simba

  1. Video: Mashabiki wa Simba kwa wingi wakishangilia goli la Al Ahly dhidi ya Yanga 2016

    Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji ameanza Mo Dewji. Kipindi hicho manji anapiga game hizi Mo Yuko Mbagala na Africa Lyons.
  2. FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex Kikosi Game ishaanza dakika ya 18 bado bila bila Yellow card Michael Masinda kamfanyia Saido faulo, game inaendelea...
  3. Simba walitaka kumsajii Pacome ila waliogopa Chama atanuna

    Taarifa hizi ni kwa mujibu wa kipindi cha michezo cha global TV kinachoitwa kross dongo. Inasemekana jina lake lilikuwepo kwenye orodha ya wachezaji waliopendekezwa na scout ya simba mwishoni mwa msimu uliopita. wameenda mbali zaidi na kusema Pa Omary na Fredy sio mapendekezo ya scout ya simba...
  4. SI KWELI Ukikutana na Simba, ukimtazama machoni huona aibu na kuondoka

    Nani asiyemjua mbabe Simba mfalme wa nyika? Yaani ukutane naye paaah! Utamzame machoni aone aibu na kuondoka? Bado siamini hili jambo naona hawa vijana wa ovyo wanataka kuniingiza chaka siku nikikutana naye mbashara nisichukue njia nyingine za kujiokoa eti nimtizame. Hivi kweli Simba huyu kweli...
  5. Azam yathibitisha kupokea ofa kutoka vilabu viwili vikimuhitaji Dube, Simba sc ikiwemo

    Azam FC inathibitisha kwamba imepokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji mchezaji wetu, Prince Dube, raia wa Zimbabwe. Ofa hizo zimetoka katika vilabu vya Simba SC ya Tanzania na Al Hilal SC ya Sudan. Uongozi unazifanyia tathmini ofa hizo ili kuona ipi inafaa. Aidha, Azam FC...
  6. George Job: Asilimia 99.99% ya mashabiki wa Simba ni wanafiki.

    "Maisha Bila unafiki hayaendi ,wakati nazungumza wakati wa AFL kuwa Al Ahly wako unga mashabiki wa Simba SC walinishambulia Kwa kuwa nilisema Ahly alikuwa anacheza tu dhidi ya Simba SC ,lakini baada ya kutolewa kwa aggregate wengi wanaamini kuwa walikuwa na nafasi ya kupita" "lakini Jana baada...
  7. African soccer zone: hizi ni timu zitakazoshinda CAFCL Simba ya mwisho

    Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.👀🏆 Mamelodi.,........24% Al ahly........20% esperence ....14% Petro atletico 12% Young Africans .....10 % Tp mazembe.......6% Simba ........6% Source...... African soccer zone 😂😂 #TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
  8. Serikali yawaonya mashabiki wa Simba na Yanga kupokea Wageni

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele. Waziri Ndumbaro amesema pamoja na mambo mengine, amewataka...
  9. L

    Azam mmenikera sana jana kwenye mechi ya Simba vs Singida Fountain

    Mm ni mmoja wa wadau wakubwa wa Azam, iwe media, iwe tigopesa, iwe sports, iwe ice cream ali mradi tu imeitwa Azam. Jana, kabla ya mchezo haujaanza kipa wa Singida Benedict Haule alionekana kwenye luninga akiwa amesimama langoni ameshika taulo lake na maji, akaweka chupa zake za maji vzr, ndani...
  10. L

    Mambo niliyoyaona leo Simba vs Singida

    1. Ayoub Lakres ameanza kulewa sifa 2. Che Malone Fondoh amekuwa beki mbovu sana kutokana na makosa ya kitoro anayofanya 3. Babacar Sarr asiwe anaanzishwa kwani leo timu ilikuwa na uhai sana kipind cha kwanza. 4. Simba haina viungo, wanawapanga tu kwa sababu ni wachezaji wa mpira. 5. Inonga...
  11. Yericko Nyerere: Naziona Simba na Yanga nusu fainali

    Very interesting, @simbasctanzania vs @alahly hii game ni 50/50 hata Simba akitoa sare Kwa Mkapa bado game itabaki 50/50 na uamuzi utafanywa Cairo kwa mikwaju ya penati. Katika hili naiona bahati kwa Simba japo kuna marekebisho makubwa ya haraka yanatakiwa kufanywa kwa kikosi hiki safu ya...
  12. Wakati umefika sasa kwa uongozi mzima wa Simba ujiuzulu kupisha wengine

    Kelele na malalamiko yamekuwa mengi kwenye klabu ya Simba. Kuanzia kwenye masuala ya usajili wa wachezaji, matokeo uwanjani, malalamiko ya kuonewa ndani na nje ya uwanja, hadi utendaji wa kila siku wa klabu kote huko malalamiko yamekuwa mengi mno. Kwa muda sasa Simba imekuwa inahangaika huku na...
  13. FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Muda ni Saa 2:15 Usiku. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Singida FG Kinachoanza #nguvumoja#. Updates... Dakika ya 5' Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama. Dakika ya 8' Penati wanapata Simba. Anaipiga Saidoo Goaaaaaaaaalllll 2-0. Dakika ya 34' Fredddd...
  14. L

    Utabiri wangi kesho: Petro vs Simba, Mamelod vs Yanga

    Viburi vyote vitatuisha kesho, huo sio utabiri, ni uhakika. Am not Mugo wa Kihiri in Kusadikika, someone who could predict what is will happen in the future. Am sure 💯 draw kesho ni hiyo.
  15. TFF na TAKUKURU Washughulikie Malalamiko ya Simba

    Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga. Kama malalamiko hayo ni kweli basi kuna uvunjaji wa sheria za nchi zinazozuia rushwa; hivyo TAKUKURU inatakiwa ilifanyia...
  16. Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao. Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee. Saiv najua bado Mapopoma yapo huko yanamalizia kuoga yaanze kutiririka hapa Mara goli za offside mara goli la 5...
  17. A

    Zijuwe koo za Simba

    Wengi wetu tumewahi kusikia vikundi vya kishirikina, vya kihaini, vya michezo na ushirikiano wa aina mbali mbali. Kiuchumi na Kijamii. Mfano kuna Freemasons, Mafia, Yakuza, Templer Knights, Skull an Bones. Wachache sana wanaofahamu kuhusu kikundi cha aina ya kipekee cha koo za Simba. Kikundi...
  18. Robertinho: Tangu nimeondoka sioni mabadiliko yoyote Simba

    Robertinho anasema tangu amefukuzwa Simba hakuna mabadiliko yoyote kiuchezaji.
  19. D

    Simba has 5 foreign good players. That I think, they are very good

    These five players stand out as exceptional contributors to the team: 1. Onana : The Maestro of Footwork - Onana's nimble footwork on the field is a sight to behold. His dribbling skills and close control make him a formidable force in the attacking third. Opponents struggle to...
  20. E

    Willy Onana wa Simba SC

    Huyu Onana ana kipaji kizuri sana. For sure anaweza kutupa raha sana kama timu itarudi kwenye utamu wake. Au mnasemaje wadau?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…