support

  1. R

    Kwa Mara ya Mwisho nimeamua kuwa support CHADEMA, Watanzania wenzangu 2025 ni Mwaka wa kujisahihisha "say NO to CCM"

    Habari jf ,kwanza niweke Wazi Mimi ni mfuasi wa lile kundi linalosemwa vibaya la Hayati JPM na msimamo wangu utabaki pale pale ndiye best president to rule this country . CHADEMA kiuhalisia ukiwatoa Wilbroad slaa na Tundu Lissu hakuna kiongozi aliyewahi kuwa serious na kuchukua Nchi ,ni huwa...
  2. Support community ya kupambana na addiction kama kujichua, pombe , bangi , kupata marafiki, betting na others NJOO UNIPE MAWAZO YAKO KAMA SIO KUJIUNG

    Katika pitapita zangu nimekutana na tovuti ya nofap hii imenipa hamasa sana ukiangalia ukanda mzima huu wa afrika mashariki hakuna tovuti hii kwa jamii yetu Nimeona niianzishe na teyari nilikua nayo nyingine so nikufuta old post na kuanza upya Ningependa nipate mtazamo wako hii ni kama forum...
  3. Nimetengeneza shule ya kwanza ya kidigitali ambayo wanafunzi watasoma na kufanya mitihani wakiwa nyumbani

    SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
  4. Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto

    Mwijaku amedai ni aibu kubwa kwa msanii mkubwa Kama Nandy na mumewe kuendelea kusaidiwa kutunziwa Mtoto na msanii mwenzake Diamond. Mwijaku amemtaka Nandy akamshukuru ndg Diamond kwa kipindi chote alichomsaidia na malezi ,Kisha yeye kuendelea kutuma hela ya matumizi kwa Mobetto mpaka Mtoto...
  5. Support my writing with your wisdom

    I've wrote a business book and published it to Amazon Kindle. I've tried to write about financial success and business. My available in digital format and also paperback (physical book). You can get your copy as just as little for $2.99. Help me to show your support, Thank you. Anyone...
  6. The Satanic nature of Western Goverments is now exposed:They have openly voted against a UN resolution to combat the glorification of Nazism

    The Satanic nature of the US Government and other Western Governments hidden for many generations have now been exposed: They have VOTED AGAINST The United Nations Resolution to Combat "Glorification of Nazism." Yes the Khazarian Mafia,NWO Cabal or Satanists are in control of America and other...
  7. Habari mtanzania mwenzetu anaomba support yetu

    Ni jambo la buheri kuwa wanajamvi wote mu wazima Kuna mtanzania mmoja mdogo kiumri kama namzidi miaka mitatu ila niseme ukweli na yeye kanizidi akili kulingana na alichokifanya. Kijana anaitwa Idrisa Amiry ni kijana mdogo amefungua online classified website ambayo ni KUMENOGA baada ya kunipa...
  8. Nimetoa wimbo wangu, naomba support yako

    Nimetoa wimbo, naomba u subscribe na u like. Naomba support yako mwana JamiiForums mwenzangu
  9. Nimebuni wazo la kufanyisha mtihani watoto online naombeni support yenu. Ninao Walimu wa uhakika

    TUNAELEKEA MWISHO WA MWAKA 2022, EWE MZAZI/MWALIMU/MLEZI/MWANAFUNZI tunakukaribisha katika mtihani wetu wa kufungia mwaka siku ya Jumatano ya Tarehe 14.12.2022 saa 08:00PM (Usiku) katika somo la Biology kwa gharama ya shilingi 1,000/= pekee. Lengo la mtihani huu ni kumpima mwanafunzi uelewa...
  10. Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...

    Wanabodi, Kabla sijaanza bandiko hili, naomba kutoa angalizo hili Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama. Kwa sisi...
  11. Reasons why I support Putin

    Achana na Vita inayoendelea Kati ya Russia na Ukraine,siongelei hilo swala. Hapa namzungumzia Putin katika angle nyingine kabisa Hizi hapa ni sababu zangu kwa nini namkubali Sana Putin ; 1. Ushoga Ni agenda inayopigiwa promo na magharibi ili Dunia nzima iingie kwenye huu ushetani wa kwenda...
  12. Nahitaji support kwenye Tech entrepreneurship

    Habari za wakati huu JF Members. Dhumuni la thread hii ni kutafuta partners wa kushirikiana nao Kuunda team kudevelop ideas na kuzibadili ideas hzo kuwa ajira kwetu na kwa vijana wenzetu. Nimekuwa nikiwasoma baadhi ya wajasiriamali waliofanikiwa katika ujasiriamali teknolojia, Namna...
  13. Joseph Kusaga ampa support Mbosso

    Joseph Kusaga ameshea jina la EP ya Mbosso. Ep itaitwa KHAN na itatoka kesho saa 6 usiku.
  14. Accountant – Support Application at Ministry of Finance and Planning

    September, 2022 Job Description POST ACCOUNTANT – SUPPORT APPLICATION – 1 POST EMPLOYER Ministry of Finance and Planning(MOF) APPLICATION TIMELINE: 2022-09-25 2022-10-08 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To support preparation and submission of quality financial reports by all GF...
  15. EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

    Wanabodi, Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote...
  16. Afrika ni ngumu mtoto wa maskini kuendeleza kipaji chake kwa support kutoka kwa baba yake

    Kipaji ni zawadi iliyopo ndani yako ambayo mungu mwenyewe kakupa kujua una kipaji gani hilo ni jukumu lako wewe mwenyewe tena. Lakini kiafrika afrika ni ngumu sana kipaji cha mtoto kuendelezwa na kupata support kutoka kwenye familia sio kwa sababu hawataki kipaji chako kiwe kikubwa ila tu "...
  17. R

    Kenya2022 Support ya Uhuru Kenyatta kwa Raila ilikuwa ni chenga ya mwili au?

    Habari wana JF, hivi ile support ya Uhuru kwa Raila ni siasa, chenga ya mwili kwa Raila? Kulingana na historia na siasa za Kenya, Uhuru alikuwa tayari Raila kuwa Mjaluo wa kwanza kuingia Ikulu au chenga tu?
  18. Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

    Wanabodi, Ukiwa na jambo lako, ukaomba msaada wa usaidizi kwa public ili usaidiwe, the public ulioomba msaada ika respond positive, ukasaidiwa kwa michango ya hali na mali, baadhi yetu ni huwa wanyenyekevu wakati wa kuomba tuu, lakini tukisha fanikiwa, tunatabia ya kujisahau. Haturejei...
  19. Administration Supervisor at The Resettlement Support Center

    TZ - Administration Supervisor (N) Full Time Kasulu, Kigoma, TZ Requisition ID: 1329 Job Description Position Title: Administration Supervisor Reports To: Head of Office/Program Coordinator, Kasulu Division...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…