siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna Jambo linanikwaza hapa: Naomba kufahamu tabia za mwanamke anayefanya umalaya kwa siri

    Kuna mwanamke ninaye yaani kila nikitafakari naona napigwa akinitafuta ujue anaomba hela, nikishamtumia hata kushukuru hawezi ukimwomba mapenzi ananizungusha zungusha mpaka tugombane ndio atanipa sasa kivumbi jana usiku nimerudi zangu job nimekaa sebuleni kucheki movie nikaingia whatsapp...
  2. JamiiForums Tanzania Wazijua siri za Vatican?

    Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original. Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana. Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia. Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa...
  3. JamiiForums Tanzania Siri nzito Kamati Kuu ya CHADEMA ikikutana zaanza kuvuja

    Kama tulivyosema hapo awali, kishindo cha Kamati kuu ya CHADEMA, afadhali hata ukutane na tetemeko la ardhi. Japo ukimya umetanda lakini cheche zake zimeanza kubabua baadhi ya watu. Usithubutu kuondoka JF kuanzia muda huu ili usipitwe na jambo zito!
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Jinsi maisha yalivyo ni bora dada zetu wakapewa hii siri Mapema

    Kwa jinsi watoto wakike wanavyoingia broke na kupoteza thamani yao, Ni bora hii siri wakaifahamu kuwa uzuri wa nje hauna msaada wowote katika kutoboa Maisha. Wanabidi kupambana kujiziboresha akili zao na sio kuhangaika na kuuboresha Mwili na kusahau kujiboresha ghorofani. Katika Dunia ya leo...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni siri gani yoyote ya Mafanikio unayoijua tofauti na kuroga?

    Humu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga. Je, ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency? Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza...
  6. JamiiForums Tanzania Hapa Kuna Siri gani kuhusu ukiwa na hela unapoteza shauku ya Kupata kitu mfano swala la kuoa Mtu ukipata hela unalisahau kama huwa lipo.?

    Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela. Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
  7. JamiiForums Tanzania Mke wa boss wako akikutaka kimapenzi, je utakuwa Mwaminifu? Jibu lako ndio Siri ya Anguko au Mafanikio yako

    MKE WA BOSS WAKO AKIKUTAKA KIMAPENZI, JE UTAKUWA MWAMINIFU? JIBU LAKO NDIO SIRI YA ANGUKO AU MAFANIKIO YAKO Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani katika Hekalu Jeusi Mke wa Boss wako ameumbika, shape imesimama kama namba ya Lampard mchezaji wa zamani wa Chelsea. Akitembea anatikisika na...
  8. JamiiForums Tanzania Siri 5 ambazo mke hafai kumwambia mume wake licha ya utamu wa penzi lao

    Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi. Hata hivyo siku hizi, ndoa nyingi huishia kuvunjika kutokana na sababu moja au nyingine, hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

    Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria. Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo. Kanda ya Ziwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nimetokwa na kijipu sehemu ya siri ghafla, naomba msaada

    Ni jambo lenye ukakasi ila sinabudi kulizungumza. Naomba mniwie radhi. Nilisafiri sehemu nikakaa siku moja, yapili nikarudi, naweza sema nimekaa siku mbili, lakini zaidi ya haja dogo, sijaenda haja kubwa hata maramoja. Niliporudi ninapoishi siku ya kwanza nikapata choo kigumu, siku ya pili...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yazishtukia Urusi na Korea Kaskazini, yadai zina mazungumzo ya siri

    Ikulu ya White House ya Marekani, imesema kuwa Urusi inaendelea na mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini ili kupata risasi na nyenzo nyingine za kivita dhidi ya Ukraine. Mtandao wa BBC umeripoti kuwa msemaji wa usalama wa taifa hilo, John Kirby, amesema kuwa pamoja na vifaa vya kijeshi, Moscow...
  12. JamiiForums Tanzania Nini siri ya Bashungwa kuhamishwa Wizara kila mara?

    Wakuu salama Innocent Bashungwa ambaye jana ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi amekuwa Waziri anayehamishwa Wizara mara nyingi sana. Nini hasa kipo nyuma ya Bashungwa kuhamishwa Wizara kila mara? Ukiangalia tangu atotolewe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo na kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara mnamo...
  13. JamiiForums Tanzania Ijue siri ya kucheza mpira wa umiliki mpira, yaani boli kutembea

    Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Simba kucheza mpira usiovutia, au wengine wanaita papatu papatu. Kuna wengine wamekuwa wanasifia uchezaji wa Yanga hivi sasa. Ngoja niwagusie mbinu mojawapo ninayoijua mimi ya kuwajenga wachezaji kuweza kucheza mpira wa umiliki yaani possession football...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Urusi inauza mafuta yake kwa siri?

    Urusi imebambwa inauza uchochoroni mafuta inayozalisha. Imegundulika kuwa Urusi inapeleka mafuta yake Bahari Kuu (Deep Sea) na kuyapakia kwenye meli nyingine na mafuta hayo hupelekwa India kuchakatwa. Mafuta hayo yakichakatwa hupelekwa Uingereza kuuzwa kwa makampuni yauzayo mafuta ya ndege...
  15. JamiiForums Tanzania Nini Siri ya Rais Samia "Kumtumbua Boss" Usalama wa Taifa?

    Leo Rais Samia ametumbua aliyekuwa Boss wa TISS (Usalama wa Taifa), Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi na kumeteua Boss Mpya Balozi Ali Idi Siwa Wanajamavi, watu wenye connection, wajuzi wa mambo, tuambiane nini chanzo cha Massoro kuliwa kichwa mapema hivi? Soma: - Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Siri ya kuolewa na kudumu kwenye ndoa

    1• Mwanamke elewa kwamba huwezi kumlazimisha mwanamme akupende hata umfanyie Nini ie, umpe hela etc, jua tu ataishia kukutumia tu then atakuacha. 2•. Mwanaume anayeonyesha kukupenda zaidi kuliko ww (ke) vile unavyompenda mheshim usimdharau Wala kumuudhi cheza nae kwa akili ili siku ukikwama...
  17. JamiiForums Tanzania Ijue siri kubwa ya mafanikio ya Yanga

    Tunamkumbuka Stephen King kwa maneno yake yenye busara hasa pale aliposema: "Talent is cheaper than table salt. What separates the talented individual from the successful one is a lot of hard work." Ila bwana Kevin Durant yeye akasema "” Hard work beats talent when talent fails to work hard”...
  18. JamiiForums Tanzania Siri ya maendeleo ya taifa masikini kuinuka

    Siri muhimu kwa taifa masikini kuinuka kutoka katika dimbwi la umasikini. Hii siri ambayo viongozi na wananchi wengi wa mataifa masikini hatupo tayari kuipokea na kuikubali. Kama taifa tunataka tutoke haraka hapa tulipo kuna siri moja ya muhimu sana ambayo tunapaswa kuifahamu na kuikubali hata...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Chukueni Siri hii

    Ipo hivi sisi binadamu ni roho, siku tulilifamu hili tutakuwa unstoppable kwenye Kila eneo la maisha yetu. Hawa kina Elon musk, Bill gates na mwenzao wengi walifahamu Siri hii wakatumia Nguvu hiyo kumanipulate Mambo mbalimbali kwenye maisha yao hadi sasa they are unstoppable.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Mwendazake wamemwaga ugali, na wa Mama wamemwaga mboga, sasa ni kuvujisha tu siri

    CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi). Wakati watu wengi wanaamini ile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…