Wasalaaam,
Let me declare my interest!
I'm from the hood ndani kabisa ya mitaa ya Dar es Salaam, Maskani Kinondoni, Migomigo, Sinza, ndiyo mitaa iliyonilea. Sijutii nilikotoka wala makuzi yangu. Kwa namna moja au nyingine, mitaa hiyo imenijenga na kunifanya kuwa hivi nilivyo leo.
Lakini...