simba

  1. B

    Ningekuwa kwenye benchi la ufundi la Simba SC ningependekeza kikosi hiki hasa kwenye mechi dhidi ya Yanga

    Hello! Simba kama timu kubwa Africa ni lazima uchukuaji wake wa vikombe hasa vya ligi kuu viwe ni lazima angalau isipite miaka 3 bila kunyenyua ndoo. Lakini kwa trend hii ya kudondosha point kwenye mechi muhimu, suala la vikombe kwenda msimbazi linaweza kusubiliwa sana. Mechi kati ya Simba na...
  2. Maana yake ni nini: Nimepita klm 300 Matawi ya Simba na Yanga Barabarani ni Mengi kuliko ya CCM na CHADEMA.

    Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa matawi ya Simba au Yanga ni mengi kuliko Ya Vyama vya siasa. Najiuliza Watu wamehamia kwenye burudani...
  3. Simba wasitafute mchawi ...mchawi wa simba namba1 ni Ahmed Ally...siku huyu jamaa atakapofukuzwa kazi simba itarudi kwenye ubora wake

    Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu...
  4. Fei Toto alivyotinga uzi wa Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya mechi

    Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum maarufu Fei Toto akiwa amevaa jezi ya Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  5. S

    Simba fanyeni maboresho ya kikosi vinginevyo tarehe 08 Machi 2025 tunakwenda kumpa ubingwa Tena Yanga

    Jana kwa namna nilivyouangalia mpira, timu yetu katikati ilikuwa inakatika sana, kama wangekuwepo wale sungura huku Pacome, kule Max, kule Aziz, cjui Mzize au Dube Leo wengine tusingeamka majumbani kwetu na tungebakia mavyumbani kusikiliza nyimbo za Amapiano TU, kiukweli Azam walitukosa sana...
  6. FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

    Simba SC VS Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025 | Saa 1:00 Usiku. Wafungaji wa magoli Simba > Elie Mpanzu dakika, 25 Abdulrazak Hamza dakika, 76 Azam FC > Gibril Sillah. Dakika, 1 Zidane Sereri. Dakika,88
  7. D

    Fadlu David kabakisha muda gani Simba?

    Huyu anafaa kuwa kocha wa viungo. Hana mbinu za maana uwanjani haswa timu ikielekea mechi ngumu na za kimataifa. Sioni akimaliza siku 30 kuanzia Leo pale Msimbazi.
  8. N

    Wana simba tuache lawama...

    Tuache lawama wana lunyasi... Kilichotokea jana ni tafsiri halisi ya ligi yenye ushindani... Si hivyo tu, matokeo ya jana yanaondoa uvumi kuwa Azam hucheza kwa low intensity ili kuifaidisha Simba... Binafsi najua hata Uto anaenda kukutana na moto wa Azam na ataangusha alama.
  9. Simba wana project nzuri, nitie ushauri kidogo

    Nawapongeza Simba wana project nzuri, wameamini damu na wanacheza vyema Coach Fadlu amekuwa coach Bora kabisa, amefanya rotation ya kikosi na kila mchezaji amempa nafasi Mashabiki waache kuipa timu pressure ya ubingwa, naona level za kuwa bingwa Bado kidogo Marekebisho 1. Shabalala akae...
  10. Kalamu ya Leo 📝 | Simba SC Vs Azam FC

    Kalamu ya Leo 📝 | Simba SC Vs Azam FC MZIZIMA DERBY 🔥! Simba na Azam wametupa mechi bora sana ✅! Fadlu David's Vs Rachid Taoussi 🔥 4-2-3-1 ya Simba in Build-up leo muda mwingi walicheza na 2-4-1-3(CBs then FBs wanacheza pembeni ya Ngoma na Kagoma then Ahoua juu yao kisha Kibu, Ateba na...
  11. M

    Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

    Ahlan wa sahalan. Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba. Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi wanatakiwa watafute mabeki wapya kushoto na kulia ili kuifanya falsafa ya mwalimu Fadlu kuwa na nguvu...
  12. Ukitaka ujue ujinga wa watanzania angalia Azam sasa hivi ishu ni Simba na Azam

    Watanzania mambo ya msingi hawayapi kipaumbele ila mambo ya ujinga ndio wanayapa chapuo.
  13. TANZIA Shabiki Maarufu Wa Simba SC Mjata Mjata maarufu kama mpaka Mafuta Afariki Dunia

    #TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa soka, na hasa kupitia upendo wake kwa timu ya Simba SC. Mjata Mjata ni miongoni mwa mashabiki...
  14. Je, wanaSimba mnasemaje Baada kufutwa kwa kadi nyekundu?

    Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480] Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefa
  15. Wanayopitia Man City & Man U ingekuwa Yanga au Simba sijui ingekuwaje?

    Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔 Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa...
  16. Kabla Simba hajapigwa Zile 5 Kulikua na Trend ya Yanga Kufunga goli 5 kwenye Michezo ya Nyuma yake Msimu huo ni kama Msimu huu tu.

    Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili. Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi? Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
  17. Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

    Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare. Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
  18. Baada ya kusikiliza mameneja habari wa Aazam na Simba nimeamini kesho ni mechi kati ya fatu na fetty

    Mnaotegemea maajabu kesho mnajisumbua tu.Azam ni tawi la 5imba.Kama umemsikiliza vizuri Ahmed Ally leo utanielewa vizuri. Mnaobeti kazi kwenu. Hamtafundishwa kila kitu.
  19. Kampuni ya Umbro yaomba tenda ya jezi Simba SC

    Nimepata taarifa kuwa kampuni ya kimataifa ya Umbro ni moja ya wazabuni walioomba tenda ya kutengeneza na kusambaza jezi ya klabu ya Simba Sc Zingine ni kampuni kutoka China, Sandaland Theonly One, na Vunja Bei
  20. Clatous Chota Chama pole sana na hao ndiyo Yanga SC ambao ulidhani kwenda Kwao ungetukomoa Simba SC iliyokujenga na kukupa Thamani Kubwa

    Ikifukie ya kwamba..... 1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga 2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC 3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC 4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC 5. Chama amekuwa Mpweke 6. Chama muda wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…