tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbio za Urais 2030 zitaanza lini, au tayari?

    Mbio ndefu zinaanza kidogokidogo ili kuhifadhi nguvu za kumalizia https://youtu.be/_grDI6frFtI?si=lxjChaUFa8fldjfm
  2. Kauli ya NCHIMBI, "Rais yuko tayari KATIBA Mpya" alimaanisha, Matukio ya Utekaji,Mauaji Oktoba 29 , LISSU, ni Maji ya Shingo kwa Samia !!

    Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba. SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE. Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
  3. Ana bahati yupo ndani ya system vinginevyo muda huu tungeshasikia tayari katekwa

    Huyu sungura mjanja sana🤣
  4. N

    Wadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣

    Wadogo zangu wa 2005 eti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣🤣
  5. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Mtaa wa Chinyoya karibu na Mtaa wa Uzunguni, kina sqm 800 na kina Hati, Maji na umeme vipo vyote

    Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji..... Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
  6. R

    TUIMBE: Niko tayari kulipa gharama kuliko kunyamaza maovu yakitendeka

    Tuimbe sote wimbo huu kwa nia njema kabisa.
  7. L

    Niko serious natafuta mke wa kuoa aliye tayari ani DM

    Habari wakuu Natafuta mke wa kuoa Sifa zangu Elimu: Bacherlor degree of computer science Location: Dar es Salaam Umri : miaka 33 Kazi: Developer Dini: catholic Sifa za mwanamke ninayemtaka 1.Elimu kuanzia diploma 2 Location dar lazima awe Dar kama atakua mkoani awe tayari kuishi dar...
  8. Wadada na style ya kujiuza na kujisponsa haiwezi kuisha kama mama zao wapo tayari kupokea pesa kutoka kwa wanao wanazopata kwa kujiuza na kwa masponsa

    Kuna nyumba unakuta watoto watatu wote wa kike wamezaliwa nyumbani, unaweza kujiuliza maswali kwanini haya yatokee ila kiukweli mama mtu amekuwa akipokea pesa za vocha kama zote sasa anashindwa aanzie wapi kuwakemea watoto na tabia zao za umalaya maana kuchakatwa kwa jagina zao zimemsaidia hadi...
  9. Chadema njaa tayari, wanagombea maokoto; wanadai ruzuku ya 500m kutoka serikali wasiyoitambua

    Taaayari!!!! Jamaa wamezimana maokoto, Heche kawazidi wenzake ujanja, kala tonetone na za wafadhili walioingiza fweza kwenye account yake binafsi. Na Mnyika anadai wapewe ruzuku ya sh. 500m serikalini, serikali ambayo wanasema ni haramu na hawaitambui. Heche hajui kwamba chadema ni saccos ya...
  10. R

    Mnyika: Tayari tulikuwa na taarifa mpango wa viongozi kulipwa kuzungumza na waandishi wa habari kuichafua chama

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026 wakati akiwasilisha maadhimio ya Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika, ametoa ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho ikiwemo katibu wa CHADEMA Mkoa Morogoro kusimamishwa kazi...
  11. M

    Mwanaume rijali yupo tayari kusamehe chochote isipokua kushea tunda la kati, hata kama ndoa itaendelea things will never be the same again

    Ni mapicha picha kama haya ndio hufanya iwe ngumu kusamehe
  12. Je, Tuko Tayari Kukabiliana na Vitisho vya Usalama Julai 7?

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa na mijadala mbalimbali kuhusu uwezekano wa matukio ya vurugu na uvunjifu wa amani yanayoweza kutokea tarehe 7 Julai. Ingawa ni muhimu kutokuwa wepesi wa kuamini kila taarifa inayosambazwa bila uthibitisho rasmi, ni wajibu wa kila mwananchi...
  13. Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

    Wakuu! Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri. Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup. Wengine...
  14. E

    Andy Burnham aapishwa, tayari kumrithi Keir Starmer

    Siku moja baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu, mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Labour, Andy Burnham, ameapishwa tena kuwa Mbunge wa jimbo la Makerfield, hatua inayotajwa kuwa mwanzo wa safari yake kuelekea kuingia Ikulu ya Downing Street kama Waziri Mkuu mpya wa Uingereza. Burnham, ambaye...
  15. Hivi ninyi mlio tayari kwa lolote wakati wowote mmetokea sayari gani?

    Muda si mrefu kuna jamaa yangu nilikuwa naye hapa kwenye gori langu, ghafla bin vuu kuna kijidada kikali sana hapa jirani kikawa kinapita pita, jamaa kakiimbisha chap kwa haraka, mara paap! mshkaji ananiambia amepata imejensi, baada ya kumdodosa akasema amejaribu kumsoundisha mtoto, mtoto...
  16. Unaomba ushauri mtandaoni; upo tayari kukabiliana na usiyoyatarajia?

    Kama wewe ni mwenyeji humu ndani utakuwa na uzoefu mzuri sana juu ya wale wote ambao huwa wanaomba ushauri humu na kile ambacho huwa wanakipata. Ushauri unapata na kusimangwa juu,si ajabu hapo ulipo unahisi kama uanata kujinyonga kutokana na changamoto zako mbali mbali,sasa unataka kutafuta...
  17. Tupo tayari kupokea mwaka mpya wa kiislam kesho kutwa 17/06

    Hamjambo wote! Sisi tupo tayari kusherehekea mwaka mpya pamoja na ndugu zetu waislam. Muhimu zaidi ni mialiko yenye pilau, nyama na vinywaji. Kwani kitu gani bhana! Maisha ndio hayahaya. Nimemaliza
  18. SALES OFFICER | Miaka 4 Uzoefu | 230+ Wateja | Niko Tayari kuamia popote Tanzania

    Habari wakuu, Naitwa Jofrey Mshobozi Mafuru. Nina uzoefu wa miaka 4+ katika mauzo ya moja kwa moja na huduma kwa wateja. NINI NAWEZA KUFANYIA KAMPUNI YAKO: 1. Kusimamia wateja 200+ 2. Kufikia malengo ya mauzo kila mwezi - 93.3% client retention rate 3. Kupata maduka/wateja wapya kila wiki...
  19. Selection za kidato cha tano na vyuo vya Kati 2026 tayari zimeachiwa

    Link iyo chini kutazama https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2026/first-selection/index.html
  20. Kusema kweli siko tayari kwa ajili ya commitment, natafuta tu mrembo wa ku-spend moments nae. Karibu.

    VIGEZO: Asizidi 40. Asiwe mke wa mtu. Asiwe askari/mjeda, etc Makebo makubwa au madogo sijali, cha msingi awe cha utundu kitandani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…