simba

  1. Simba hamutoweza kutoka hapo mlipo hadi mjifunze kunyamaza

    Habari wanajukwaa Langu Pendwa hapa Jf Jukwaa la Sports. Ni siku takribani 3 saiv zimepita toka Team Bora kwa sasa Young Africans alimaarufu kama Yanga imbamize Mwarabu goli 4 pale kwa Mkapa na kujihakikishia kusonga hatua inayofuata. Baada ya Ushindi ule tumeshuhudia Utani Mwingi sana sehemu...
  2. Simba kucheza kiporo chake cha Azam Federation 28 February Azam Complex

    Klabu ya @simbasctanzania imethibitisha kuwa siku ya tarehe 28/2/2024 watacheza mchezo wao wa ASFC dhidi ya TRA kwenye Uwanja wa Azam Complex. Mchezo huo utakuwa pia ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa mwisho wa CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy.
  3. G

    Mabilioni ya pesa inayoshinda simba ligi ya caf ikiwemo bilioni 5 ya African super League waliyopewa mwaka jana zinaenda wapi ?

    Ni ubahili, ubadhilifu wa fedha, kuna chuma ulete, au ? Simba imekuwa klabu ya kushinda mabilioni kwa miaka kadhaa kila inapoishia robo fainali caf, Na mwaka jana walipewa bilioni 5 za kushiriki super league. Matunda ya hizo pesa mbona hayaonekani ?
  4. G

    Kuna kitu Yanga wamechimbiwa Kwa Mkapa huku uwanja ukiwa umefungwa kwa matengenezo, Simba isithubutu kucheza kwa Mkapa

    Timu zote za watani wa jadi zina kamati za ufundi hakuna asiejua, tofauti ni kwamba simba anafanya hata wazi wazi ila Yanga ni kwa siri kimya kimya gizani na mafichoni. Ni kweli Yanga wanaubonda ila kuna vitu extra vinawabeba. Uwanja huo umefungwa Mar mbili kwajili ya marekebisha, baada ya...
  5. Yanga tumuombee Simba afuzu makundi... Itakua faida kubwa sana kwetu

    Ukiachana na kelele za makolo watakazotupigia mtaani ila mi naona ni heri wafuzu, Hawa wydad sio watu wazuri sana wakifuzu kimagumashi wanaweza kucharuka wakafanya maajabu( rejea Yale ya ivory coast afcon) Hawa asec, Simba, mazembe, es Tunis, Petro Luanda tunawamudu vizuri sana.... Hawa tuombee...
  6. Namuona mayele ndani ya Simba

    Kiukweli MAYELE ni kama hajafikia matarajio ya Pyramids. Walipomsajili walikua na mategemeo makubwa sana kwake lakini ameishia kumbwela bwela tu, na ukizingatia washatoka kwenye makundi CAF CL naona wakitafuta striker mpya msimu ujao au unaofata wakiachana na Mayele Na kwa jinsi wakongoman...
  7. M

    Simba Imeshafuzu tayari robo fainali

    Ni kwa sababu moja tu kuwa hata Jwangney galaxy akiifunga Simba haitakuwa na maana yoyote ile kwake. Mwenye nafasi ya kufuzu ni Simba au Wydad iwe kwa kushinda au kwa sare. Kwa maana hiyo basi na hasa ukizingatia waafrika tunavyopenda rushwa na hongo, NI DHAHIRI TAYARI MAKUBALIANO YA PANDE...
  8. Simba tusibabaishwe Team tunayo na uongozi tunao JWANENG GALAXY anakufa 4G Road To Semi Final.

    πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila nyie kumtetea Mtu asiejielewa na ana makosa ya kujirudia ni kazi. Nimeshindwa kutetea uzi wenu wanasimba Njooni Mjitetee wenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waiten wana simba wote waje naanza na hawa πŸ˜‚πŸ˜‚ Kalpana Scars OKW BOBAN SUNZU
  9. We need Babra Gonzales kwenye uongozi wa Simba

    Uongozi wa Simba ni wa hovyo maana umejaza usajili wa 10% tofauti na huu mwamb Eng. Hersi ambaye akiona Mchezaji mzuri anampandia ndege pasipo hayo ma 10%. Babra alikuwa anawamotivate wachezaji Sana na sio hawa wazee. Uongozi ukishajaaa wazee ni tatizo!
  10. M

    Maneno ya Simba kabla ya jana kuhusu Yanga

    1. Hamuwezi mechi za kimataifa 2. Medali ya kombe la looser 3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana 4. Sio Shirikisho huku. NB Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
  11. Simba inao wachezaji wazuri Ila hawapewi nafasi tofauti na Yanga

    Kinachoibeba Yanga ni kitendo cha wao kuwajaribu wachezaji wao waliowasajili na sio kwa dakika tano bali wanapewa muda mwingi uwanjani tofauti na Simba ambavyo inasajili wachezaji Ila haiwapi nafasi ya kutosha mfano Luiz Miqson ni mtu anayepaswa kupewa muda mwingi uwanjani ili akili + fitness...
  12. TFF wanaihujumu sana Simba

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia mienendo ya hawa waliopewa dhamana ya kusimamia mpira wa bongo. Ukitazama kwa jicho la tatu utaona kwamba wapo biased sana. Kwenye ratiba za CAF za mwaka huu, wamewatanguliza Simba kucheza alafu Yanga wanafatia. Hii inawafanya wacheze wakiwa wanayajua matokeo...
  13. Viongozi wa Simba kwa jinsi wanavyowadhara Mashabiki zao tegemeeni kutengenezwa kwa jambo la kuwapumbaza kama issue ya Msimu ulopita Saidoo

    Viongozi wa Simba hua hawawheshimu Mashabiki zao..Ndio maana kila wakiona Yanga wana trend wao wanawaza kuzima trend yao kwa kitu cha Mda mfupi. Si mnakumbuka Msimu uliopita aimba ilikosa FA ikatolewa CAF kama siku zote Robo na Ligi wakakosa pia walichokifanya wakaanza kununua games na SAIDOO...
  14. Yanga SC ina kitu nasema ukweli kama mwana football bila kujali Mimi mwana Simba SC

    Ukiwa mtu wa Mpira na umecheza mpira na unaelewa mpira na unaenjoy mpira ni raha sana, leo nimefurahi, nimeshangilia, nimechambua, na raha nimeipata. Hongera Yanga SC hongera wana Yanga SC football ni raha sana. Mungu ibariki Tanzania Ni hayo tu πŸ™πŸ™πŸ™ Wadiz
  15. Yanga katika ubora wao wa sasa na Simba ya Kipindi kile, Bado Yanga hii ya Moto Imepiga Team kubwa kuzidi Simba Ile.

    Kiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao. Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli. Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama NKANA serious!!! Hii Yanga imebakiza Team Mbili tu kuzipasua nazo ni Mamelodi na Al Ahly ambazo naamin Next round yanga...
  16. Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

    Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi. Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi. Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁
  17. FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo Mchezo umeanza Dakika...
  18. Utabiri: Simba na Yanga wote watasare michezo yao ya CAF champions league

    Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu. Asec vs simba 0 - 0ft Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
  19. N

    Mtazamo wangu kuelekea mechi ya mnyama Simba

    Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabisa mnyama naenda kutoa sare kwasababu Misosa watacheza wamerelax kwakuwa hawana cha kupoteza na Simba watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa kupoteza poits tatu. Lakini Mimosa hawajawahi kupoteza kwenye uwanja wao wa nyumbani, so ni ngumu sana...
  20. Mechanical Supervisor at Simba Cement February, 2024

    Position: Mechanical Supervisor Requirements 8 years in mechanical repair and maintenance, with 1+ year in supervision. Proficient in SAP,MS Office, and computer skills. Must have Experience in maintenance supervision in the cement or equivalent industry. Strong troubleshooting skills...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…