tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo: Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Amemteua...
  2. Asante Rais Samia kwa Kumtumbua Maharage wa TANESCO. Naomba apelekwe Mahakamani

    Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco. Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari...
  3. Dawasco na Tanesco kwenye ushindani mkubwa, zinazoumia ni sisi nyasi

    Baada Tanesco kukiki kwa takribani wiki 2 mtawalia. Dawasco ameona naye asisahaulike. Kuna kipindi cha Mzee Magufuli kulikuwa na ukame wa muda mrefu sana, ila umeme wala maji vilipatikana muda wote. Yale mambo ya kuna marekebisho hatukuyaexperience kabisa. Tulichokigundua kuwa umeme mnakata...
  4. Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

    Umuofia kwenu....! Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
  5. Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Call Centre ya Tanesco, kampuni iliyopewa Tenda ya kusimamia Huduma kwa Wateja ndani ya Tanesco ni Kampuni Binafsi. Inadaiwa ni ni mali ya Maharage na Makamba. Inaongozwa na Mwamvita Makamba ambaye ni dada ya Januari Makamba Waziri wa Mambo ya Nje. Mwamvita Kaacha kazi...
  6. Z

    TANESCO hawana namna ya kufanya umeme usikatike maeneo ya Hospitali?

    Siku Moja nilienda kutoa huduma hospitali nikaingia leba wodi. Mule nilimkuta mtoto yuko kwenye oxygen. Ghafla umeme ulikatika na bahati mbaya Ile standing generator ikagoma kuwaka kwa dakika kumi, niliumia sana moyoni. Ndipo nikajiuliza swali hivi Tanesco hawawezi kuzuia umeme usikatike...
  7. M

    TANESCO mtatuunguzia vitu

    TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu. Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
  8. Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

    Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa. Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla. Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo...
  9. Je, umeme unokatwa nchini na Tanesco wajumuisha ofisi zote nyeti, balozi na sehemu zingine kama Oysterbay? Au ni kwa watanzania wa hali ya chini tu?

    Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali. Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii? Je, umeme huo...
  10. M

    TANESCO inakata umeme kutwa viongozi wamekaa kimya. Nchi hii sasa ipo tu hamna dereva

    TANESCO sasa hivi wanakata umeme bila ya kutoa taarifa. Halafu hakuna kiongozi anayefuatilia wala kuzungumzia ili suala. Ingekuwa Magufuli angeenda kushuhudia mwenyewe iko kina cha maji kama kweli kiko chini. Sasa hivi hata Waziri haendi sijui kazi yake ni nini yeye anapewa taarifa kama sie na...
  11. Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

    Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna ratiba ya umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI. Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa...
  12. TANESCO ibinafsishwe kwa muwekezaji maana haina tija kwa taifa na msaada kwa Watanzania

    Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta...
  13. TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
  14. R

    TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HALI YA UBORA WA MRADI WA JNHPP NA UHIFADHI WA WANYAMA PORI Jumapili, 10 Septemba 2023. Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mradi wetu wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP). Taarifa hizo zinaelezea na kuleta hofu kuhusu Ubora...
  15. M

    Tangu asubuhi hakuna umeme. TANESCO wanataka Hayati Magufuli akumbukwe

    Muda mwingine inafikia hatua mtu unawaza huenda ni hujuma za baadhi ya watengaji wakuu na wanasiasa wanaotaka wananchi waichukie serikali ya sasa na kumkumbuka Hayati Magufuli. Mama yetu Samia tunakupenda sana lakini Mwenyezi Mungu akujaalie kuwabaini watendaji na wanasiasa wenye HILA NA...
  16. Upelelezi wakwamisha Kesi ya Watumishi TANESCO wanaodaiwa kuhujumu Tsh. Bilioni 2

    Ni Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Watumishi wa TANESCO Mkoa wa Mwanza, Abdukadri Lwassa (Fundi) na Respicius Rwegoshora (Afisa Bohari) imeshindwa kuendelea kutokana na upelelezi kutokamilika. Watumishi hao wanakabiliwa na mashtaka 125 yakiwemo ya Kughushi Nyaraka, Ubadhirifu wa Mali ya...
  17. P

    TANESCO inawajibika kwa nani?

    Ni miaka sasa bado tunasumbuliwa na ukosefu wa umeme wa uhakika. Tatizo hili likekuwa sugu. Mamlaka husika imekaa kimya utadhani swala hili haliwahusu. Kuna fahari gani kwa wafanyakazi wa TANESCO kwenda ofisini/kazini kila siku, kupata mshahara kila mwezi na wakati kutoa huduma imekuwa...
  18. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Biteko kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO

    Leo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Biteko atakutana na kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO makao makuu Ubungo. Jamaa zangu ambao ni wafanyakazi hapo wanasema Makamba amekua waziri kwa miaka 2 lakini hajawahi kukutana na wafanyakazi na kuzungumza nao ili hali mawaziri wengine wote...
  19. TANESCO mnachonifanyia sijapenda kabisa na sitopenda muwafanyie wengine

    Zimepita siku nne sasa tangu luku yetu tunayotumia ishindwe kuruhusu umeme kutumika kwenye nyumba yangu Nimetumia taarifa mapema kabisaa, pale tuuh luku Yao ilipojizima bila ya tatizo lolote. Nikawaambia kupitia huduma Kwa wateja kuwa""jamani luku yenu imezingua, umeme hauruhusiwi, luku...
  20. N

    TANESCO hawana uwezo wa kubadili tariff bila kumtaarifu mteja?

    Tanesco: Naomba niwaulize, katika sheria zenu kuna ibara au kifungu kinaeleza kuwa shirika linauwezo wa kubadilisha tariff ya matumizi ya umeme bila kumtaarifu mteja? Nimeuliza swali hilo kwasababu kwa kawaida matumizi yetu ndani ya saa 24 ni uniti 10 lakini 08 /09/ 2023 zimetumika uniti 22...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…