simba

  1. Simba SC mchukueni Juma Kaseja ni mkongwe lakini akiwa golini kwenye mechi tafu anaweza, kuliko hao mnaobahatisha

    Nimemaliza Sina mengi viongozi wa Simba dharau ndio Zinawaponza mara zote ! Mfano benno ni Bora mara kumi ukimtoa Aishi na huyu wa gorilla wa yanga wengine wote hakuna wa kimfikia benno kakolanya ..Sasa hivi tuna mashindano magumu Sana mwezi oktoba alafu kipa mnabahatisha ,chukueni juma kaseja...
  2. Yaani Kipa John Noble Barinyima ameshamalizana na Kitayose FC ya Tabora, nyie 'mnahaha' Kuwapora ili aje achezee Simba SC

    Halafu GENTAMYCINE akisema kuwa 75% ya Viongozi wa Simba SC ni Wahuni, Waswahili na Wapigaji mnakasirika. Nasisitiza Kipa Mbrazili Jefferson Luis wala hajaumia vibaya kama mlivyotuzuga bali mmetengeneza hili Tukio kwakuwa mmegundua katokea Ligi Daraja la Nne huko Brazil hivyo hana Vigezo vya...
  3. Simba SC acheni Kutuzuga kuhusu Kuumia kwa Kipa Mbrazili Jefferson Luis Mabingwa wa Uchunguzi tumegundua yafuatayo....

    #1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni. #2. Mchezaji Peter Banda kawashika pabaya Kimkataba na kakataa Kuondoka Simba SC na kwamba akiondoka Simba SC...
  4. Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  5. Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  6. Simba warudia tena kosa lingine kwenye usajili

    Simba ni sikio la kufa. Nilimtumia Email Kajula. Nilimuonya kutosajili wachezaji Nje ya Africa. Nikaambatanisha na mifano. 1. Dejan. 2. Santos. 3. Wilker Da silver. 4. Fraga. Lakini wapi. Leo aibu imewapata. Baada ya kuachana na huyo Arison Beker wa mchongo wanarudia tena kosa kwenda...
  7. M

    Viongozi wa Simba acheni usanii juu ya suala la kipa wenu

    Napata shida kubwa juu ya tetesi zinazoendelea ya kwamba simba inaweza kumtema kipa mbrazil aliyesajiliwa hivi karibuni kwa sababu eti ana majeraha!!! Siwezi kusema Sana juu ya tetesi inawezekana ikatokea kweli ama isitokee, lakini Kama ni kweli basi kuna wahuni wanaendelea kupiga 10% kwa...
  8. Simba SC inapiga soka la kasi, ukila goli 10 usilaumiwe

  9. Kikosi cha Simba cha msimu 2023/24 ni kile kile cha msimu 2022/23

    Naona mashabiki wa Simba wanapanga vikosi vyao...vya msimu ujao...huku wakilitupa jina la KENNEDY JUMA, MZAMIRU YASIN, SAIDOO, KIBU, JOHN BOCCO. Nawaambia watakaoingia kikosi cha kwanza katika sajili zenu mpya ni either KRAMOO AU MIQUESON(Nae ni hatihati) Nimekaa pale.
  10. Picha: Fabrice Ngoma Simba Sc akikaba kikundi

    Taarifa za huyu mtu huko Uturuki zinadhihirisha Yanga walikuwa sahihi kulia kuibiwa mchezaji.
  11. Mapato ya uwanja wa Benjamini Mkapa ndiyo kikwazo kikubwa kwa mapacha wa Kariakoo kujenga uwanja wao

    Huwa zinaibuka kelele na kampeni za ujenzi wa uwanja/mashabiki kuchangia timu zao ili zijenge uwanja lakini mwisho wa siku kimya. Huo ni mchezo mchafu unaochezwa na viongozi wa wa klabu hizi mbili (Simba na Yanga) kwa lengo la kuwakamua mashabiki wao kidogo walichonacho. Siasa za kariakoo huwa...
  12. Ligi ya mpira ikiisha Watanzania huwa wapo serious na siasa. Ligi ikianza kelele za Simba na Yanga zitatumika kuwaleta DP World rasmi

    Kwa sasa Ligi imeisha kumetulia sana, habari za Dpworld zinakita kila kona ndio main talk ya nchi mithiri ya panya anaezurura kila kona pale paka akienda nje kupumzika kidogo. Hili suala limewekewa pause, linakuja kuplay ligi ikianza hasa kama Yanga na Simba zitakutana hapo ngao ya jamii. Ndio...
  13. Simba Sc yapiga mtu 2-0 Uturuki; Friendly Match

    Simba Sc ikiwa inacheza kwa kasi kama umeme imepiga mtu 2-0 huko Uturuki. Hii ni mechi ya mchana tu,jioni ya saa 12 tunapiga game nyingine. Hii ni tahadhali kwa timu ndogo ndogo na zile za CAF Champs Nguvu Moja
  14. Bado sina imani na usajili wa Simba

    Binafsi nilitarajia msimu huu tutafumua kikosi na kuunda upya kwa kusajili makinda wanaofanya vizuri kwenye vilabu vikubwa, kuanzia walinzi, viungo na washambuliaji. Hii ingetusaidia sana kwa misimu hata 4 mfululizo. Kwa usajili huu wa kuwarudisha waliofeli maisha ya soka na kuokota goli kipa...
  15. Simba na Yanga: Viingilio ni Sababu, ila kuna kubwa zaidi ya hilo

    Nianze kutoka credit kwa wadau wasoka, mpira wa miguu ni industry pekee yenye muamko na ushawishi mkubwa kwa jamii, nchini Tanzania. Lakini, kama hujaliona hili, basi angalia nyanja ya siasa mfano, watu wengi sasa wanahisi yanayotokea huko basi hayawahusu, ni kama mambo yanatokea kwa jirani...
  16. Tetesi: Simba hati hati kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa!

    Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo. Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League...
  17. M

    Sasa ni rasmi: Timu 10 bora za CAF ikiwemo SIMBA zitaanzia mzunguko wa pili. Hao "wananchi" wataanzia mchangani/mzunguko wa kwanza!

    54 teams are engaged in CL 2023 / 2024. Accordingly, the 10 highest ranked clubs in the official clubs ranking, shall be exempted of the 1st preliminaryround.The remaining teams are divided into the following: highest ranked teams / less ranked teams / non rankedteams.7 pots have been created...
  18. Ushauri kuelekea tamasha kubwa kabisa nchini SIMBA DAY August 6 Mambo ya Muhimu kuzingatia

    Tamasha bora la mpira wa miguu kuelekea msimu mpya linapaswa kuwa tukio la kusisimua na la kuvutia kwa mashabiki wa mpira wa miguu na ambao si mashabiki wa mpira wa Miguu kuvutika na kuwa WANACHAMA na wapenzi WA TIMU husika simba . Hapa kuna mambo kadhaa yanayoweza kufanywa ili kufanikisha...
  19. FT: Mechi ya kujipima nguvu Simba 1-1 Zira

    Timu ya Simba ambayo iko kwenye Kambi ya maandalizi nchini Uturuki leo tarehe 24 Julai inacheza mechi yake ya kwanza ya majaribio. Mechi hiyo itaanza saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki na kati na inapambana na timu ya Zira ya Azebaiajan..timu ya Zira iliyoko pia kwenye daraja la kwanza...
  20. Uongozi wa Simba SC acheni kucheza na Akili zetu, kwa huyu Kipa Mbrazili Jefferson Luis mmetutukana Tusi Kubwa Sisi Mashabiki wenu

    Siyo kwamba kila Siku GENTAMYCINE nikiwa Nawachokoza, Nawananga na Nawatania mno Watani zetu Yanga SC basi Kwetu huku ( Simba SC ) mkikosea nitawanyamazia. Huwa sina Unafiki na Upumbavu na ndivyo hata nilivyo Kiuhalisia wangu. Kama Kipa Ally Salim ( japo ana Mapungufu kadhaa ) ameweza Kudaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…