Dalili zipo wazi,CCm hawatarudi nyuma tena katika njia waliyoichagua,wapo tayari kuua,kuteka,kufunga na kupoteza yoyote anayezuia njia yao ya ulaji.
Kabla ya 2030 na 2030 yenyewe mambo yafuataya yataikuta Tanzania kama usalama wa taifa na jeshi la wananchi watajitia upofu.
1. Uchaguzi fake...