simba

  1. Upekee tunaoutaka wana Simba SC ni kuwa Bingwa wa CAFCL na Super League siyo kuzindua Jezi Mlima Kilimanjaro

    Sijaona bado ulazima huo wa kujihangaisha kwenda kileleni Mlima Kilimanjaro na kuzindua jezi zetu Simba SC ili tu kufunika tukio la Yanga SC la wao kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais wawili wa Malawi na Tanzania. Na si lazima kila Yanga SC ikija na kitu kipya cha ubunifu basi na sisi...
  2. Viongozi wa Simba tulieni, mnakurupuka sana

    Habari wakuu! Nimesikia leo toka viongozi wa Simba kuwa wanaenda kuzindua Jessey zao Mlima kilimanjaro! Well, mpaka sasa sijaona logic behind hii decision zaidi ya kuona ni kukurupuka baada ya kuona Yanga wamezindua Jezi zao Ikulu. Hakuna haja ya kufanya kitu kama hicho kuonyesha mnazindua...
  3. T

    Tetesi: Robertinho ajiondoa simba, arudi kwao Brazil kisa na mkasa ni viongozi kutompa: thank you Chama

    Kocha aliwaambia viongozi wa simba hataki kumuona CCC msimu ujao, viongozi nao wakamwambia Chama haendi popote, kama vipi bora wampe thank you yeye Kocha. Kocha kaona isiwe tabu, jana kaamua kurudi kwao Brazil. Gadiola mnene muda si muda anachukua tena timu
  4. Picha: Chama alikuja Simba akiwa na afya dhaifu

  5. Fabrice Ngoma ni mnyama

    Wachezaji wa kigeni hadi sasaivi tumezidisha naona kabisa Banda na sakho hawatakuwepo msimu huu
  6. M

    Usajili wa Miquissone Simba ni usajili wa mihemko na kuwafurahisha mashabiki na sio usajili wa kiufundi

    Ni ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu. Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili Miquissone, unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka...
  7. M

    Naomba faida ya Kauli za Majigambo za Wasemaji wa Simba na Yanga katika Maendeleo ya Soka Tanzania

    Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC) Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC. Ahmed Ally (Msemaji Simba...
  8. Tetesi: Friends of Simba wanamtuhumu Mwenyekiti wa Simba kuwasaliti

    Nipo kwenye gym moja maarufu sana hapa karibu na Ubalozi wa Vatican lakini kwa masikio yangu nimemsikia mmoja wa wana kundi wa friends of Simba akimtuhumu mwenzao aliyepo karibu na Mudi kwa kuwa (nokolea). " ....Chairman anaenda kuiharibu Klabu kwa kupenda sifa za hovyo kwa bwana mkubwa."...
  9. Mpango wa kumuaga Mkude kwa heshima siku ya Simba Day bado upo?

    Kuongezea maumivu zaidi kuna tetesi kwamba Chama anaweza kwenda Yanga. Huo mpango wa kumuaga bado upo?
  10. Barbara Gonzalez anamaanisha nini? Kuna nini Simba?

  11. Simba ni timu isiyo na furaha, ona hapa!

    Hali yao ni ngumu sana, hebu watizame usoni utagundua hili
  12. Mo Dewji nakupasulia huu Ukweli ambao GSM wa Yanga SC nae naomba auchukue juu ya Uwekezaji Simba na Yanga

    GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa. Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa Simba SC na Gharib Said Mohammed wa Yanga SC kwa Historia Kubwa ya Simba na Yanga hasa katika Siasa za...
  13. Simba SC Haina faida yoyote kwa mo, Simba ndio wanufaika ,namshauri mo aachane haraka na SC,.uko

    Ukipita mitaani ukawakuta mashabiki ,WA Simba na wachambuzi wa soka watakuonyesha kwamba mo dewj anaidhulum Simba au wanataka billion 20, wakati huo huo mo dewj ameendelea kutumia pesa zake kuihudumia timu kwa mambo mbalimbali ambapo tangia ameanza kuifadhili timu mpaka Leo huenda ametumia zaidi...
  14. Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

    Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa" Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi...
  15. Wachezaji wa Simba wafanyiwa vipimo vya Afya katika Hospitali ya Mloganzila

    Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wamefika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya zao na kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na msimu mpya ya mashindano ya ligi 2023/2024. Daktari wa Timu ya Simba Dkt. Edwin Kagabo...
  16. Zoezi la kuwasaka Simba Iringa limeishia wapi? Bado wananchi wana hofu kubwa!

    Hali ya usalama katika vijiji vilivyoripotiwa kuvamiwa na Simba Bado ni tete, hiyo ni kwa mujibu wa kazi wa vijiji husika kuishi kwa hofu na kuogopa hata kutembea mida ya jioni kwa wale wenye mashamba mbali imekuwa changamoto kubwa! Taarifa mahsusi itolewe kama usalama umerejea na hao Simba...
  17. Jean JINI Baleke karejea Dar es Salaam na Simba SC hivyo taabu iko pale pale

    Mwambieni Yule Meno Kuungua wenu, mla Mirungi na Mporwa Wake zake aliyeandika katika Instagram Page yake kuwa Baleke kaondoka rasmi Simba SC kuwa amerejea rasmi Tanzania na Simba SC hivyo asipende kuwa na Kiherehere. Imeisha hiyo.....!!
  18. Wana Yanga SC hatutaki Kudanganywa na Pesa za Bonasi za SportPesa tunataka 'Vyuma' Kusajiliwa kama vya Simba SC

    GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko sasa Klabuni ambao Unafichwa ili tusichekwe na Simba SC wenye Hela na wanaosajili Vyuma hasa kweli...
  19. Yanga msishangae sana, hizi hasira mmetupa nyie wenyewe

    Tunajua upande wa pili bado wamepigwa na butwaa wa hizi sajili zinazoendelea pale Msimbazi. Msimu huu ulioisha kuna mambo yaliyotokea katika ligi na hasa mashindano ya kimataifa ambayo kwa kweli yalituumiza sana wanaSimba. Sitaongelea sana ligi ya NBC maana huku tulikuwa tunawamudu ni basi tu...
  20. Bado nazidi kuona makosa makubwa kwenye usajili wa Simba. Kwa mwendo huu mashabiki jiandaeni maumivu tena na tena 2023-24

    Habari ndugu ZANGU. Mimi ni mdau WA soka. Na mpenzi na mdau wa Simba. Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba. NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI. 1. KOSA kubwa la Kwanza ni KUMUACHA Golikipa Beno kakolanya., Hivyo wanalazimika KUSAJILI Golikipa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…