Baada ya kumaliza ugomvi, nikaamua kukarufisha kimya kimya watu wasione wasije wakanicheka.
Sasa jana nimekaleta geto saa sita usiku ili watu wasikaone.... leo kameamka saa kumi na mbili alfajiri kakaanza kufagia uwanja aiseee.....
Yaani hapa nawaona majirani wananong'onezana tu huku...