Polisi Mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Hiifadhi ya Taifa ya Katavi, wamewakamata watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na vipande 13 vya meno ya tembo vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 247.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Ali Hamad Makame, alisema hayo mkoani hapa mwishoni mwa...