Kumekuwa na changamoto ya muda mrefu wa shida ya maji haswa ktk jiji dar es salaam,tatizo hili la maji linachangia gharama za maisha kuwa juu.
Mfano kwa Sasa maeneo mengi haswa ya pembezoni mwa jiji wakati ununua maji ya chumvu kwa unit moja (boza Moja) kwa sh 10,000, 15,0000 Hadi 20,000 na kwa...