Wanabodi..
Poleni kama nitakuwa nimeandika lugha ngumu, ila nataka kuweka msisitizo kabisa.
Wanaume wenzangu, ni muda mwafaka wa kutambua ukweli Mchungu.
Mnyama dume asipo kuwa na nguvu, hawezi kustahimili maisha ya porini. Ataishia kuteswa na wanyama wenye nguvu, hata pata jike, na pia hata...