Ila jamani haya maisha yana heka heka sana, kuna muda hua nakaa nawazaaaaaa najikuta siamini kama sasa nimetulia namna hii,
Anyways, ukipata bahati ya kuishi we ishi tu, we live once na tukiondoka haturudi au sio guys,
Enzi hizo bado kachalii yaani sina mambo mengi, nikazama kwenye mtandao...