system

  1. Ngao combat system

    Ni mfumo wa elimu ya ulinzi na usalama ulio anzishwa na mlinzi sujaa mwaka ( 2019 ) katika nchini tanzania , kwa lengo la kuwapatia uwezo wa kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya wahalifu, magonjwa, mazingira hatarishi, tabia mbaya, vitendo vibaya, majanga, ajali, wanyama wa kali...
  2. M

    Kosa la kuruhusu kuficha majina ya asili ya kiafrika limewapa wahamiaji nafasi kubwa ya kupenya serikalini, jeshini, utawala na hata kuwa majasusi

    Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile George Jackson David Aisha Muhammad Nurdin Uhuru Baraka Amani Judith Christopher Benard Salehe Abdul Ally kunafuta utambulisho wa asili na...
  3. NGAO COMBAT / NGAO SELF DEFENSE IS NOT MARTIAL ART SYSTEM

    Mapigano ya Ngao si mfumo wa sanaa ya kijeshi, kwa sababu sanaa ya kijeshi inahusika na umbo, maarifa, mazoezi, nidhamu, kujidhibiti, ibada, mila, utamaduni, mikanda, gi na michezo. Mapigano ya Ngao ni kwa ajil ya kulinda afya, kujidhibiti, kuokoa maisha na kuishi.
  4. NGAO - DEFENCE & SAFETY SYSTEM

    Ngao ni mfumo wa ulinzi na usalama, mfumo huu umeanzishwa na issa rajabu tofiki/mlinzi shujaa , katika nchi ya tanzania, mwaka ( 2019 ) kwa lengo la kuwapatia raia wa tanzania uwezo wa kujilinda dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, wateka nyara, wauaji, magonjwa, ajali, mazingira hatarishi na...
  5. NGAO - SELF DEFENSE SYSTEM

    NGAO Ni mfumo wa kujilinda wa tanzania .,ambao umeanzishwa na mlinzi shujaa , mfumo huu unangazia zaidi katika mafunzo ya kunilinda .dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, wateka nyara, , wauaji, magonjwa, ajali, mazingira hatarishi, wanyama .wakali, wadudu wa kali na matendo mabaya. Kama vile ...
  6. Je dunia ina-operating system za kiroho zinazodefine maeneo tofauti-tofauti ya dunia

    Ukianza dakar mpaka lusaka nikimaanisha ukiangalia miji aina ya maisha utaona yanafanana mfano kinshasa, lagos, kampala, dar es salaam, nairobi, n.k hii miji inafanana iko dominated na squatter na michafu plus hata maisha ya watu kwenye hizi nchi yanafanana je kuna operating system ya kiroho...
  7. R

    Elimu Please: Mid term Elections ni nini in US political structure/administration system?

    Siielewi nime google inaleta vitu vingi. Kwa ufupi ni nini?
  8. KanisaSmart System ya kumanage shughuli za kanisa (Sadaka,Michango,Ahadi,Mahudhurio,Wageni) etc

    Nimetengeneza System inayorahisisha kazi zako za kanisa inapatikana hapa BUre Laravel Kwasasa tupo na v1.0.0 Preview kwa mahitaji ya self hosting tuwasiliane lakini kwa matumizi ya kawaida unaweza jiunga hapo...
  9. E

    Ujue mfumo wa points za udereva (Drivers Licence Point System)

    Kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na malori uliotokea Septemba 28 na 29, 2026, madereva wengi hawakujua maana ya mfumo wa points (Drivers Licence Point System). Kwa mujibu wa Kifungu cha 31 cha Sheria ya Usalama Barabarani Sura ya 168 Rekebu ya 2023, leseni yako ya udereva ina pointi 15, na...
  10. R

    LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

    UK wana system ambayo plate number yako na "NIDA" zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza...
  11. A

    KERO Mfumo wa parking Terminal 3, Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere umeruhusu gari jingine kwa tiketi yangu

    Nimetoka muda huu katika Terminal 3 ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, ambapo nililipa ada ya maegesho ya gari. Baada ya muda, nilipofika kwenye geti la kutokea, magari yalikuwa yakifuatana. Gari lililokuwa mbele yangu lilipita likitumia tiketi yangu kutokana na mfumo wa kamera...
  12. Je, kuna Car security system yenye 3 in 1: Alarm, GPS tracker, and kill switch?

    Vehicle protection gurus, Nahitaji Car security system yenye functions 3 at once. Iwe na Alarm, Gps tracker, na Kill Switch. Zinapatikana?
  13. Political Debate: Tanzania's current democratic governance system.

    Does Tanzania’s current democratic governance system genuinely serve the interests of its citizens and provide the best foundation for Tanzania’s future development? ======================= Motion states that “This House believes that Tanzania’s current democratic governance system is effective...
  14. A

    KERO Kwanini mfumo wa risiti za kuhudumia Wateja unakuwa na muda tofauti wa kusubiri na uhalisia?

    Mfumo wa kupata namba ya foleni (kikaratasi) unapokwenda CRDB kupata huduma una changamoto. Unakuta mfumo unaonyesha muda wa kusubiri ni dakika 11, lakini unapata huduma baada ya zaidi ya saa moja. Hii ni kero kubwa kwa wateja. Karibu matawi yote ya CRDB yanaonekana kuwa na changamoto ya kasi...
  15. M

    Hongereni Wazanzibari! hatua zenu si za kubeza; mnasuka usawa ndani ya Muungano. CCM Bara hatuna wasiwasi, kiongozi yeyote anaejiuzulu nafasi itajazwa

    Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi. Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
  16. Asiaminike sana, system wengi huwa hawastaafu

    Na anajitahidi kuweka imani aaminike, System inaweza kukufunga hata gerezani miaka kadhaa uchunguze mtu fulan mfungwa au tukio fulan ndani, Na ika ku harass sana huku nyuma ya mlango ikikupoza kiaina, Wanaoona karibu wakakuamini na kukuweka kwenye Taasisi zao , Au mwanachama anayesumbua...
  17. Uganda's LC I Elections | July 28, 2026

    1/: Today, the 28th of July is a public holiday in Uganda, where Citizens are voting to elect Local Council I (LC I) chairpersons and village committees through the traditional lining-up voting system. Candidates from the National Resistance Movement (NRM), National Unity Platform (NUP), Forum...
  18. Ana bahati yupo ndani ya system vinginevyo muda huu tungeshasikia tayari katekwa

    Huyu sungura mjanja sana🤣
  19. Je system inataka kumvua ubunge Baba Levo ili apewe Zitto?

    Kuna kesi inaendelea pale mahakama kuu masijala ndogo ya Kigoma kuhusu ushindi wa Clayton Chipando a.k.a Baba Levo kuhusu ubunge wake. Kuna tuhuma kuwa ushindi wa Baba Levo ulikuwa na hujuma kwa wapinzani wake wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025. Endapo atakutwa na hatia, Baba Levo anaweza...
  20. Nilishangazwa sana na jinsi mfumo wa USA unavyofanya kazi

    Nilishangazwa sana na jinsi mfumo wa USA unavyofanya kazi kwa mfano raisi D.Trump alisaini executive order, kwamba kesho tarehe xx/xx/xxxx raia wote wa nchi xyz hawataruhusiwa kuingia USA, ilipofika saa 23:59 (dakika 1 kabla ya saa sita usiku) Walizuiwa dunia nzima hao rai hapo hapo walipokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…