technology

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji anafanya ubaguzi wa wazi wazi kwa wafanyakazi wazawa Wilaya ya Musoma

    Kuna Mkabulu anaitwa JP La Grange ni raia wa South Africa na ni Workshop Manager Kwenye Kampuni ya Maendeleo Technologies Limited inayofanya kazi kwenye Mgodi wa POLYGOLD CO. LTD unaopatikana Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara, Kijiji cha Seka, Kata ya Nyamrandirira. Huyu mzungu ubaguzi anaofanya...
  2. JamiiForums Tanzania Tunaboresha Majengo ya biashara kwa Technology - Morogoro

    MM Installers Tunahusika na kuboresha Majengo ya biashara, kama Hotel, Apartment, Lodge, Office, Viwanda n.k. kwa kufunga mifumo ya ULINZI , TV na ICT. Tunaposema tunaboresha ukiachana na kutumia Technology pia ufungaji wetu ni wa ustadi mkubwa! Tunafanya Installation ya:- CCTV Cameras Electric...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mbeya University of Science and Technology versus Massachusetts Institute of Technology

    Mbeya niwaulize,.mnafanya science na technology gani tangu muanzishe hiyo taasisi? Mmetoร  matokeo gani katika uwania wenu wa science and technology? Orodhesha tangible outputs for society consumption! Najua ndiyo mmeamza juzi chuo chetu, angalau kuna njia fulani mmeianza kufika walikoanzia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nyie wasomi wa JF, ina maana Text books zitatoweka with the advent of AI and use technology in teaching

    Nangalia CGTN Professor ana shelves nzuri za textbook akihojiwa kuhusu modern transport between Jakarta and Bandung ambapo safari ya saa 3 imefupishwa na kuwa 46 minutes with Rapid trains. Sasa kwenye teaching in classrooms itakuwa sahihi kutumia njia za "mkato".....AI, and other techs ..etc etc...
  5. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐—ฌ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐Ÿญ ๐Ÿ˜€

    Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! ๐Ÿ”ฅ Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ ๐Ÿ“ฑ Kwa nini MP02 ni ghali? ๐Ÿค‘ Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 โ€” takribani TSh milioni...
  6. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—บ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ

    Mtandao wa Whatsapp kwenye Android inaendelea kujaribu Bottom Navigation Bar mpya ๐Ÿ‘€๐Ÿ“ฑ Awamu hii, Whatsapp inafanya mabadiliko ya kuondoa majina ya maandishi chini icons zake na kubaki na icons pekee plain Kuanzia Chats, Updates, Communities na Calls. ๐ŸŽจ Lengo? Kuifanya WhatsApp ionekane...
  7. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—ญ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐Ÿ‘€๐Ÿ”

    WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto. ๐Ÿ” Wazazi wataweza kudhibiti nini? ๐Ÿ‘ค Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Oyster Bay na Masaki wategemee maji kutoa 100 Kilometers (Ruvu) ilhali kuna Bahari na teknolojia?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Ninasikia kuna technology ya kubadilisha maji ya chumvi kuwa safi na salama kwa matumizi ya nyumbani?? Oysterbay na Masaki si ndio kuna elites Tanzania (siwafanyii kejeli au dhihaka), sasa kwanini wasumbuliwe na tatizo la mgao wa maji ilhali wana nguvu za kisiasa...
  9. JamiiForums Tanzania Israel is a leading global center for medical technology

    No body can "willingly"avoid Israel technological advances
  10. JamiiForums Tanzania ๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—ค๐—ฅ ๐—–๐—ข๐——๐—˜ ๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—œ๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—” ๐Ÿ‘€

    Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web . Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu โ†’ Messages โ†’ Device Pairing โ†’ Scan QR Code โ†’ Scan QR kwenye PC sasa mambo...
  11. JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa kazi kweli!

    Kabla ya USB, kabla ya kupakua Windows moja kwa moja mtandaoniโ€ฆ tulikuwa tunatembea na CD ya Windows mkononi. Ukihitaji kusakinisha mfumo, CD ikiingia kwenye kompyuta, ndipo safari inaanza. ๐Ÿ˜…๐Ÿ’ป Na ukiona imeandikwa Windows XP kwenye hiyo CD, ujue ulikuwa umejipanga! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ Enzi zimebadilika...
  12. JamiiForums Tanzania China imefanya kitu cha kuishangaza dunia

    Unaweza sema haiwezekani? lakini kwa nchi ya China imewezekana ๐Ÿ‘‹Ndani ya chini ya dakika 45, China imerusha roketi 4 tofauti kwenda angani! ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ›ฐ๏ธ Kati ya Septemba 15โ€“16, 2026, China ilifanikiwa kurusha roketi 4 tofauti ndani ya takribani saa 45, kutoka vituo 3 tofauti vya kurushia roketi...
  13. JamiiForums Tanzania ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ซ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ผ๐˜€๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐Ÿซก

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? ๐Ÿค” Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa โ€œUnder the Hoodโ€ ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
  14. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ฎ๐˜a๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—œ ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—น๐˜‚๐—บ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—ผ๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐Ÿง‘โ€๐Ÿฆฏ

    Tanzania imeamua kuigusa sekta ya Teknolojia kwa njia ya kipekee ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Wabunifu wa Tanzania wamekuja na miwani yenye AI inayolenga kuwasaidia watu wenye ulemavu wa kuona kutambua na kuelewa mazingira yanayowazunguka. ๐Ÿง ๐Ÿ‘€ Miwani hii inaweza kutumia teknolojia kama kamera, AI na sauti kusaidia...
  15. JamiiForums Tanzania Je kozi ya Information technology (it) Ina soko kwasasa?

    Nimechaguliwa kozi ya it, kwa wale wanayo ijua hii kozi naomba wani fafanulie kuhusu fursa zake za ajira pamoja na kujiajiri Kama inawezekana,pia naomba na ufafanuzi wa hii kozi kuhusu urahisi wake na ugumu wake katika kuisoma ukiwa chuo?
  16. JamiiForums Tanzania Itel a200 simu ya bei nyepesi yenye uwezo wa Samsung

    Ikiwa Unatafuta simu yenye screen kubwa, Uwezo wa Ajabu, Skrini yenye 120Hz refresh rate, battery ya 5,000mAh na body yenye uimara wa IP65? ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Basi itel A200 imekuja ikiwa na Unisoc T7250, USB-C yenye 15W charging, Android 15 Go Edition na 4G LTE โ€” ikilenga kutoa experience nzuri bila kuvunja...
  17. JamiiForums Tanzania Software Developer natafuta fursa ya kazi, projects au washirika wa biashara - nina mifumo 6 niliyoiendeleza

    SOFTWARE DEVELOPER NATAFUTA FURSA ZA KAZI, PROJECTS AU WASHIRIKA WA BIASHARA โ€“ NINA MIFUMO 6 NILIYOENDELEZA Habari wana JamiiForums, Mimi ni Software Developer mwenye uzoefu wa kutengeneza mifumo ya kisasa ya Web Applications kwa ajili ya biashara na taasisi mbalimbali. Kwa sasa ninatafuta...
  18. JamiiForums Tanzania ๐Ÿ“ฑ๐—จ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ธ๐—ฒ ๐—ง๐—ฒ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ฐ๐—ผ๐—ฑ๐—ฒ *#*#๐Ÿฐ๐Ÿฒ๐Ÿฏ๐Ÿฒ#*#*!

    ๐Ÿ”ฅ Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? โŒ Huo ni UONGO! #4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi ya simu. ๐Ÿ“ถ โš ๏ธ Haikupi MB za bure, haiondoi gharama za internet, wala haikuruhusu kutumia data...
  19. JamiiForums Tanzania YouTube kwisha Habari yake imepata mpinzani balaa

    Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube ๐Ÿ˜ƒ. China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! ๐ŸŽฅ๐Ÿ”ฅ Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo...
  20. JamiiForums Tanzania Google imeleta matangazo kwenye simu za Google Pixel

    Google imeanza kuonyesha promotional ads/offers kwenye baadhi ya simu za Google pixel kupitia app ya My Pixel. ๐Ÿ˜ณ. Badala ya app hiyo kutumika kwa tips na taarifa za Pixel pekee, sasa inaweza pia kukuonyesha bidhaa mpya, offers na matangazo ya vifaa vya Google. ๐ŸŒ Lakini kuna jambo muhimu: Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ