tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tahadhari: Ipo siku hewa tunayovuta tutailipia kodi ili ipatikane pesa ya kulipa mikopo chechefu

    Hii mikopo tunayobugia kwa pupa hivi tutakuja kuilipa kupitia puani. Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF Muda wa kulipa ukifika, tunaweza hata kuambiwa tulipie hii hewa tunayovuta, maana ni rasilimali ya serikali na tulipe kama tunavyolipa kodi ya ardhi. Unapimwa uzito wako kisha...
  2. M

    Tahadhari: Jiepushe na utapeli wa huu ujumbe

    Kuna message isiyofahamika inazunguka mitandaoni. Inasomeka: "SELCOM OTP 94DDF O331LO Imethibitishwa umepokea zawadi Tsh 6,000,000.00/= Kutokana na TUZO P'OINT zako. V@t 18% . Piga simu no 0659365488 uweze kupokea bonus hiyo.
  3. TAHADHARI: Upepo mkali na mawimbi makubwa katika bahari ya Hindi - Juni 2 na Juni 3, 2022

  4. Tahadhari: Utapeli wa Zimbabwe wa kubadili mtu aliyelala na mke wa mtu aonekane ana miguu ya ng'ombe na mkia, umefika Tanzania

    Kinachofanyika ni kwamba mtu anafukiwa miguu kwenye shimo ama anaweza kuwa ni kilema hana miguu, wanaiweka miguu ya ng'ombe kwenye suruali halafu kwa namna wanayojua wenyewe inaunganishwa na na kiwili wili. Kuhusu huo mkia unacheza cheza kila mara, kuna mota inafungwa ama kuna uzi umepita...
  5. Wizara ya Afya: Hatuna mgojwa wa Monkeypox nchini

    Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini. - Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
  6. Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?

    Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa. Mama is on the move daily. Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro. Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule. Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya...
  7. Tahadhari kwa mnaotumia mfumo wa malipo wa Selcom Paytech Plc

    Salam kwanza kabisa napenda kushare na nyinyi uzoefu wangu kuhusu mfumo wa malipo wa Selcom Mimi ni Wakala wa benk na mitandao ya simu huwa ninafanya miamala mingi ya malipo kama tra ada ya vyuo vya serikali kwa kupitia mfumo wa malipo wa selcom Sasa nachotaka kuwatahadharisha ni kwamba huu...
  8. K

    Tahadhari watumia pombe kali!

    Mwaka jana, wakati kama huu (siku kuu mfululizo), nilimpoteza rafiki yangu kipenzi. Alipenda sana pombe kali, bia alikuwa hataki. Kula chakula alikuwa mvivu. Sasa alianza na pombe Kali, Alhamisi jioni, (hapo ni mpaka masaa marefu), Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu! Sasa Jumanne tumefika...
  9. Kikosi cha Usalama Barabarani Jiji Mwanza chukua Tahadhali Mapema

    Hizi gari ndogo za abiria aina ya Toyota Hiace za njia ya Mwaloni - Shibula kupitia Kiseke PPF ni hatari na zitamaliza watu....mwendo Kasi, madereva na kondakta wote wanakuwa wamelewa kuanzia asubuhi, gari ni mbovu Sana (ni Hiace mbili tu zenye unafuu) njia hii hakuna trafiki hata mmoja...
  10. Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

    Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
  11. I

    Mitandao ya kijamii isikufanye uwachukie wanaohitaji upendo wako wa kweli

    Usipokuwa makini na mitandao ya kijamii, unaweza muonea wivu mtu unaepaswa kumuonea huruma.
  12. U

    Tahadhari kubwa kwa mdau kamwe usitumie Neno " Nimefarijika" badala yake tumia Neno " Nimefarajika"

    Wadau wote hamjamboni Niwatahadharishe Ni makosa makubwa kutumia neno " Farijika" kwani linaleta maana mbaya Tumia Neno " Farajika" au "nimepata faraja" Aksanteni
  13. Serikali yatoa tahadhari ya Homa ya Manjano

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya kuzuka kwa ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) ambapo amesema tarehe 03 Machi 2022 Wizara ya Afya ilipokea taarifa kutoka WHO hapa nchini ikielezea kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano nchini Kenya. Amesema hadi kufikia tarehe...
  14. Viongozi wa Dodoma Jiji chukueni tahadhari

    Pale mlipoweka Kambi Kibaha wachezaji hawako salama. Hakuna ulinzi,basi lenu mnapolipaki pale shuleni linaonekana wazi. Unaingia pale lodge unakutana na wachezaji na unaongea nao bila shida, sasa kama Mimi ni mnazi wa timu flani si ni rahisi kuwarubuni? Timu zetu za kariakoo zina watu maeneo...
  15. Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika "tahadhari maalum" - kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi. Akizungumza na maafisa wakuu wa kijeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi Sergei Shoigu, alisema mataifa ya...
  16. Baadhi ya madereva pikipiki (bodaboda) ni wezi, chukua tahadhari

    Yaani wanapaki pembeni na barabara au karibu na kituo cha daladala wakipata abiria mnaelewana vizuri tuu na anakupeleka lakini akifika sehemu iliopo bar anasimama anatoa simu yake kujifanya anampigia mtu halafu anairudisha mfukoni kisha anakuambia "naomba simu yako nimcheki jamaa"hapo anataja...
  17. T

    Matumizi ya simu wakati wa mvua yanaweza kuleta madhara endapo radi itapiga?

    Mkuu wa polisi hapa Arusha katutahadhalisha matumizi ya simu wakati wa mvua yanaweza kusababisha RADI. Hii kweli inawezekana jamani? Wenye kujua hili naomba ufafanuzi
  18. Msimu wa mvua unakaribia, chukua tahadhari ya Radi

    Hata hapa Dar es salaam, msimu wa mvua unakaribia. Radi hapa Jijini si za kutisha , lakini tumesikia kwa mfano huko Rukwa radi imeaua karibu kila wiki. Nyanda za Ziwa kuzunguka ziwa Victoria radi ni kitu cha kila mwaka na inaua watu wengi. Watu wanafikiri ni uchawi lakini hewa huwa ina...
  19. Tahadhari: Baa hii iliyopo Tabata Kinyerezi ina wadada wezi

    Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makini Ilikuwa hivi. Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa. Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula...
  20. TBS watoa tahadhari kwa Wafanyabiashara wanaoanika vyakula juani

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewatahadharisha wafanyabiashara bidhaa za chakula zilizofungashwa yakiwemo mafuta ya kula kuweka ama kuanika kwenye jua kwani kunaweza kuleta madhara makubwa ya kiafya kwa binadamu. Ameyasema hayo leo Afisa Uthibiti ubora TBS, Bw. Baraka Mbajije wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…