test

  1. Baada ya PEP naweza kutumia rapid test kujipima?

    Naomba kuuliza, kwa wataalamu, maana ninyi ndio wataalam. Je, baada ya PEP naweza kutumia rapid test kujipima ama lazima niende hospitali? Je, kati ya rapid test na uni-gold ni kipimo ganj kiko sahihi zaidi. Nasikia kuna kitu kinaitwa 4th generation test, ndio kikoje na kinapatikanaje? Ahsante.
  2. C

    Jamani mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi saa, inawezekana ana mimba au?

    jamani habari za saa hizi mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi sasa hivi ina wezekana ana mimba au?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…