Kwa misimu kadhaa sasa timu ya simba imekuwa na utaratibu wa kufukuza makocha tena ndani ya muda mfupi Sana.
Jambo ambalo linazuwa maswali tatanishi mengi.
1.Je wanaohusika kufukuza na kuajiri makocha simba kwenye misimu yote hiyo si ndiyo hao hao viongozi wapo wao hawana matatizo? Mbona...