalum za reli (4 MP IP CCTV), mifumo ya kurekodi picha (8-Channel NVRs), na vifaa...
  15. TRC Yaongeza Usalama SGR kwa Laser

    TRC Yaimarisha Usalama wa SGR kwa Teknolojia ya Laser Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeongeza uwezo wa usalama wa reli ya kisasa (SGR) baada ya kununua magari mawili maalum yenye mifumo ya kisasa ya laser kwa ajili ya kubaini hitilafu na vihatarishi katika vipande vya 1 na 2. Teknolojia hiyo...
  16. Kuhusu kamera za SGR kutofanya kazi, TRC wawaondoa wasiwasi wananchi, wasema zinafanya kazi!

    TAARIFA KWA UMMA KAMERA ZA CCTV NDANI YA TRENI ZA SGR Dar es Salaam, Agosti 06, 2026. Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kuuarifu umma kuwa Kamera za CCTV zilizofungwa ndani ya mabehewa ya treni za SGR zinafanya kazi kama zilivyokusudiwa na ni sehemu muhimu ya mifumo ya usalama...
  17. Pamoja na machache yanayoyesemwa, TRC imefanya kazi kubwa - Kihenzile

    Naibu Waziri wa uchukuz, Mhe. David Kihenzile, amesema Reli ya Kisasa (SGR) inaendelea kuwa kichocheo muhimu cha biashara, uchukuzi, miundombinu na ukuaji wa uchumi kwa kuwezesha usafirishaji wa abiria na mizigo kwa haraka, usalama na ufanisi. Mhe. Kihenzile, ameyasema hayo Julai 06, 2026...
  18. F

    Nilitegemea katika siku ya gawio rais apokee gawio kutoka TANESCO, TTCL, ATCL, TRC ambao hawakutoa gawio na sio yeye kupewa tuzo.

    Siku ya kutoa gawio kwa serikali ni siku ambayo rais alipaswa kuichukulia kama accountability day kwa mashirika yote ya Umma. Ni siku ambayo mbivu na mbichi zinapaswa kuanikwa na pengine watu kuchukuliwa hatua kwa kutotoa gawio lolote. Lakini katika siku hiyo mwaka huu TANESCO, TTCL, ATCL, TRC...
  19. TRC inaomba radhi Kusimama kwa huduma za treni kutokana na hitilafu katika mfumo wa gridi ya umeme ya taifa

    KUSIMAMA KWA HUDUMA ZA TRENI KUTOKANA NA HITILAFU KATΙΚΑ MFUMO WA GRIDI YA UMEME YA TAIFA Dar es Salaam, Juni 27, 2026. Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria wote kwa usumbufu uliojitokeza kufuatia kusimama kwa huduma za treni za Reli ya Kisasa (SGR) kutokana na hitilafu...
  20. TRC yaingiza Ford Rangers zenye teknolojia ya Laser kukagua Reli ya SGR

    Ununuzi wa magari ya Ford Ranger yanayotumia teknolojia ya laser uliofanywa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) unaashiria hatua kubwa katika kuimarisha usalama wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR). Magari hayo, yaliyoboreshwa kuwa magari maalum ya Hi-Rail, yatatumika kukagua na kufuatilia reli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…