tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. TANESCO: Bwawa la Nyerere halitapunguza bei ya umeme

    Licha ya gaharama za uzalishaji wa umeme kutarajiwa kushuka baada ya kukamilika kwa Bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) Juni 2024, imebainika kuwa uzalishaji huo hautapunguza bei ya umeme kwa wateja. Bwawa hilo linatarajia megawati 2,115 za umeme zitakazoingizwa katika Gridi ya...
  2. DOKEZO TANESCO, Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya umeme hakuna leo ni siku ya saba. Kulikoni?

    Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7. Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco. Mwenye namba ya simu ya makao makuu ya TANESCO tafadhali. ============= UPDATES... Mkurugenzi Huduma kwa Wateja...
  3. Nguzo za TANESCO zilizotengenezwa kwa cement ni hatari, zinazua taharuki

    Habari wana jamvi, Kama heading inavyojieleza hizi nguzo za TANESCO ambazo zimetengewa kwa cement uimara wake ni mdogo na ni hatarishi hasa maeneo ya makazi na yenye watu wengi. Awali nilijua labda zinatengenezwa ndani zinawekwa nondo na seng'enge ili kuongeza uimara kumbe ni tofauti ,hii ni...
  4. M

    Wanafunzi wa chuo wanaokwenda TANESCO kufanya field huwa wanalipwa?

    Hey
  5. Msaada kuhusu utaratibu wa utoaji huduma TANESCO kwetu tusioelewa

    Habarini wadau? Nimewauliza TANESCO kwenye thread yao hawajanijibu nimekuja kuomba msaada huku. Je, surveyor kutoka TANESCO analipwa na mteja anayehitaji kuunganishiwa umeme ndo aje afanye survey nyumbani kwako au ni bure?? Nimeuliza hivi maana mimi nimeambia nitoe pesa ili mtoa huduma hiyo...
  6. M

    NET Group walipowekeza TANESCO tulifaidika au tuliibiwa?

    Wadau nawasalimu, Suala la kudai eti kuwapa bandari hawa Waarabu wa DP World ili wawekeze sidhani kama tutakwepa kuibiwa. Ni aibu kwa Serikali yenye vyombo vya kupambana na wizi leo kudai eti bandarini kuna majizi, mapato yanaibiwa. Serikali inayoshindwa kuwadhibiti hao wezi ni Serikali...
  7. Karibu Tukufanyie Wiring ya umeme kwema Jengo lako kwa gharama nafuu sana.Tuna leseni na tupo kwenye mfumo wa nikonekti TANESCO

    FUNDI UMEME.(Wiring za umeme) -Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana. -Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni kabla ya kupiga plasta ambapo ni kuweka box za switches na kuchimbia conduit pipes ukutani. Tuna...
  8. Uwepo wa UAE kwenye Mbuga, Bandari, Misitu, Tanesco: Nini kingine hatukijui?

    Tatizo sio Kuwakaribisha wawekezaji bali ni aina ya mikataba, mfano hii mikataba ya waarabu kama wa bandari hauvunjiki hadi wao watake uvunjike ndio maana unaitwa wa milele. 1. BANDARI - Na sasa kuna mkataba huu wa bandari ambao ndio unazungumziwa zaidi sababu kipengere cha kuuvunja ni mpaka...
  9. Kampuni ya Masdar ya Falme za Kiarabu (UAE) itashirikiana na TANESCO kuzalisha umeme

    Wakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO. Tusisahau pia kwamba Shirika la Posta limeanzisha ushirikiano na kampuni ya posta ya Falme za Kiarabu. Sio hilo...
  10. DOKEZO TANESCO Arusha inawanyanyasa Wafanyakazi Wake

    Lengo la uzi huu ni kuitaka serikali iwe makini na utendaji wake, na pia kuwataka wananchi wazinduke na kupinga matendo maovu yanayoendelea nchini. Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kule mkoani Arusha limekuwa na historia kwa muda mrefu sasa ya kutojali wafanyakazi wake pamoja na maslahi yao...
  11. Nitashangaa kama TTCL, ATCL, Posta, TANESCO, NIC zitaachwa

    Kwa kifupi Mashirika yote ya umma yanayofanya Biashara yanapaswa kupigwa bei, tubakie na mashiria kama TANAPA basi. Kama Bandari inakodishwa then TTCL, ATCL, wakina TANESCO wanaachwa basi kuna shida au kuna walakini, mashirika ypte ya umma yaingie sokoni na Serikali inachana na Biashara...
  12. Huduma kwa wateja TANESCO kupitia namba 0748550000 ni Bomu la Nyuklia

    Makamba, Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada.
  13. L

    Huu upuuzi wa Tanesco na kodi za pango

    Mwezi wa tano tumelipia 150,000 kodi ya jengo mwezi huu tena nataka kununua Luku naambiwa nadaiwa tena 30,000 Tanesco watueleweshe nini kinaendelea. Nchi ngumu sana hii
  14. K

    Mbunge Fransic Mtinga: Serikali ilijidanganya kupandisha bei ya kuunganishia umeme, ataka irudishwe kuwa Tsh. 27,000

    Dodoma. Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Fransic Mtinga ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuweka gharama za kuunganisha umeme kwa Sh27, 000 kote nchini ili kukusanya makusanyo mengi kutokana na mauzo ya umeme na kodi ya majengo. Ameyasema hayo leo Jumatano Mei 31, 2023 wakati...
  15. TANESCO: SGR haitokosa umeme, ratiba kutovurugwa

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema reli ya kisasa (SGR) haitokosa umeme wala kukwama kufanya kazi kwa sababu ya kukatika au kutokea hitilafu katika miundombinu ya umeme. Kauli hiyo ilitolewa jana na Mhandisi wa Idara ya Mipango ya TANESCO, Lucas Magero, alipozungumza na waandishi wa...
  16. K

    DOKEZO TANESCO inakata Tsh 6,000 kila ukinunua umeme mwisho wa mwezi

    TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara inafuata mambo yake? Unajua Kuna vitu vingine tunaweza tukasema Magufuli alikuwa Bora upande wa matumizi...
  17. Maharage Chande, TANESCO wanakata sana umeme wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya

    Kwa Hali ya maisha ilivyo ngumu bado TANESCO mkoa wa Mbeya, wanazima umeme kila siku wilaya ya Chunya bila kujali kuna watanzania wala bila kujali ni Jimbo lilliloko mikononi mwa CCM. Katika hali ya kushangaza wananchi wameamua kumjulisha Maharage Chande, kuwa ana mbinu Za kuing’oa CCM...
  18. TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia. Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo...
  19. K

    Tigo, Tanesco wezi tu

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Jana nilinunua umeme kwa kupitia simu yangu ya mkononi. Sikujua kuwa kulikuwa na tatizo la kimtandao katika mojawapo ya kampuni ya simu za mkononi ya Tigo au Tanesco wanaouza umeme. Kibaya zaidi, baada ya kununua umeme, pesa ilikatwa kwenye Tigopesa lakini...
  20. SoC03 Ushiriki wa Sekta Binafsi katika usambazaji wa umeme Tanzania

    Umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya kisasa, unawezesha kila kitu kuanzia majumbani, biashara, hospitali, shule nk. Hata hivyo, katika nchi nyingi zinazoendelea, upatikanaji wa umeme ambao unategemewa sana bado ni changamoto kubwa. Ndani ya Nchi yetu ya Tanzania kuna shirika moja tu linalohusika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…