thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Eusebius Nzigirwa: Ukichezea thamani ya Binadamu Kanisa litapinga kwa sauti kubwa

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mpanda Eusebius Nzigirwa amesema katika kusherekea sikukuu ya Christmas siku hiyo inawakumbusha watu thamani na hadhi ya utu wa mwanadamu na kanisa limekuwa likisimama kukemea kwa sauti kubwa wale wanaojaribu kuuchezea utu wa mwanadamu. Askofu Nzigirwa amesema...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mayahudi kuwauzia Farao gesi yenye thamani ya Trilioni 90

    Wakati propaganda za chuki dhidi ya Mayahudi zikizidi kuenezwa hasa katika nchi maskini kama zetu, kwa Mafarao wa Misri kwao Mayahudi ni fursa. Israel na Misri wamesaini kandarasi ya gesi asilia ambapo Yerusalem itaiuzia Kairo gesi yenye thamani ya dola za Marekani Bilioni 35. Kwa mkataba huu...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiona mwenzako ananyolewa na sisi tupo mbioni, Leo Venezueza milioni 10 yao sawa shiling 1000

    Ubabe na ujeuri wa rais wao ndio umefikisha taifa hapo. Yani imefikia pesa imekosa thamani kiwango cha hata ukidondosha hakuna anayesumbuka kuokota. Wengine wamefikia kutengeneza mapambo kwa kutumia pesa.
  4. JamiiForums Tanzania Dalili saba kwamba wewe ni mtu wa hadhi ya juu/Mtu wa thamani

    1. Unaelewa kuwa inawezekana kutokubaliana bila kukosa heshima au kuinua sauti. 2. Unaheshimu ahadi zako kwa kuwa mwenye kutunza muda, jambo linalokupa sifa ya kuaminika. 3. Unaacha kuwahukumu watu kwa mwonekano wao au maoni yao, na unakwepa mazungumzo ya umbea. 4. Unatambua kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuwa kufanya lamination ya nyaraka zako kunaweza kuharibu thamani yake ya kisheria?

    Inaonekana maridadi. Inaonekana salama. Lakini pindi unapofanya lamination ya nyaraka halisi, kisheria unaweza kuonekana umeziathiri au kuzibadilisha bila kujua. Watu wengi hulaminate vyeti, hati za kiapo, risiti na nyaraka nyingine wakidhani wanazihifadhi. Ukweli ni kwamba, unapozifunika kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Dube aanza kuonesha thamani yake jangwani!

    Yanga tuna changamoto ya lone striker kwa muda mrefu sana ..leo hii Dube ameanza kuonesha makali
  7. M

    JamiiForums Tanzania ushindi wa vita ya Kagera hauna thamani tena kama ni kweli waganda tuliowahi kuwapiga vitani na wenye visasi walipewa nafasi kumwaga damu

    ni kosa kubwa sana kumleta adui uliewahi kumtwanga aje kusimamia ulinzi hata kwa siku 1 tu, Ni kosa kubwa sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ni ya thamani kuliko uhai wa watanzania

    Waliotekwa, waliouawa hatuoni wala hatuumi. Ila tumeona miondombinu ikiharibiwa na imetuuma. Hii haikubali. -Yaani hotuba zote za wenye mamlaka ya juu katika nchi hazigusii uharibifu wa uhai wa watu. Ila uharibifu wa mali na miundombinu. -Hotuba hazionyeshi kukubali kuwa wapo waliotekwa, au...
  9. JamiiForums Tanzania Je alama za Taifa zinatofautiana thamani?

    Kuna mwenge wa uhuru na bendera ya taifa, viwili hivi naona kama vina thamani sana kuliko alama nyingine za Taifa. Mwenge ukipitishwa askari wenye sare wote watapiga salute, kadhalika wakati wa kushusha na kupandisha bendera ya Taifa Mimi kajamba nani nikipita na mifuko yangu ya noti hata iwe...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi yako ni tajiri usikubali thamani yako kuwa 10,000, kitenge, na tisheti kila baada ya miaka 5

    Sio upande wa rasilimali tu hata tukianza kuzungumzia KODI zetu ambazo zimeongezwa kula siku na kila mahali, pesa iko ya kutosha sana. Usikubali thamani yako iwe ni kitenge, tisheti, baiskeli na elfu kum Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
  11. R

    JamiiForums Tanzania Video: Wezi Wavamia Duka California, Wapora Vitu Vyenye Thamani ya $1 Million (2.4 Billion Tzs)

    Video ya kamera za ulinzi imeonyesha tukio la wizi wa kutumia silaha katika duka la vito la Heller Jewelers mjini San Ramon, California, Septemba 22, 2025 mida ya mchana. Polisi wamesema wahusika waliiba vito vyenye thamani ya takribani dola milioni 1 sawa na Takribani Bilioni 2. 4 kwa fedha za...
  12. JamiiForums Tanzania Rubani apata ajali ya ndege akiwa na cocaine ya thamani ya $57,000 huko Brazil

    Timothy James Clark, rubani raia wa Australia, alifariki katika ajali ya ndege huko Brazil. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Coruripe, kwenye pwani ya Brazil. Polisi walipochunguza eneo la ajali, walikuta ndege hiyo ikiwa imebeba takriban kilo 200 za kokeini zilizokuwa zimefungwa katika...
  13. JamiiForums Tanzania Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa kitendo hiki nimemtoa thamani

    Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa Kumdharau Mtu aliyemtoa Producer Master Jay kuanzia leo nimemtoa Thamani kwani Kakosea mno
  14. JamiiForums Tanzania Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

    Katika mkutano mkuu wa mwaka, thamani ya club ya Yanga imewekwa wazi kuwa ni billions 100 Yanga wanajiendesha Kisasa na uwazi kabisa, Yanga imekuwa ikifanya mikutano ya mwaka Kwa uwazi na kusoma mapato na matumizi na bajeti ya msimu ujao Hii ni tofauti Kwa mtani mbapo mara mwisho kufanya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazidi kuvutia wawekezaji: Thamani ya Uwekezaji yapaa

    Tanzania imeendelea kuthibitisha kuwa ni kitovu kipya cha uwekezaji barani Afrika, kutokana na mazingira bora ya biashara na sera madhubuti zinazotekelezwa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. 🔹 Thamani ya Uwekezaji: Rekodi ya Kihistoria Kati ya mwaka 2018 – 2021...
  16. JamiiForums Tanzania Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

    Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora, Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana...
  17. JamiiForums Tanzania Thamani ya mwanamke ni ipi kwenye mahusiano?

    ✍️Mwenyekiti nimegundua kuwa ukiondoa ngono (sex) kwenye mahusiano mengi ya siku hizi, utagundua kuwa asilimia kubwa ya wanawake hawana mchango mwingine wowote kwenye mahusiano, totally nothing. Kitu pekee wanawake wengi wanachochangia katika mahusiano yao ni ngono na ngono pekee (sex and only...
  18. JamiiForums Tanzania KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA

    KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA ☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma ☑️ Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini ndani ya nchi. ☑️ Mradi kuchakata takribani tani...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa sasa sarafu mtandao ya PI ina thamani ya Dola ngapi?

    Wazee wa PI naomba kuuliza sasa hivi ina thamani Gani kwenye soko la fedha..?
  20. JamiiForums Tanzania DED Nyasa akagua miradi ya Sekta ya Afya na Elimu yenye thamani ya Sh Milioni 582,017,569

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Khalid A.Khalif ameendelea na utaratibu wake wa kawaida wa kuwatembelea wakandarasi kwenye Kandarasi za Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa ikiwa ni sehemu ya kuhimiza ukamilishwaji kwa wakati na ubora unaoendana na thamani ya fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…