simba

  1. Nashauri Wachezaji hawa wa Simba SC leo wasiende Uhuru Stadium na wakienda Walindwe sana ili Wasipigwe

    1. Inonga 2. Chama 3. Kapombe Msiseme GENTAMYCINE sikuwashtua. Na hata Saido Ntibanzokinza na Leandre Onana nao hawako salama sana kwa Hasira Kali walizonazo Mashabiki wa Simba SC juu yao, ambao kwa wanaojiandaa kwenda Uwanjani Uhuru Stadium wanasema wanaenda Kuwatia Adabu ( Kuwaadhibu )...
  2. Walinzi (Makomandoo) na Wapishi wa Simba SC mliokuwa zamu Derby ya Novemba 5, 2023 Albadiri itatulipia machungu yetu kwa usaliti wenu

    Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na...
  3. FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

    Match Day! Simba SC Vs Namungo FC ⌚ 04:00pm 🏟️ Uhuru Stadium. Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa. Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo Kikosi cha Namungo Kinachoanza All the Best Simba. #Nguvumoja# Mchezo umeanza 10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo...
  4. Simba wamchukue Kocha wa JKT Queen Estre Chabruma

    Uzi tayari
  5. Napata furaha sana simba inavyotapatapa kumtafuta mchawi

    Kipigo cha 5G siyo mchezo jamaa wanatafuta mchawi ila wamesahau kulitufunga 5, walipigwa tano tano kwenye CAF pia wamesahau kuwa yanga imekuwa kawaida yake kushinda hizo goli mwisho niseme mjipange isije tena mechi ijayo mkafukuza mpaka mwekezaji (bwana mpata hasara asiye jivua) maumivu yapo...
  6. Simbachawene: Kama zile 5-1 zimetokana na Rushwa, Simba mkaripoti TAKUKURU Temeke

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kama Klabu ya Simba inaamini kupoteza kwa magoli 5-1 dhidi ya Yanga kumechangiwa na mazingira ya rushwa basi taarifa hiyo ikaripotiwe Ofisi ya TAKUKURU Temeke, Dar es Salaam. Awali, Mbunge...
  7. Simba waliiogopa mno Yanga kabla ya mechi na wakati wa mechi.

    Hakukuwa na ulazima wa Simba kumfukuza kocha peke yake kwa kosa la kufungwa magoli 5 na Yanga. Kufungwa kwa Simba kulisababishwa na sababu na wadau wengi wakiwemo viongozi na wachezaji wenyewe. Simba iliingia kwenye mechi ile wadau wote wa simba (kocha, wachezaji, uongozi na mashabiki) wakiwa...
  8. Viongozi wa Simba ndio tatizo la kwanza kwenye klabu, wajitathimini wao kwanza kabla ya kuwatoa kafara wengine!

    Viongozi wa Simba na mwekezaji wake ni watu wa propaganda nyingi sana na wamekuwa wakiishi hivyo kwa mda mrefu walicheza na akili za wanachama wao! Jambo hili limekuwepo kwa mda mrefu na ilikuwa ni suala la muda tu ufike waumbuke, awa wakina Try again, mangungu, Mo mwenyewe, wamekuwa ni watu wa...
  9. Simba inaendeshwa kwa presha za mashabiki viongozi hawajui wanataka nini na wafanye nini

    Kuna hali ya kustajabisha ndani ya uongozi wa Simba katika kusimamia timu. Hapo awali tuliona jinsi gani uchebe aliondolewa kwenye timu, ilianzia kwa mashabiki huko mwanza kumtupia chupa za maji na kushinikiza kocha hawamtaki, haikuchukua muda kocha akaondolewa klabuni na hali hiyo imewakuta...
  10. Tetesi: Van Dabroek kutua Simba SC

    Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Robertinho. Kocha huyo kutoka Ubelgiji anatajwa kuwa chaguo la kwanza la uongozi...
  11. S

    Naiona Simba ikishuka daraja

    Kipigo cha bao 5 kutoka kwa Yanga, kina dalili zote za kuivuruga Simba kuanzia kwenye uongizi mpaka kwa wachezaji na bench zima la ufundi. Hivyo; busara ikikosekana, kuna hatari ya hii club kusambaratika na kufanya vibaya katika ligi na wasipokuwa makini, club itashika nafasi za chini kwenye...
  12. Huyu hapa kocha (mpya wa muda) wa Simba

    Tulikuwa nae mazoezini jioni ya leo N:B TUMEANZA MAZUNGUMZO YA AWALI NA KISHINGO Anaitwa cadena Neno lako
  13. Haki za Binadamu watoe tamko la Kulaani Unyanyasaji wa Yanga kwa kumfunga Simba chuma Tano 😂

    Menejimenti imechanganyikiwa Rais wa heshima kachanganyikiwa Benchi la ufundi limechanganyikiwa Wachezaji wamechanganyikiwa Wanachama wamechanganyikiwa Mashabiki wamechanganyikiwa Wachambuzi wamechanganyikiwa Mpaka majirani wamechanganyikiwa
  14. Tetesi: Wachezaji watano wa Simba wasimamishwa kupisha uchunguzi kwa kichapo kikali cha goli 5 kutoka kwa Yanga

    Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Enock Inonga na Clatous Chota Chama wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya Jumapili. Wachezaji hao wanatuhumiwa kuihujumu timu kitendo kilichopelekea kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao. Maamuzi hayo...
  15. Kwanini Timu hajapewa mgunda? Viongozi wa simba wanajiandaa tena kupiga ela ndefu kuchukua kocha wa mchongo.

    Kumpa simba Matola na Cadema ata kwa siku 3 ni ujanja ujanja tu. Kama mgunda akipewa timu mechi ya kwanza tu atafanya wonderful na na Mo atamuelewa hivyo viongozi kukosa upigaji mwingine ws kutosha kupitia. 1. Kugawana posho na marupurupu na kocha huyo. 2. Kupiga dili kupata sehemu ya...
  16. Mzungu Mkoloni alianzisha Simba na Yanga!

    Hivi wamisheni mnaowaita Wakoloni wasingeanzisha Simba na Yanga leo hii mngeshangilia nini? Timu zenu mlizoanzisha kama lipuli, maji maji & Co. hazijulikani hata zilipo, halafu kuna watu wanabeza Ukristu na mchango wa Kanisa tanzania. kabla ya Kanisa kuingia tanzania kulikuwa hakuna timu ya mpira …
  17. Mambo ya siasa kwenye michezo yasipuuzwe

    Wasalaam wandugu, Kuna kitu naona kina puuzwa siku kadiri zinavyokwenda. Ila huenda ikaja kuwa hatari zaidi mbeleni endapo zitaendelea kupuuzwa. Ni kweli tuna mahaba na vyama vya siasa na wanasaiasa zetu, ila hakuna sehemu nyingine tunayoweza ku express mahaba yetu zaidi ya kwenye kumbi za...
  18. Tangu Simba ipigwe 5G kuna members wamekimbia jukwaani. Hebu tuwataje ili watoke huko waliko

    GENTAMYCINE hebu jitokeze Huwezi jifungia ndani siku zote hizo na simu umezima. Toka nje ukafanye maisha, kuna maisha baada ya dakika 90.
  19. Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho). Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru...
  20. S

    Yanga SC players pocket R3.6 million windfall after derby demolition of Simba

    Tanzanian giants Yanga SC players will receive a massive R3.6 million bonus for their emphatic victory in Sunday’s Kariakoo derby against their arch-rivals, Simba SC. Yanga SC pummelled a hapless Simba 5-1 at the Benjamin Mkapa Stadium, the biggest derby defeat in 11 years. The defending...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…