tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Kuna tabia ya udokozi wa dawa kwa Wagonjwa waliolazwa Hospitali ya Mawenzi. Uongozi udhibiti tabia hiyo

    Kuna kero nimekutana nayo hapa Hospitali ya Mawenzi, kuna wizi wa dawa sana, unaandikiwa ukanunue dawa ukiweka kwenye kabati ya mgonjwa ukirudi mchana unakuta hazipo. Mfano unanunua mabomba ya dawa dozi ya siku lakini mgonjwa atachomwa mara moja kisha wanakwambia zimeisha, hii ni mbaya sana...
  2. Uliwahi kuwa na mpenzi au rafiki mwenye moja ya tabia hizi?

    Uliwahi kuwa na mahusiano na Moja wapo ilikuwaje au urafiki 1.MLEVI KUPINDUKIA 2.MZEMBE 3.MVIVU 4.MCHAFU 5.MUONGO 6.MROHO 7.MCHOYO 8.MNAFIKI 9.MMBEA 10.MWIZI 11.MALAYA
  3. Tufanye amendment: Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akose sifa za kugombea nafasi yoyote ya kisiasa. hii itadhibiti tabia za wanasiasa Nchini

    Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akili huwa haziko sawa utimamu wake hupungua kwa asilimia 70 (Qandt, K. R. & Jones, A.J, 2021). na sifa ya kiongozi ni kuwa na akili timamu. Hivyo basi: nashauri amendment ya katiba ifanywe na bunge letu tukufu ili kuzuia mtu yoyote ambaye alishawahi...
  4. M

    Nimefanya kazi na makabila mbali mbali, hizi ni tabia nilizoziona zikijirudia

    Nimekutana na makabila kadhaa ila katika haya nimekutana na watu zaidi ya saba na tabia hizi niliweza kuziona zikijirudia rudia. Wachaga - ni wachapakazi, wanajituma, lakini muda mwingi wana plan ya kutafuta tobo la kupiga hela. Kwenye maelewano ya pesa hakikisha mnaenda kwa mikataba, mkienda...
  5. Samia vua vazi la ushungi na juba, unalishusha heshima kwa matendo yako.

    Naandika hii baada ya kuona hukumu ya kufungwa miaka minne kwa Mh Tundu Lisu. Lakini ukiona aina ya hukumu hiyo imekaa kisiasa ikiwa ni kama kumkomoa au kumkomesha ili ashindwe kufanya shughuli zake za kisiasa na kijamii. Sasa swali ni kwamba huo ushungi na majuba yana maana gani anapovaa...
  6. Dunia imechafuka

    Dunia imechafuka: Ndugu wanajamii forum kiukwel dunia n uwanja wenye tamaduni ,itikadi ,hisia na tabia za Kila namna ,Leo utasikia nchi yetu au mataifa mengine n ugomvi wa kisiasa ,mara utasikia mauaji ,mara umalaya mara ushoga ase hii n hatari,,Kuna msemo unasema God made man ,Man made...
  7. K

    Uchawa unalipa sana , shida uongozi unapobadilika huishi maisha ya kutengwa na aibu mfano wale machawa wa Magufuli wako wapi?

    Chawa ni mtu anayejipendekeza Kwa kiongozi, mwanasiasa mfanyabiashara au kundi fulani Kwa lengo la kunufaika au kupata chochote. Kwa maana rahisi chawa ni kama mwanamke malaya ambaye yupo tayari kufanya chchote ilimradi apate pesa. Shida ni pale anayekutumia anapotimiza malengo yake harafu...
  8. Ni tabia sio uhalisia wa usahihi

    Pole sana SweetyCandy Sijui kilichokukuta na pole kwa maumivu. Naomba tuwe wa haki kidogo. Kuna wababa wanaoyumba, ni kweli, na kila mtu ana mfano wa mmoja. Lakini kuchukua mfano wa watu wachache kisha kusema "wababa wote kazi yao ni kupiga watoto na kukimbilia michepuko" si ukweli wa...
  9. Kama roll model wa Tanzania ni Zuchu na Diamond acha watoto wawe na Tabia hizi za Kishenzi

    Tanzania tunajumbatia vitu vya kipumbavu sana matokeo yake ndo haya sana. 1. Roll model ni wasanii hadi.wanaalikwa kuwa wageni rasmi kwenye graduations. 2. Mpira wa Simba na Yanga ndiyo kipaumbele cha wanasiasa kuwapumbaza watu ujinga.mtu. 3..Wanasiasa wenyewe hawasomwshi watoto wao katika...
  10. Hizi ndio tabia za wabongo karibu kila Mtanzania anazo

    1. Kujifanya unajua kila kitu: Hata ukiulizwa kuhusu fizikia ya anga za mbali au teknolojia ya kurusha roketi, Mbongo atakupa maelezo kwa kujiamini kabisa kana kwamba alisoma naye! 2. Kuambiwa kitu usichokijua na kuamua kutunga uongo: Badala ya kusema "Sijui" au "Sifahamu", atatunga uongo wa...
  11. M

    Je, Mama yake Gigy Money ndio chanzo cha tabia alizonazo mtoto wake?

    Msanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake. Pia Gigy amesema, mama yake alimzaa Kwa bahati mbaya Kwa sababu mimba yake aliitoa na kwenda kumtupa chooni ila Kwa bahati...
  12. Ni tabia gani unayo ambayo Mama yako haifahamu?

    Kila mama anadhani anamjua mwanae asilimia 100, lakini ukweli ni kwamba kila mtu ana tabia yake ya siri ambayo mama yake hajawahi kuijua. Sasa tuambie ni tabia gani yako ambayo mama yako haifahamu?
  13. D

    KERO Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao

    Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao, hasa wakati wanafunzi hao bado wanaendelea na mchakato wa kufanya uchaguzi wa vyuo mbalimbali kupitia mfumo wa TCU. Kitendo hiki kinawanyima wanafunzi uhuru wa kuchagua vyuo...
  14. Fumbo la Imani, DNA ya Kiungu, na ndoto ya dunia moja mababu wa Yesu na tabia zao

    FUMBO LA IMANI, DNA YA KIUNGU, NA NDOTO YA DUNIA MOJA Uchambuzi wa Kifalsafa Juu ya Paradox za Kidini na Usalama wa Ubinadamu UTANGULIZI: Mshtuko wa Kihistoria Unapoingia ndani kabisa ya uchunguzi wa maandiko ya kale, unakutana na jambo la kushangaza sana linaloshtua akili ya kawaida. Wakati...
  15. A

    Umasikini unaharibu mahusiano au unafichua tabia halisi za watu?

    Wakuu nilikua natafakari jambo hapa, hivi umasikini unaharibu mahusiano au unafichua tabia halisi za watu? 🤔🔥 Kuna wanaosema mapenzi ya kweli huonekana wakati wa shida, lakini wengine huamini changamoto za pesa zinaweza kuua hata mahusiano yaliyokuwa na upendo wa dhati. Mtu akiwa hana kitu...
  16. Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anateyeuliwa kushika nafasi fulani, bila kumfahamu, historia yake, ni HATARI

    KUMPONGEZA MTU BILA KUMFAHAMU NI KUKOSA TAHADHARI! Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anayeuliwa kushika nafasi fulani, bila kwanza kumfahamu, historia yake, tabia yake na mwenendo wake, inahitaji kutafakariwa upya. Si kila anayepata nafasi anastahili pongezi...
  17. Mwanaume: Tabia 5 ambazo ukiziendekeza basi fahamu kwamba kufa mapema au kwenda jela kwako ni jambo lisiloepukika.

    1. Tamaa ya Mali na Fedha 2. Kiburi na Ujuaji 3. Wizi na Utapeli 4. Dhambi za Zinaa na Uzinzi 5. Hasira zisizo na mipaka
  18. Kusema tabia za makabira ila kuskazini mwa tanzania ni kweli kuhusu tabia zao.

    Tumeona kwa mbowe na CHADEMA. Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali. Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz. Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na...
  19. Huenda tatizo la jamii yetu si kwamba watu wamekuwa wabaya, bali tumetengeneza mazingira yanayowazawadia watu wenye tabia mbaya.

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari kuhusu tabia za watu katika jamii yetu. Tunapozungumzia rushwa, unafiki, ubinafsi, udanganyifu na kupotea kwa uaminifu, mara nyingi tunahitimisha kwamba watanzania ni wajanja wajanja na matapeli kwa asili. Lakini je, tumewahi kujiuliza kama mazingira...
  20. Changamoto za kujenga tabia mpya

    Kwenye maisha yetu ya kila siku huwa tunapitia hali ya kutaka kukua lakini inashindikana kwa sababu ya mazoea yetu ya kila siku...... Ni rahisi sana kujenga tabia inayokurudisha nyuma lakini ni ngumu sana kujenga tabia njema. Ni rahisi sana kujenga tabia ya ulevi lakini ni ngumu sana kujenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…