simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
  2. Matokeo niliyoyaona jana usiku Simba SC 🆚 Rs Berkane

    Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco. Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira...
  3. 'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar

    Kwanini? 1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa...
  4. Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
  5. Sababu Kuu kwanini Simba SC wamefungwa na Berkane na hawatachukua Ubingwa Afrika

    Jana tumeshuhudia Simba SC wakiangukia pua pale Morroco pamoja na tambo, mbwembwe, goli la mama na kupelekwa na ndege ya Mama! Ni dhahiri Simba wasingeweza kushinda jana hata wangelifanyaje. Iko hivi. Tanzania kwa sasa inapitia kipindi kigumu sana cha Udikteta Uchwara. Watz kwa sasa wanatekwa...
  6. Bora Simba Sc wafungwe maradufu ili CCM wakome Kuvuna wasipopanda

    GT Mimi ni simba ila kitendo cha maCCM kuzichukulia timu zetu kama sehemu ya propaganda na campaign kuelekea uchaguzi mkuu kinanikera sana. Kwa maana hiyo basi ili kuwakomesha hawa maCCM na kuwaziba midomo maana siwapendi acha tu simba sc wafungwe tu na wasichukue kombe kabisa. Kama maCCM...
  7. FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

    RS Berkane VS Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025 Mashabiki wa Mnyama tayari wameanza kufanya kazi yao Timu imeondoka kambini kwenda uwanjani. Kikosi cha Simba tayari kimewasili Uwanjani Vikosi na mfumo kwa kila timu
  8. Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
  9. VIDEO: Hali ya Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika mechi ya Simba SC vs RS Berkane

    Tazama hali ya sasa Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika katika mechi ya Kombe la Shirikisho Simba SC vs RS Berkane
  10. Mashabiki wa Simba SC tafadhali Siku zingine msirudie tena huu Ushamba ambao pia ni Hatari kama Ndege ikiwa Angani na hairuhusiwi

    Hairuhusiwi popote pale Ndege ikiwa Angani Watu (Abiria) kuanza Kucheza Dansi huku wengine Wakiruka Sarakasi katika Viti vyao na wengine wakirandaranda na Vinywaji vyao (Vilevi) kana kwamba Wote wako Baa wakati kumbe wako Futi 65,000 Usawa wa Bahari wakiitafuta Morocco. Na nimeshangaa sana tu...
  11. Simba SC kwenye ligi kuu mpaka leo tarehe 12 May 2024

    🚨 ➡️ROUND 26.✅ ⚽MOST GOALS 🇨🇮Jean Charles Ahoua - 15 🇨🇲 Leonel Ateba - 12 🇺🇬Desse Mukwala - 11 🇨🇩Fabrice Ngoma - 4 🇹🇿Shomari Kapombe - 3 🇨🇩Ellie Mpanzu - 3 🇹🇿Kibu Denis - 2 🇹🇿Valentino Mashaka - 2 🇨🇲Che Melone - 2 🇹🇿Awesu Awesu - 2 🇹🇿Edwin Balua - 2 🇨🇬Debora Fernandez - 1 🇹🇿Mohammed Hussein -...
  12. Simba Sc inampumulia Yanga kisogoni kabisa

    Viporo vyote vimeliwa bila utata wowote. Sasa Yanga inapumuliwa kisogoni. Yanga mnaisikia pumzi ya Simba Sc?
  13. Haya chukueni hii tena ikiwa bado Mbichi kabisa: Simba SC na Yanga SC kulizana kwa ama Zengeli kuja Simba au Mpanzu kwenda Yanga

    Na kama Uongozi wa Simba SC haukumalizana mapema na Elie Mpanzu basi wana Simba SC tuanze kujiandaa Kulia Ok?
  14. Simba SC ikicheza na hatuchezi sports club (Yanga) siku za Jumapili huwa ana 95% za Ushindi, 4% za Sare / Suluhu na 1% ya Kufungwa

    Sijajua hasa tarehe ya Mechi ya Simba SC na HATUCHEZI SPORTS CLUB ni lini ila ni Siku iliyobarikiwa ya Jumapili wameisha.
  15. Za ndanii kabisa: Rs Berkane wameliomba shirikisho la Soka Africa(CAF), Mchezo Wao dhidi Ya Simba Sc siku hiyo wajifunge Misuli tu

    Naaam! Hayawi hayawi Sasa yamekua Mtoto akililia wembe MPE, ndiyo hayo siyo maneno yangu Bali ni maneno ya Wahenga na kiuhalisia kabisa hii fainali Simba SC waliitaka kwa hali na Mali ili wapoze machungu ya Mashabiki Wao Wenye uchu ya makombe na kuona timu Yao ikipiga hatua kimataifa na siyo...
  16. Onyo na angalizo kwa Simba SC dhidi ya propaganda ya kiufundi inayofanywa na Yanga SC kuelekea mechi ya tarehe 15 juni, 2025

    Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na Simba SC baada ile ya tarehe 8 Machi, 2025 Kuahirishwa. Taarifa za uhakika ambazo leo hii GENTAMYCINE...
  17. Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

    Match Day Vikosi vya Leo. 1. Simba 2. Pamba SC Mechi imeanza (Kick Off) 4' Hakuna bao pande zote 08' Simba wanapata free kick nje kidogo ya 18, anapiga Ahoua inaishia kwenye mikono ya kipa wa Pamba. Game on 0-0 11' Mpira unaendelea umiliki kwa Simba, wanaingia sana kwa Pamba. Refa...
  18. Namna bodi ya ligi anavyotaka kumbebesha msalaba wake yanga - Sehemu ya kwanza

    NAMNA BODI YA LIGI ANAVYOTAKA KUMBEBESHA MSALABA WAKE YANGA - SEHEMU YA KWANZA. Wakati Simba Sports Club imechapisha taarifa ya kugomea mchezo wa Derby walikuja na sababu zao na chini kabisa Klabu ikasema “Uchunguzi ufanyike na Wahusika wakuchukuliwe hatua kali za Kisheria” naaam na Bodi ya...
  19. S

    Mzee Magoma asema Dabi ipo na Yanga itaingia uwanjani

    Mwanachama wa Yanga SC, Mzee Magoma amesema ni bora timu iingie uwanjani kuikabili Simba SC kuliko kupoteza alama 15. Asisitiza mechi ipigwe bora wafungwe kuliko kuliko kupoteza mechi 15. Na aliyesema timu isipelekwe uwanjani ili alama 15 zipotee huyo ni mtu wa Simba na siyo wa Yanga tena. Pia...
  20. Haya mabadiliko ya ratiba siyo rafiki kabisa kwa Simba SC

    Nimeangalia kwa umakini haya marekebisho ya ratiba naona siyo rafiki kabisa kwa Simba. Sijajua ushirikishwaji wa wadau wa hizi timu upoje kabla ratiba haijatolewa au kufanyiwa marekebisho ila naona kuna mapungufu makubwa. Tukianzia, nimeshangaa kuona game ya KMC vs Simba ya tarehe 11/05 bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…