Nikiwa kama mmojawapo ya wadau wakubwa wa soka la nchi hii, na muumini wa maadili mema katika Kila nyanja, sipendezwi na Ile shangilia.
Kwa wadau wote wa mpira nadhani mnaona Ile shangilia hadi Hawa vijana wa u-20, wa hizi Timu za ligi kuu wameiga.
Ni aina ya ushangiliaji wa udhalilishaji na...