status

A status symbol is a visible, external symbol of one's social position, an indicator of economic or social status. Many luxury goods are often considered status symbols. Status symbol is also a sociological term – as part of social and sociological symbolic interactionism – relating to how individuals and groups interact and interpret various cultural symbols.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimeangalia status yake ameweka " I love god

    Hapa najiuliza, sio Godfrey yule wa nyumba jirani na kwao kweli....🤔
  2. H

    Simu zetu zina password, lakini maisha yetu yote yapo kwenye status!

    Je, bado tunaelewa maana ya privacy?
  3. Wiki tano sijaona status updates Ajira Portal

    Wakuu toka nimeApply kazi ajira portal hadi sasa ni mwezi toka deadline ya kuomba kazi. kumbuka hii ni mara yangu ya kwanza kuApply kazi za government. Lakini ukiangalia kwenye hiyo attachment, nilikosea anwani, ikawa rejected, lakini nyingie hadi sasa sijaona status update yoyote. Swali...
  4. Kupostiana status huu ushamba nani aliuleta? Nini objective yake?

    Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake. Sasa...
  5. Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

    NDOA IMEBAKIA TU KAMA TITLE NA SIO KITU KILICHO SACRED
  6. Jiko: VENUS Uwezo: lina Plate Sita ⏭️2-Umeme ⏭️4 Gas burners Lina oka mikate Status: Used like New Price: 750,000/= Location:DSM Chanika Phone:

    Jiko: VENUS Uwezo: lina Plate Sita ⏭️2-Umeme ⏭️4 Gas burners Lina oka mikate Status: Used like New Price: 750,000/= Location:DSM Chanika Phone: 0716161683
  7. Hii imekaje admisión status haisomi selected

    Nacte mifumo yao ina matatizo gani admission status mwanzo ilisoma selected kozi mionzi mbeya college leo admission status inarudi kwenye profile haionyeshi tena kama selected applicant
  8. X

    Mtu unamheshimu unakuta ameweka status ya 1980s challenge

    Hivi karibuni imeingia challenge maalum ya AI inayobadilisha picha yako ionekane kama ya miaka ya 1980 Inaweza kuitwa “AI 80s Challenge" au “1980s AI Photo Challenge Upumbavu mtupu huko WhatsApp na mitandao mingine ya kijamii sio madingi, mamaza sio majanja wote ni 80s challenge Aibu utaona wewe
  9. Kila siku unapost nguo kwenye status… lakini je, unauza tu au unajenga brand?

    Leo watu wengi wanaanza biashara ya nguo kupitia WhatsApp Status, Instagram, Facebook au TikTok. Unaweza kuanza ukiwa na nguo chache, ukapata wateja wa kwanza na kuanza kupata faida. Lakini swali ni: Je, unataka kubaki muuzaji wa nguo au kujenga BRAND yako mwenyewe? Safari ya kujenga biashara...
  10. Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  11. D

    Current Status of Russia - Ukraine War (19 June 2026)

    The war remains active, with no ceasefire or peace agreement in place. Fighting continues along multiple fronts, while both sides increasingly rely on long-range drones and missile strikes. Battlefield Situation Russian forces continue offensive operations in eastern Ukraine, particularly...
  12. Status WhatsApp yazua balaa kwa mume mwenye wake wawili

    Ukiwa mume mwenye mke zaidi ya mmoja basi kila hatua unayochukua inakubidi uitafakari mara mbili. Hayo yametokea jana baada ya baba mwenye mji wake kumpost mke mdogo kwenye Status WhatsApp Baada ya mara kwa mara mume kumpost bimkubwa status akaona leo ngoja nimrushe bimdogo nae hewani auze...
  13. WhatsApp Status yangu

    Hivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50% Mpira-20% Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20% Fursa za uchumi,biashara-5% Memes, Quotes-5%
  14. Hii tabia ya wenza kupost vijembe WhatsApp status mnapotofautiana sio nzuri

    Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine. Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni...
  15. Kuna mshikaji wangu Desemba nilikuwa naview status zake alikuwa anafanya matanuzi/starehe vibaya sana leo kashajisahau

    Leo hii kajisahau kanitumia test ya kipuuzi sana huku sikutafutiana lawama tu, Muwe makini na status zenu mnazoweka Whatsapp na social media nyingine
  16. TAKM Organization of the Eurasian Law Enforcement Agencies with Military Status

    TAKM Organization of the Eurasian Law Enforcement Agencies with Military Status
  17. Tukiwa Pamoja Tunakuona Mtu Wa Heshima Na Wamaana Ukituma Whatsapp Status Tunakuona Bogasi

    My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!! Aisee kuna wadau au jamaa zetu au watu wetu wa karibu au wafanyakazi wenzetu,mkiwa pamoja ni watu wa maana tu...
  18. Status bwana!kuna Ka feeling Fulani ukion views wengi

    Yaani NI Raha ipost kitu WhatsApp halafu baada ya lisaa views 60 aisee halafu kiwe kitu Una proud of kama Mimi mwenzenu mwanangu alivyo mzuri na Baba yake mwema aisee kwenye hii point hunambii kitu (bahati, upepo,nyota)
  19. Privacy and Perception

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…